Wakina Dada Wakibongo Igeni Na hii Pia

Wakina Dada Wakibongo Igeni Na hii Pia

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,311
454.jpg
 
Wabongo kwa kuchakachua utaiona hii muda si mrefu.....Si mnajua dada zetu!
 
ha ha ha,

Mkuu siku chache zijazo lazima style hii iingie mujini bongo, just hold hivi ule weusi weusi kwenye maeneo maalum ni kufuli au kitu live chenyewe? macho wakuu sioni fresh.
 
ha ha ha,

Mkuu siku chache zijazo lazima style hii iingie mujini bongo, just hold hivi ule weusi weusi kwenye maeneo maalum ni kufuli au kitu live chenyewe? macho wakuu sioni fresh.
Ni kufuli mkuu, ila huyu dada ni mtaalamu. Maana ameweka kufuli jeusi ili lionekane na kuwa ndiyo centre of attention kwa kila mwanaume anayemuangalia.
 
Jini Kabula haiwezi kumpita hii! Mtakuja kumuona tu siku moja kwenye viwanja vya maraha!
 
Mbona bongo zipo tayari hizo vazi!!!Huwezi kuzitofautisha na hizi za wa kwetu!!!Tena zilishawahi kuwemo ktk jf humu!!!Linganisha na hiyo
3025007.jpg
i.jpg
 
[/I]QUOTE]

Ni Mdada fulani sikupata kumuuliza yeye ni nani kwakua picha hii nilivyoipiga nikaingia mitini![/QUOTE]
mkuuu inaonesha umebobea kwa upaparazi shigongo akipata tu habari zako atkutafuta faaasta saaaana
 
duh hiyo ni zaidi ya ballaa na itaingia mitaani kweli kama wanavyosema wadau
 
aisee ni balaa,, ndo maendeleo hayo,,,, maana wadada siku hizi kupendeza ni kuacha miili yao wazi.
 
MH!..ila kuna mbaya zaidi labda hiyo style...
 
Back
Top Bottom