Wakinadada ni wabahili jamani

Wakinadada ni wabahili jamani

atoto yuko bungeni viti maalum mkuu, tulia tu utamuona tena humu bunge likiahirishwa leo

Mnanitaja taja hadi napaliwa, haya nimekuja niambie kunani?
 
Last edited by a moderator:
Ovyoooooo!! Laiti mngejua hela ya mwanamke ilivyo na majukumu makubwa mngeufyata kimyaaaaa!! Nawe olewa uone hela ya mwanamke inavyotumika sio kulalamika tu.
 
Tunakumiso sista ndo maana, ngoja kwanza nimsikilize prezidaa Magufuli kwanza ndo nije vizuri

Nilikumisimo my kaka acha tu, si mmegoma kutoa mchango, acheni nitaabike tu.
 
nyie mnavyowakojolea mdomoni mnadhani vizuri?,ubahili ndio ujira wa ile kazi ngumu ya kulaliwa kifuani,kukutengea maji,kupigwa Mashine usiku kucha,nk acheni kukwepa majukumu Huo ndio uanaume
 
Mkuu ACAPULCO, kukutana na dada au akina dada wachache ambao ni bahili haimaanishi kuwa akina dada wote ni bahili. Kwa taarifa yako hakuna kumbe ktk ulimwengu huu mwenye moyo wa upendo, huruma, wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu kama mwanamke. Mwanamke akimua kujitoa kwako kukusaidia anajitoa kwa moyo wake wote bila ya kutegemea malipo yoyote kutoka kwako wala kugeuka nyuma na kufikiria mara mbili mbili.

Wanaume ni wepesi zaidi kutoa pesa au kusaidia kwa lengo la kuhonga, starehe na anasa lakini linapokuja suala la kutimiza majukumu yao ya kifamilia wao mara nyingi wanakuwa wagumu na hutoa sababu na visingizio kadha wa kadha visivyokuwa na msingi na wengine hudiriki kutumia hadi ubabe ili tu wasitimize majukumu yao ya kifamilia. Ninaposema haya kuhusu wanaume sisemi kuwa wanawake wao ni wasafi 100% na hawana tabia hizi. Tabia kama hizi za kukwepa majukumu ya kifamilia na ubahili usiokuwa na msingi upo pia kwa wanawake lakini idadi ya wanawake wanaofanya hivi ni chache sana ukilinganisha na wanaume.
 
Safi sana mkuu, umeongea kitu cha maana sana, wenye akili ndio watakuelewa,

huyu kakurupuka tu kumuongelea shemeji yake(hii ni kawaida ya mawifi na mashemeji, au tuite gubu) sidhani kama anaujua undani wa alichoongelea, wanawake wanazibeba mnoo familia,acha kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Tunatofautiana mm hela sitowi ila zawadi naatoa mpaka unamsimulia mama yako.
 
Ovyoooooo!! Laiti mngejua hela ya mwanamke ilivyo na majukumu makubwa mngeufyata kimyaaaaa!! Nawe olewa uone hela ya mwanamke inavyotumika sio kulalamika tu.

Acha ww mnaitumia kwenye nn kama kila kitu mnapewa,raha ya hela uone matunda yake sasa ww hela yako haionyeshi matunda
 
Mkuu ACAPULCO, kukutana na dada au akina dada wachache ambao ni bahili haimaanishi kuwa akina dada wote ni bahili. Kwa taarifa yako hakuna kumbe ktk ulimwengu huu mwenye moyo wa upendo, huruma, wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu kama mwanamke. Mwanamke akimua kujitoa kwako kukusaidia anajitoa kwa moyo wake wote bila ya kutegemea malipo yoyote kutoka kwako wala kugeuka nyuma na kufikiria mara mbili mbili.

Wanaume ni wepesi zaidi kutoa pesa au kusaidia kwa lengo la kuhonga, starehe na anasa lakini linapokuja suala la kutimiza majukumu yao ya kifamilia wao mara nyingi wanakuwa wagumu na hutoa sababu na visingizio kadha wa kadha visivyokuwa na msingi na wengine hudiriki kutumia hadi ubabe ili tu wasitimize majukumu yao ya kifamilia. Ninaposema haya kuhusu wanaume sisemi kuwa wanawake wao ni wasafi 100% na hawana tabia hizi. Tabia kama hizi za kukwepa majukumu ya kifamilia na ubahili usiokuwa na msingi upo pia kwa wanawake lakini idadi ya wanawake wanaofanya hivi ni chache sana ukilinganisha na wanaume.
Mkuu nahisi huwafahamu wanawake vizuri tunaowafahamu ndio tunakujuza hiyo kitu
 
Inamaana unataka kuniambia unafahamu tabia za wanawake wote duniani hadi ufikie hatua ya kusema wanawake wote ni wabahili?
 
Alafu unasema unawajua wanawake!!! Basi rudi darasani

Achana naye mpendwa. Huyo ameshaweka akilini na kujiaminisha kuwa wanawake ni wabahili hivyo hata kama ukipiga kelele na kumuelimisha kiasi gani hatokuelewa kwa sababu ameshikilia lile analoliamini wala hataki kusikia wala kuambia neno lolote tofauti na analo liamini. Kumbuka, unaweze kumpeleka ng'ombe mtoni kunywa maji lakini kamwe huwezi kumlazimisha ng'ombe kuyanywa hayo maji.
 
Tabia za wengi zinaendana mkuu

Hao wengi unaowasemea wewe ni wale uliokutana nao wewe. Kwa kuwa wewe umekutana na wanawake wa sampuli hiyo haimaanishi kuwa wanawake wote wako hivyo. Sikatai kuna baadhi ya wanawake wana tabia kama hizo ambazo wewe umezitaja ila kwa asili wanawake ni watu wenye upendo, huruma, wema, unyenyekevu, upole na uvumilivu. Fanya utafiti na utagundua kuwa ninachosema kina ukweli ndani yake.
 
Back
Top Bottom