hahahaha labda toka mwanzo ulionyesha unazo naye anatumia nafasi.......maisha kushirikishana wakati mwingine yanazidisha upendo kama hakuna unafiki ndani yake
Aisee kwahiyo hata kama nina pesa inabidi nisimuoneshe sasa.baadhi ya wanawake ni ngumu sana kukaa nao.kwanini mtu usiwe flexible tu kama zipo si zetu wote.
Aisee kwahiyo hata kama nina pesa inabidi nisimuoneshe sasa.baadhi ya wanawake ni ngumu sana kukaa nao.kwanini mtu usiwe flexible tu kama zipo si zetu wote.
Hata kama, nyie bahili sana kwenye hela zenu bana
Acha kabisa akishaziona ni shiidaa, anawaza tu matumizi kwa kwenda mbele, tena matumizi yasio ya future tu, kifupi ni mitoko kwa sana, mavazi kwa sana, menu ya nguvu plus other luxurious stuff
cc Blaki Womani
kama unazo unaona uchungu gani akizitumia?.......kuna wale ambao wanazo za kawaida wanaongeza na misifa na mwanamke anatumia kuendana na anavyomwona kumbe sio hivyo
Mungu aniepushe nisikutane na mwanamke wa design hiyo.
Ila wenye kufikiria mbali ni wachache sana, majority ni show off (mashost waisome namba) kwa kwenda mbele
kweli kabisa kama ambavyo wanaume wa kweli wapo wachache na wanawake pia
Hapa sawa, kumbe uelewa wako na wangu ni sawa ktk hili
Wala hamzai kwa uchungu sikuhizi,operation za uzazi zimekuwa kama kunywa chai.
Mhm wee ulishabugi mennnn....mwanaume yoyote lazima ajue kuwa pesa ya mwanamke ni kwa ajili ya yeye peke yake i.e to luk sexy.
Ada ya shule, matibabu, chalula, kumnunulia gari na kutia mafuta, outings, holidays, financial problems za familia yake na mengineyo ni jukumu la wewe mume. Ukilijua hilo wala hutapata presha nao.
Wee kazi yako hapo ni kuhakikisha haleti uzembe kwenye idara yake ya kuwa sexy nd presantable na kutotoa watoto na kuwalea vizuri...huo ndio msaada wa mke.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] my kaka. Sasa Hela si zimeongezeka jamani.Mi nachokaga kitu kimoja, akiwa peke yake anaishi kwa hela zake mwenyewe ni mbahili balaaa, sasa muoe weeeeee!!! matumizi anafanya kujiachia tu, daaah!!
.. na mwanamke aliwekwa kumfariji mwanaume :eek2:Koh koh koh.... Mwanaume aliwekwa kumtunza mwanamke
[emoji23] [emoji23] [emoji23] my kaka. Sasa Hela si zimeongezeka jamani.
Teh Naelewa ulichomaanisha, nilitaka tu ulalamike zaidi. Teh hongera kwa kuwa mwanaume[emoji87] [emoji87]No, siyo kuongezeka sista, ni kwamba za kwake 'zinaenda likizo sasa' hazitumiki tena anabaki kujiachia na za kwako tu. Hahaaaa we acha kabisa, wanaume tunalo si kidogo
Teh Naelewa ulichomaanisha, nilitaka tu ulalamike zaidi. Teh hongera kwa kuwa mwanaume[emoji87] [emoji87]
tuache ,,,.toa hela
Mkuu umeolewa?