Wakenya, Waganda na Warundi Serikalini

Wakenya, Waganda na Warundi Serikalini

Msiwe wa haraka katika kuhukumu, Mnamshambulia jamaa, Mara peleka majina, Oh mara majungu lkn hii yote nikutofikiria kwa marefu na mapana hoja yake ya msingi kuhusiana na wageni waliopo serikalini na athari zake kwa mustakabali wa nchi.

Hongera sana mtoa hoja, Usivunjike moyo. Ndio tabia za binadamu zilivyo wengine kwenye mazuri wanalaumu na kwenye mabaya wanasifia.
 
go hang mazafaka, kama unaushahidi washtaki kwa polisi sio kuja hapa kutulilialilia kama ambao ni sisi tumekuzuia kuwashtaki....get a life nigga

Chuki peleka huko===================================>> meffi ya mbwa ww
Hamna chuki mkei, ulichoandika hapo ndicho mnachojuaga mazee.
Niko Nrb west huku, karibu ukule moja
 
Donell mtoa hoja ni mchochezi....hakuna cha maana alichosimulia hapa bali ni jaribio la kugonganisha waTz na wageni wenu
 
naiman64 I agree, hata kwetu Kenya tunapitia hizo changamoto.....lakini msiseme waTz mwadharauliwa kwa hilo, ukija Nairobi vilabu vingi ni miziki ya kibongo na watu wanapenda. Hutosikia hata mkenya mmoja akisema hii miziki ya Tz inaharibu soko la miziki ya kikwetu
Sasa na nyie wakenya mnajuwa kuimba? You have no choice brother other than Bongo's fleva
 
Sasa na nyie wakenya mnajuwa kuimba? You have no choice brother other than Bongo's fleva
And that's the height of idiocy sir, huu wako ni ujinga wa millennium....the reason is we r very accommodative, nyinyi u r bordering xenophobia
 
Shida ya waTz wengi ni chuki na wivu, kulaumu majirani wenu kwa masaibu yenu


Sasa hivi ni vita kali ya kuwagundua wahamiaji haramu ili warudishe walikotoka,,,,, najua wewe ni mmoja wapo na kipindi hiki mtaeleweka tuu
 
Hili zoezi lina ugumu wake hasa kutokana na ndoa holela zinazofanyika mipakani unakuta mtu ni Mtanzania anaolewa Uganda bila kukana uraia anarudi watoto wake wanarudi Tanzania kusoma mpaka wanaajiriwa Tanzania huyu mtu ukimgusa anakushinda maana mamake ni Mtanzania hao wapo wengi sana, hata huko Kenya kuna watanzania kibao wameajiriwa huko walienda kusoma mwisho wa siku wanaajiriwa huko.
 
hata huko Kenya kuna watanzania kibao wameajiriwa huko walienda kusoma mwisho wa siku wanaajiriwa huko.
ushasema mzito! mwanzo huku Kenya kuna wachagga hata huwezi ukajua ni waTz maanake wanaongea lugha za huku (kikuyu, luhya etc) na Kiswahili chao ni cha huku pia...jamani sisi sote ni wanadamu, tuache kuchomeana picha. am sure sisi wakenya tuna mazuri yetu pia...na nyinyi pia mna kasoro zenu, hakuna aliyekamilika
 
Nchi hii imegeuzwa shamba la bibi muda mrefu,mkuu wa kaya aliepita aligawa uraia kama njugu kwa raia wa burundi na rwanda waliokuwa wanaishi hapa nchini toka miaka ya 72,je,hao wakiwemo serikalini watakua na makosa?
 
WAKUU, katika utafiti wangu nimegundua kuna raia wa kenya wengi sana wameajiriwa katika public service, waganda pia wapo wengi, warundi na wanyarwanda wapo wengi sana. binafsi kufanya kazi katika private sector najua kuna sheria inayowaruhusu kama wakitimiza vigezo, lakini imefika kipindi wanaajiriwa serikalini wakiwa wamefoji vyeti vya kuzaliwa na passport na kujifanya watanzania. usalama wa nchi upo wapi hapo? mtu akifanya kazi serikalini na yeye sio mtanzania anaweza kupeleka siri zote nchini kwake, na akibadilisha vyeti, ndi kabisaa, watoto wake watahesabika watanzania hata bila kuwa naturalized, naiomba serikali ifanye hivi:

  1. serikali ikague vyeti vyote vya wafanyakazi serikalini, kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule na vyuo, passport etc na wafanye check up na RITA, uhamiaji na shule wanazosema wamesoma etc.
  2. wananchi wa Tanzania watoe siri, ukiona unamtilia shaka raia yeyote anayefanya kazi kwenye public sector, peleka siri hiyo uhamiaji ili uahmiaji waje wamkague kujiridhisha.
  3. wengine wengi ni wanawake walioolewa na watz lakini bado hawajachukua uraia.
hapa juzi, Arusha walionekana wakenya na waganda wakiandikisha watoto wao kwenye vizazi na vifo.

kuna wafanyakazi wengi tu mimi nimeshawaripoti, wengine wanafanya kazi sector muhimu kabisa za serikali, wamefoji vyeti vya kuzaliwa, passport, na vya shule ili waonekane walizaliwa hapa na kusoma hapa, lakini nyuma ya pazia wana vyeti na pass za nchi zao. ni lazima tushirikiane kufichua suala hili.

nchi inayokaa na wageni wa namna hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi, no wonder hata kagame alikuwa na guts za kututishia kuwa atatupiga, kwasababu kuna wanyarwanda wengi wanaojifanya watanzania na wengine hata ukiwaangalia kwa sura tu hauulizi mara mbili. siwabagui lakini usalama wa nchi kwanza, uafrica mashariki baadaye. mtaniwia radhi. wakenya ndio wengi sana, mrundi mmuja nakumbuka alikamatwa anafanya kazi tume ya sayansi na technolojia, mwignine alikamatwa mkenya akifanya kazi tanzania investment centre, mwingine alikamatwa mganda akifanya kazi uhamiaji, kuna wengi sana hawajakamatwa lakini usalama wa taifa sijajua kama wamefanya shughuli yao vya kutosha. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Ukitaka wakamatwe haraka washauri wajihusishe na siasa za upinzani. Unawakumbuka akina Arcado Ntagazwa, Modeline Castico, Jenerali Ulimwengu, kwa bahati mbaya Kinana, marehemu Oscar Kambona na wengine wengi.
 
Mkuu Hute unachosema hata mimi naona kipo. Wewe hebu fikiria cheti cha kuzaliwa kinatolewa kirahisi sana, tena kwa mtu ambaye hujui alipotoka, unategemea nini? Watu wa usalama tunategemea suala hili mulishughulikie ili kuhakikisha kwamba haki ya mtanzania haporwi na raia wa kigeni.
 
Back
Top Bottom