Wakili Mkuu wa Serikali Boniface Luhende Hana Sifa ya Kusimama Mahakamani

Hakuna jambo baya kama kujua usichokijua.

"Ili mtu awe na SIFA za kuwa WAKILI MKUU WA SERIKALI, anatakiwa kuwa na UZOEFU wa KUENDESHA KESI MAHAKAMANI KWA MIAKA 15. Angalia AMRI namba 5(3) hapo 👇. Dr. BONIPHACE LUHENDE alisajiliwa kuwa WAKILI tarehe 6 DISEMBA 2013. Mwaka 2028 ndiyo ANGEKUWA na SIFA za kuwa WAKILI MKUU
20240323_194934.jpg
 
View attachment 2943614
kwahiyo hajawahi kuhurudhia hata kwenye tribunal tu, manake hapo wamesema kwa miaka hiyo awe aliappear kwenye mahakama, au tribunal. kabla ya 2013 hajawahi kuhudhuria hata tribunal tu? if that is the case, then there might be a problem. pamoja na kwamba, sioni faida kubwa kulishadadia hili, kila mtu anafika pale alipo kwa kudra za Mungu, awe amequalify au hajaqualify, ni vile Mungu angependa kumtumia mtu vile apendavyo na vile alivyo. kuna watu unaweza kuona hawafai kuwepo sehemu fulani lakini Mungu ndio amewafikisha pale, na ukijaribu kuwashambulia unakutana na yule aliyewaweka pale, ndiye utakayepambana naye. siri hii ni kubwa sana katika maisha.

pia, kipimo kile upimacho kwa wenzako, ndicho na wewe utakachopimiwa. vile unavyowafanyia wenzako, na wewe kwa namna moja ama nyingine kwenye maisha yako utafanyiwa tu. chochote unachokifanya ili kutia mchanga kitumbua cha wenzako, na wewe au watoto wako kwa namna moja ama nyingine utakuja kufanyiwa tu kwenye eneo ambao una udhaifu nalo au pengine hata huna udhaifu, ila unalipwa uliyowafanyia wengine. hii sheria katika maisha nimeithibitisha na kuiona kabisa. haimaanishi kwamba hata wewe unastahili kuwepo kwenye kila position katika maisha, iwe uhai, iwe cheo, iwe uwezo wa kutafuta pesa, iwe chochote kinachokufanya ulishe familia yako, vyote ulivyo navyo, ni kwa Neema tu ya Mungu. ukishambulia wengine, na wewe jiandae kushambuliwa kwenye kitumbua unacholishia watoto wako. ni ushauri tu.
 
Wacha kutetea UPUMBAVU!! Haya maujinga yenu ndiyo yanasababisha Serikali inashindwa vibaya huko nje kwenye Mahakama za wenye akili.

Sasa kuna ugumu gani KUHUISHA?
We jamaa mzito sana kuelewa.
 
aliyemchagua yuko sahihi, aliyechaguliwa ni mtu sahihi. My learned brothers this ia nothing to argue. Embu tumuache bwana madeleka pia ana issues zake kuanzisha hilo. Tuliheshimu kama watoto wa sheria, ila huyu muandishi kuna vitu hajavielewa na hataki kuvielewa.
 
Kakugongea nyapu yako nini mpambanaji mwenzetu utupatie kazi ya kumuwajibisha?
 
kwahiyo hajawahi kuhurudhia hata kwenye tribunal tu, manake hapo wamesema kwa miaka hiyo awe aliappear kwenye mahakama, au tribunal. kabla ya 2013 hajawahi kuhudhuria hata tribunal tu? if that is the case, then there might be a problem. pamoja na kwamba, sioni faida kubwa kulishadadia hili, kila mtu anafika pale alipo kwa kudra za Mungu, awe amequalify au hajaqualify, ni vile Mungu angependa kumtumia mtu vile apendavyo na vile alivyo. kuna watu unaweza kuona hawafai kuwepo sehemu fulani lakini Mungu ndio amewafikisha pale, na ukijaribu kuwashambulia unakutana na yule aliyewaweka pale, ndiye utakayepambana naye. siri hii ni kubwa sana katika maisha.

pia, kipimo kile upimacho kwa wenzako, ndicho na wewe utakachopimiwa. vile unavyowafanyia wenzako, na wewe kwa namna moja ama nyingine kwenye maisha yako utafanyiwa tu. chochote unachokifanya ili kutia mchanga kitumbua cha wenzako, na wewe au watoto wako kwa namna moja ama nyingine utakuja kufanyiwa tu kwenye eneo ambao una udhaifu nalo au pengine hata huna udhaifu, ila unalipwa uliyowafanyia wengine. hii sheria katika maisha nimeithibitisha na kuiona kabisa. haimaanishi kwamba hata wewe unastahili kuwepo kwenye kila position katika maisha, iwe uhai, iwe cheo, iwe uwezo wa kutafuta pesa, iwe chochote kinachokufanya ulishe familia yako, vyote ulivyo navyo, ni kwa Neema tu ya Mungu. ukishambulia wengine, na wewe jiandae kushambuliwa kwenye kitumbua unacholishia watoto wako. ni ushauri tu.
Kwa hiyo umeelewa sasa!! Ila unataka tuendeshe nchi kwa kudra za Mungu
 
aliyemchagua yuko sahihi, aliyechaguliwa ni mtu sahihi. My learned brothers this ia nothing to argue. Embu tumuache bwana madeleka pia ana issues zake kuanzisha hilo. Tuliheshimu kama watoto wa sheria, ila huyu muandishi kuna vitu hajavielewa na hataki kuvielewa.
Sasa issues za Madeleka zinakujaje hapa? Jibu hoja wewe pimbi
 
Kakugongea nyapu yako nini mpambanaji mwenzetu utupatie kazi ya kumuwajibisha?
Unagongwa wewe ndiyo maana akili yako yote inafikiria matako wakati tuko tunajadili serious issues za nchi yetu
 
Kwa hiyo umeelewa sasa!! Ila unataka tuendeshe nchi kwa kudra za Mungu
hapo ulipo unaishi kwa neema ya Mungu tu, kuna mengi sana hustahili kabisa. kuna siku utajua hilo kama sasa hauelewi. maisha ni kitu cha ajabu sana, na Mungu ndiye mwamuzi asiyehitaji kuhojiwa wala kulinganishwa na sheria za dunia hii.
 
Lakini kama unapohuisha leseni kuna malipo ,huoni kuwa mawakili wa serikali kutohuisha leseni zao ni kuibia serikali mapato? pia why wasihuishe wakati kuna masharti ya kuhuisha leseni ikiwepo kupata points kadhaa ? au ndiyo maana mara nyingi wanashindwa keshi kwa sababu hawahuishi leseni?
 
Unagongwa wewe ndiyo maana akili yako yote inafikiria matako wakati tuko tunajadikilli serious issues za nchi yetu
Kwa povu hili ni wazi kabisa kuwa kuna kitu nyuma ya bandiko lako kati ya wewe na Bonny
 
Ingawa nahisi kuna kitu lazima atakuwa amekufanya hadi umepekuwa mafaili mkuu.

Ila kwa jinsi wanavyolindana huyo atasimama mahakama zote bila kelele, kwani walishavunja sheria na katiba mara ngapi? Kimetokea nini?
 
hapo ulipo unaishi kwa neema ya Mungu tu, kuna mengi sana hustahili kabisa. kuna siku utajua hilo kama sasa hauelewi. maisha ni kitu cha ajabu sana, na Mungu ndiye mwamuzi asiyehitaji kuhojiwa wala kulinganishwa na sheria za dunia hii.
Nyie wazembe mnamtwisha Mungu hata majukumu yenu ya kawaida. Acheni Mungu afanye kazi yake na nyinyi fanyeni kazi zenu
 
View attachment 2942815
Mtandao wa e-Wakili ukiingiza namba 4002 utakurudishia jina la Dr Boniface Luhende. Utakuambia pia kuwa haruhusiwi kusimama Mahakamani.

Hii ni aibu kwa Serikali ya Rais Samia na ni aibu pia kwa Mhimili wa Mahakama kuacha mtu asiye na sifa aingie Mahakamani na kujiita Wakili

No wonder nchi hii tunashindwa kesi zote tukiende kwenye Mahakama za Kimataifa kama ICSID.
Madeleke atawaua hawa watu
 
Huyo ni mtumishi wa umma, huwezi kuwa wakili binafsi halafu ukawa wakili wa serikali, kuna Public Bar Association, na kuna chama cha mawakili binafsi, ukiwa kwa umma lazima usilipie leseni ya uwakili binafsi, you must suspend your practising licence
Taratibu zinasemaje?
 
Back
Top Bottom