Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
kwa nini kutuchokoza wakinga?umejuaje kama ni wakinga tutakuroga ohoooo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaa chai ya maziwa mia ya rangi mia mbili?Hiyo Makete hiyo.
Siku ya mnada tunaenda sehemu inaitwa Zambia ni mbele ya Bulongwa. Chai ya maziwa shilingi mia ya rangi mia mbili.
Mwaka gani,mimi nimesoma Mwakavuta.Nilisoma shule inaitwa Mwakavuta, wenyeji wanaitamka Mwakauta. Kuna kabinti kakanizoea kakawa kananihimiza tuwe tunaenda kanisani la sivyo wachawi watanishughulikia.
Wakati tunawasili tulipewa semina kua wasichana wa pale ukiwa na uhusiano nao wanakuloga ili uondoke nao Dar.
Sasa sijui ni kweli au vipi maana sikuwahi kwenda kanisani na sijawahi kushughulikiwa ila sikuwahi kua na uhusiano na binti yeyote.
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sijawachamba usinisingizie ili uninyime.[emoji23] [emoji23] [emoji23] mnatuchamba af vitu vyetu mnapenda nyoo nikikuwekea dawa?
Ndugu hio ni History na sijui,kwa mtu mwenye elimu atatafuta pesa sio kwenda kwa Wanganga,wajinga ndio waliwao.Kwa Mwakipande huwa mnaenda kufanya nini?
Nimekoma na hizo bei. Chai ya maziwa bei rahisi kuliko ya rangi, hayo maziwa ya kiganga so bureHiyo Makete hiyo.
Siku ya mnada tunaenda sehemu inaitwa Zambia ni mbele ya Bulongwa. Chai ya maziwa shilingi mia ya rangi mia mbili.
Niliuliza sababu nikaambiwa maziwa ni mengi na karibia kila mkazi anayo kwahiyo siye wakuja ndiyo tulikua tunashobokea maziwa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaa chai ya maziwa mia ya rangi mia mbili?
Mimi ilikua A level, headmistress alikua anaitwa Kihongwe.Mwaka gani,mimi nimesoma Mwakavuta.
Kumbuka kijiji ni Mwakauta na shule ni Mwakavuta,hivyo lazima watamke Mwakauta.
Endelea kuamini ujinga.Mbona naambiwa hapo jamaa alikuwa amedrop kwenda ku renew mkataba na mababu...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kusema tunauza chai ya maziwa mia ya rangi mia mbili sio vichambo vya rejareja hivyo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mimi sijawachamba usinisingizie ili uninyime.
Mwakipande si ndio alikuwa anagawa mabasi. Embakassy, Victoria, Comfort, Safina, Tunyande, Matema Beach, Upendo wote walipata mabasi kwa MwakipandeNdugu hio ni History na sijui,kwa mtu mwenye elimu atatafuta pesa sio kwenda kwa Wanganga,wajinga ndio waliwao.
Nimezaliwa Bulongwa hadi Olevel nimesoma kule,Alevel Mbeya na chuo Dar sijui nasikikia tu hayo majina na ni mfanyabishara hapa mjini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usiwasingizie bwana, yalikua poa tu. Sasa ukinunua chips za 1000 haumalizi.Nimekoma na hizo bei. Chai ya maziwa bei rahisi kuliko ya rangi, hayo maziwa ya kiganga so bure
Wewe hujui kule karibu kila familia wanafuga ng'ombe.Nimekoma na hizo bei. Chai ya maziwa bei rahisi kuliko ya rangi, hayo maziwa ya kiganga so bure
Mafuta mnatumia ya kondoo kukaangia chips[emoji23] [emoji23] [emoji23] usiwasingizie bwana, yalikua poa tu. Sasa ukinunua chips za 1000 haumalizi.
Hivi Said Fella ni Mluguru?Namuona Gaid Fella na Lemutuz
[emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] hapana hapo nawasifia, kwanza nimetoka kumwambia Nazjaz kua chips za 1000 hamalizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] kusema tunauza chai ya maziwa mia ya rangi mia mbili sio vichambo vya rejareja hivyo?
Really???Wewe hujui kule karibu kila familia wanafuga ng'ombe.
Ok nilisoma ikiwa na Olevel tu.Mimi ilikua A level, headmistress alikua anaitwa Kihongwe.
MzaramoHivi Said Fella ni Mluguru?