comedian

  1. Vien

    JamiiForums Tanzania Anachofanyiwa coy mzungu na comedian aliowapa nafasi kwenye platform yake ni ishara ya tenda wema nenda zako

    Wengi wetu tunamfahamu Coy Mzungu, CEO wa Cheka Tuu. Tukirudi nyuma kwenye historia ya stand-up comedy Tanzania, record zinaonyesha kuwa marehemu MC Pilipili alikuwa miongoni mwa waanzilishi muhimu wa stand-up comedy nchini. Lakini ni Coy ambaye alikuja kuipa industry hii nguvu mpya kupitia...
  2. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Vijana hili jambo linataka ota mizizi tusimcheke fumau mashairi, YALIANZA Kwa shafii comedian, tuta umia sisi

    Fumau mashairi ni shabiki wa yanga, wapenzi wa mpira wa miguu wa hapa nyumbani nadhani tuna mfahamu. Juzi kati kafungiwa kwenda viwanjani, tuyaache hayo. Fumau alikua na mahusiano na Binti Mmoja na walipendana sana, upande wa binti walionesha kumkubali fumau sana. Ghafla wakabadilika wakaacha...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Comedian Eric Omondi Pleads Not Guilty, Released on KSh100,000 Bond Over Nairobi Traffic Obstruction Case

    Comedian na activist Eric Omondi ameachiliwa kwa personal bond ya KSh100,000 baada ya kufikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kudaiwa kuzuia magari kupita Kimathi Street, Nairobi. Eric alikanusha mashtaka hayo, akisema hana hatia. Kulingana na hati ya mashtaka, anadaiwa kushusha jerricans 120...
  4. Yesha

    JamiiForums Tanzania Zimbabwean Comedian Learnmore Jonasi Hit With $27 Million Lawsuit by Lebo M Over 'The Lion King' Chant Joke

    Zimbabwean comedian Learnmore Jonasi has found himself at the center of a major legal storm after South African music legend Lebo M filed a $27 million lawsuit over a joke linked to Disney’s iconic film, The Lion King. The dispute stems from a comedy segment in which Jonasi humorously...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni kwa sasa tumsapoti comedian maneno kumi anatosha

    Huyu jamaa wa iliyokuwa jambo na vijambo mwana dar es salam ambaye pia ni mc kwa sasa ndiye msanii wa vichekesho ninayemfuatilia sana anajua sana na ni genius naombeni huyu tuone nafasi awike amefanya kazi kubwa na hawajawi kum acknowledge..watoto wa mama tupa Kule tunaenda na dokta maneno 10.
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: Kwa jinsi Zitto anavyojinadi jukwaani ni dhahiri anashinda Ubunge. Comedian wa CCM anapayuka hovyo.

    Naona sasa Zitto taa ya kijani imewaka. Comedian anapayula hovyo. Zitto anamwaga madini.
  7. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Kweli Msigwa unaandaa Press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile?

    Unajua hata kama unanufaika na mfumo basi tambua tu kwamba Kuna maisha Duniani na hupita na kufuatiwa na nyumba ya milele katika usingizi wa umauti. Kweli unaandaa press kwa Kodi za Wananchi halafu unakuja kuwatisha kishamba namna ile.? Kwamba utawasaka kwa kuandika no reforms no election. Are...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Hivi Kontawa anatuchukuliaje mashairi yake? Jamaa comedian sana

    " Bubu anaitwa Maneno " 😂😂 "Nakunywa Serengeti Ngorongoro" "Nakunywa soda mbele ya shomari kapombe" Huyu jamaa jau hebu na wewe dondosha moja ya mstari wake tuone
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hivi nani comedian au mchekeshaji kati ya Trump and Zelensky

    Kumekuwa na maneno mengi sana eti Zelensky mchekeshaji au comedian. Mi nasema hapana kwa jinsi ambavyo kaonesha uwezo mkubwa dhidi ya trump. Sasa nani anapaswa kuwa comedian kati ya hao wawili
  10. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Trump: comedian Zelensky aliingiza mkenge USA

    Nani amehack account ya Trumpet!?
  11. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Ngiri ni kiumbe mwenye matukio ya hovyo kushinda wanyama wote wa porini inawezekana akawa ndio comedian wa mstuni.

    Habari wakuu, Mwezi huu Nimekuwa nikikutana na mfurulizo wa video za wanyama zinanazowaonesha Ngiri na aina yao ya maisha pamoja na matukio wanayofanya huko mwituni kusema kweli viumbe hawa wanachekesha sana, kila aina ya tukio linalomhusisha Ngiri lazima likuvunje mbavu tu ukiliangalia...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Wanajamii wenzangu mimi ni comedian, naomba support yenu

    Habari mi nicomedian bdo najitafuta naomba support yenu instagram natumia trump mwambelo Facebook trump mbs tik Tok Trump mbs WhatsApp no 0658903409 kama kunamdhamini anidhamini maoni pia na pokea asanteni
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haraka Simba SC itafute Msemaji mwenye kujua hasa nini maana ya Usemaji kuliko huyu 'Msemaji Comedian' ambaye haendani na Kasi ya Klabu na Mahitaji

    Simba SC ni Timu ya Wasomi kuliko ile nyingine ya Vibaka Tupu Kariakoo na Ilala hivyo tunataka Mtu wa Kasi hiyo Oky?
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Josh Jonhson ndiye standup comedian bora.

    Huyu jamaa kwa sasa hana mpinzani. Na contents haishiwi. Tunae sana. https://youtu.be/K3uWj2MpydI?si=waw1IIdb73q7akb6
  15. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi yaliyoshindwa ya DRC. Ni kwamba jamaa walienda kufanya mapinduzi au walikuwa wachekeshaji?

    Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes . Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, huyu Comedian anayekuja kwa Kasi Steve ni Pacha wake aliyekuwa Mchezaji Mtukutu Tanzania Haruna Moshi Boban?

    Nilikuwa nakataa kuwa duniani Watu wanafanana lakini baada tu ya kuwaona hawa Wawili Wafananao nimekubali.
  17. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Nini mtazamo wako kuhusu kuongezeka kwa kasi kwa wachekeshaji Tanzania?

    Bila shaka utakubaliana nami kwamba, kwa kipindi Cha hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la comedians Tanzania ukilinganisha na miaka ya nyuma kidogo, zamani comedian wengi walikuwa agego, yaani wenye umri mkubwa kidogo japo hata Vijana wachache walikuwemo. Lakini ni tofauti kabisa na...
  18. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Lavelle Crawford: Mchekeshaji anayetengeneza pesa kwa kurudia vichekesho vilevile!

    Lavelle Crawford ni stand up comedian and actor kutoka nchini Marekani. One thing I like about this guy is that tangu aanze kufanya stand up comedian kwa zaidi ya miaka 20 sasa kila akipanda jukwaani anatoa vichekesho vile vile. Yet, promoters keep on booking him and he makes money off it...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania MwanaCCM asema Kitenge ni comedian wa habari, sio mtu wa kuzungumzia DP World

    MwanaCCM akosoa mtumizi ya influencers kwenye mambo serious kama bandari. Amekosoa matumizi.ya watu kama kina Maulid Kitenge na Steve Nyerere ambao hawana uwezo wa kujenga hoja.
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kumbe unaweza ukaitwa timu ya taifa ila ukawa unatumika kama Comedian

    Sio wote wanaoitwa timu zao za taifa wanaenda kucheza, la hasha. Wengine wanaitwa kama comedians ili kwenda kuwafurahisha wachezaji wengine. Hivyo sio kila national team call up ni ya kufurahia nyie mashabiki mbumbumbu! Edward Kumwembe alikuwa mbele ya muda. Alikuwa sahihi
Back
Top Bottom