Wakinga kwa fasheni hawajambo

Wakinga kwa fasheni hawajambo

Babu zetu wanatusimulia kuwa Wakinga walikuja Bulongwa kutafuta maisha na kupora baadhi maeneo yetu,ni sawa na wageni tu ila miaka mingi imepita na wamekuwa wenyeji.
Kuhusu Historia mimi sijui ila ninachojua Bulongwa wapo wakinga
 
halafu mimi huwa nawashangaa sana wanaowashikia bango la uchawi wakinga. Hivi vituko vyote vya uchawi sijawahi kusikia kituko chochote kutoka Makete nasikia tu Sumbawanga, Songea, Tabora n.k hebu nisimulieni tukio moja la kishirikina kutoka ukinga...lilolosikika kwenye vyombo vya habari sio ulilosimuliwa na jirani yako mwenye wivu wa kimaskini
Nilisoma shule inaitwa Mwakavuta, wenyeji wanaitamka Mwakauta. Kuna kabinti kakanizoea kakawa kananihimiza tuwe tunaenda kanisani la sivyo wachawi watanishughulikia.

Wakati tunawasili tulipewa semina kua wasichana wa pale ukiwa na uhusiano nao wanakuloga ili uondoke nao Dar.

Sasa sijui ni kweli au vipi maana sikuwahi kwenda kanisani na sijawahi kushughulikiwa ila sikuwahi kua na uhusiano na binti yeyote.
 
hayo mambo yapo kila sehemu hasa ukienda vijijini.
 
Nilisoma shule inaitwa Mwakavuta, wenyeji wanaitamka Mwakauta. Kuna kabinti kakanizoea kakawa kananihimiza tuwe tunaenda kanisani la sivyo wachawi watanishughulikia.

Wakati tunawasili tulipewa semina kua wasichana wa pale ukiwa na uhusiano nao wanakuloga ili uondoke nao Dar.

Sasa sijui ni kweli au vipi maana sikuwahi kwenda kanisani na sijawahi kushughulikiwa ila sikuwahi kua na uhusiano na binti yeyote.
Makete huko?
 
Of course wakinga kuvaa hawajui ni washamba fulani hivii ila pesa wanajua kuisaka sana. Ndeti ndeti mapembelooo
16265361_1310441725692932_2698999043349455171_n.jpg
 
Back
Top Bottom