Wako wapi Kapteni Mkuchika, Dkt. Mpango na Salma Kikwete?

Wakuu,

Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.

Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
Ni wazima kabisa wanachapa kazi zao kama kawaida.Tumezungumza nao kwenye simu,leo hii.Mbona humuulizii Matonya
 
Lipumba ana hasira alipewa ahadi hewa ya viti ishirini vya Ubunge,siku hizi anakomaa na Tume Huru na Katiba Mpya tu.
Ukifanya makubaliano na wahuni ujue imekula kwako.
CUF kwasasa si lolote nadhani hata mbunge mmoja hawana.
Jamani hivi Lipumba ana watoto?
Nakumbuka Kuna kipindi alikua na skreppa fulani mtumba kwisha kazi.
 
Wakuu,

Nani ana taarifa za Mawaziri Philip Mpango na Kapteni John Mkuchika? Ni siku kadhaa hawajasikika.

Pia, mama yetu Salma Kikwete nasikia hajakanyaga katika viwanja vya Bunge.
There is neither need to have opposition nor pro regime ideology; we better as a nation collectively agree to merge a hybrid political administration rather than politicians who are the source of criminality and adversary between the brotherhood.

The next political era in Tanzania will surface to a new twist.............what happened is gonna be sewn up for the cloak to suit the forthcoming new generation, but the adversary rivals shall not be able to succumb the long wait vision.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom