nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,253
...Tanzania inapoitwa shamba la bibi ni kweli....maana kama tungeweza kuwa na vitambulisho vya RAIA haya yasingetokea....Kuna watu wamewahi kuishi na kusomea Tz kama watanzania wakati ni wageni....lakini baadae wakaenda kutumikia mataifa yao baada ya kutugema....mifano ni mingi... Mfano yule Dr. Kaberuka wa Rwanda aliyesoma Tz kama mtanzania na baadae akaenda kuwa mkuu wa Afdb(african dev.bank)...na pia yule Dr.aliyekuwa kitivo cha Eng.pale udsm...ambaye sasa ni mkuu wa chuo Kule Rwanda...We need to tighten our grip on foreigners in Tz...otherwise tutaweka mamluki ikulu....