Wako wapi hawa wadau?


....hehhhehhh.....ukijaaliwa kumpata msalimie sana swahiba.
 
....hehhhehhh.....ukijaaliwa kumpata msalimie sana swahiba.


Mbona nimeongea naye muda mfupi?

Nipe tu ujumbe wowote nitamfikishia mpendwa wangu MwanajamiiOne...

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Kipindi hicho JF haikuwa inaboa. Kila jukwaa uendalo unakuta lina wenyeji wake na limechangamka haswaa.
 
Mbona umemsahau Rev Masanilo??

JF ilikuwa na raha bwana...

Ila kama kuna watu wamebadili jezi basi watutonye...nahofia tunaweza kuwaingiza kwenye missing people's list!

Babu DC!!

....siku za mwisho mwisho kumsoma, huyu mchungaji alikuwa #Mkali kweli kweli, midlife crisis hizi hatareee maazee
naamini huko aliko Mwenyezi Mungu muweza wa yote amemvusha salama aisee...
nyumba kubwa?... BelindaJacob?

Yaani I can't Imagine Magwiji wote tajwa leo humu siku hizi wameishiwa
"Maskendeli" ya kubandika jukwaa hili
 
Keki ilikuwa ya mishkaki na Zanzi babu.......ni kitendo endelevu kwa wiki nzima.......bado hujachelewa.......karibu......


Asante sana kwa kutomalizia hiyo karibu........ wajanja tushaelewa wapi pa kuja kupata masalia ya cake
 
Last edited by a moderator:
....hehhhehhh.....ukijaaliwa kumpata msalimie sana swahiba.

Mbu kwanza na wewe una kesi ya kujibu katika watu ambao walikuwa na thread humu ndani za kiuchokozi na za kuibua mjadala ni wewe siku hizi umekimbia unawaachia wale wanaouliza style au mara ngapi (unajua namaanisha nini) watawale jukwaa tunaishia kuchakachua thread zao na habari za mpira
 
Last edited by a moderator:

Kweli swahiba, watu wamezamia mahala si utani...

Unawakumbuka akina Smiles wa Infi, Pearl na bht??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: bht
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…