Wako wapi hawa wadau?

Yaani mbu hapa room kwangu kuna mbu! Dawa sina nilimtuma ps toka juzi hajaleta na Mimi navochukia dawa dah sijui nifanyeje Leo.sijui nyie mbu mmetumwa?


Dawa ya moto ni moto...Mwite na huyu Mbu aje kuunga tela!
 
Last edited by a moderator:
Nimeshawarestisha in peace wote. Ila Huyu mbu mwambie aje.teh teh namruhusu aninyonye damu yote na maji pia


Hii ingemkuta Babu basi hadithi ingekuwa nyingine kabisa....bora mnamuepusha babu na majanga ya BP!
 
Kuna mtu anaitwa Komando King'asti.....anatafutwa haraka ili akajibu mashtaka ya...

Popote alipo ...akuje haraka sana!!
 
Last edited by a moderator:

Nipo bestito, majukumu tele Mbu ukizingatia na majanga ya man u..he he
Thanks for having me in mind. Have a blissful weekend!!
 
Last edited by a moderator:
Nipo bestito, majukumu tele Mbu ukizingatia na majanga ya man u..he he
Thanks for having me in mind. Have a blissful weekend!!

Umepotea sana Belinda Jacob,

Mzima lakini?

Tumefurahi kukuona tena jukwaani!
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Mbu
......ahhh, Moyes asikufanye mnyonge hivyo, it's only a game luv.
Haya, nice weekend to you too....xxx


Ila huyu Moyes naye ameshakuwa janga lingine... Watu BP imepanda hadi ikajishusha yenyewe...

Nawaonea huruma wadau kama BelindaJacob....ni wakati mgumu sana kwao. Hata hivyo, wajitahidi kuielewa historia. Itafika mahali watazoea kama wadau wa Liverpool walivyozoea na kurusha kijiti kwa wengine!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…