Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

Hayati Rais Babu Karume siku moja katika kutembelea shughuli za maendeleo alikaa na kundi la vibarua waponda zege. Katikati ya mazungumzo upepo ulimtoka kwa sauti kubwa. Vibarua wote mashavu yamevimba kwa kuzuwia kicheko. Kuona vile Babu Karume ikamtoka tu, " Chekeniìiiii nyinyi mutakufaaaa!". Ikawa kama aliyelifungulia bwawa la Mtera hivyo vicheko vilivotoka hapo.
 
nyie ma CCM wapuuzi kweli kweli, kama nyie ni waoga msidhan kila mtu ni muoga kama nyie, kuicheka picha tuu eti nako ni kosaa??? duuu yajayo yanafurahisha!
 
Yeye ni mchekeshaji na ubongo wake ndivyo ulivyoumbwa na anachoona yeye kinachekesha mtu mwingine hataona kinachekesha, ndivyo ubongo ulivyo.

Ubongo unaweza ukakufanya ucheke ukimuona mtu mwingine na wengine watakushangaa, kicheko hicho si cha hiari yako. Tujiulize ikitokea kapandishwa kizimbani na hakimu au mtu yoyote akamcheka kwa muonekano wake naye amfungulie shitaka?

Kucheka hukuongezea siku za kuishi, laughter is the best medicine. Inatoka na ubongo kufanya imagination nyingi kichwani mwako.
 
Lione jioga! Ukiona kitu kinakuchekesha unafanyaje?
Call it vyovyote vile but i do believe that kuna baadhi ya mambo ambayo haiitaji elimu kuweza jua kwamba unaenda tumbukia ktk migogoro inayoepukika, kuna kucheka na kucheka kwa kutafuta kiki. Mbona wewe hujakamatwa haiyumkini ulicheka pia.
 
Call it vyovyote vile but i do believe that kuna baadhi ya mambo ambayo haiitaji elimu kuweza jua kwamba unaenda tumbukia ktk migogoro inayoepukika, kuna kucheka na kucheka kwa kutafuta kiki. Mbona wewe hujakamatwa haiyumkini ulicheka pia.
woga ni dhambi kubwa!
 
Yeye ni mchekeshaji na ubongo wake ndivyo ulivyoumbwa na anachoona yeye kinachekesha mtu mwingine hataona kinachekesha, ndivyo ubongo ulivyo. Ubongo unaweza ukakufanya ucheke ukimuona mtu mwingine na wengine watakushangaa, kicheko hicho si cha hiari yako. Tujiulize ikitokea kapandishwa kizimbani na hakimu au mtu yoyote akamcheka kwa muonekano wake naye amfungulie shitaka? Kucheka hukuongezea siku za kuishi, laughter is the best medicine. Inatoka na ubongo kufanya imagination nyingi kichwani mwako.
sawa lakini huo ujinga wake akafanye kwa billnas ndo saizi yake sio kwa kiongozi wa nchi jamani
 
Kwani yule anae muiga kuongea na kuvaa kutofauti gani na huyu anae cheka picha ya rais? Wacheni upumbavu Watanzania kucheka picha ya rais sio kumcheka rais.......Labda alikuwa anamchekla fundi aliyeshona hiyo suti ya rais......Tunarudishwa kwenye ukomonisiti...Wajinga nyie

Exactly, ukomunisti ni janga.

Nimegundua kuwarudisha watanzania kwenye sera za ukomunisti ni rahisi sana kwasababu tulianzia huko.

Kwenye ukomunisti kiongozi ni “muweza wa yote” ndiyo maana unaona watu kila ktu rais rais rais.

Kwenye ukomunist serikali huhakikisha watawaliwa ni weak ili kila mara wawafuate viongozi kulia shida.

It is a mind game.

Kingine kwenye serikali zenye mrengo wa kikomunisti unafiki ni sehemu ya maisha.

Ukomunisti ni utumwa mbaya sana.




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kitu kinachomsumbua indris ni views na likes za instagram ,maana kwanza ile picha haichekeshi sana halafu hakuna haja ya yeye kudescribe

Huu ndio ukweli!

Hakumuona Halima Mdee aliyekuwa wa kwanza kuipost ile picha aliiweka bila ya caption yoyote?
Halafu kwa mtu kama yeye ambaye alishapewa’onyo’ hapo kabla ni busara kuachana kabisa na comedy zenye kumlenga Rais.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zama hizo Malawi huwezi kushona suti inayofanana na alivyokuwa anashona Kamuzu Banda na huwezi nyoa nywele kama mtindo wa Banda ukifanya hivyo unakamatwa na wale vijana wa chama. Kuna wapumbavu walikuwa wanashabikia huo ujinga hivi hivi. Kweli Upumbavu ni talanta kwa watu wengine.
 
Back
Top Bottom