Justice minister
JF-Expert Member
- Sep 1, 2016
- 1,172
- 823
Kwamba…?Mbona swali lako ni jibu tosha
Kwamba…?Mbona swali lako ni jibu tosha
Na wewe ni raia wa kenya, uganda, rwanda au burundi? Kama unaona wanachapa kazi kuliko watanzania kwanini wasichape kazi ndani ya nchi zao?Tukubali tukatae watu wanje wachapa kazi. Mimi nilishawahi kufanya nawakenya na waganda private sector niwachapakazi. Ila sisi wabongo kukalia majungu kwawingi ma kulalamika kuhusu ma boss
Wasiliana na ofisi ya uhamiaji, Rita, Takukuru, polisi na hata ofisi ya usalama wa taifa wilayani. Usikute ni miongoni mwa wale wanaotumwa na nchi zao kutafuta taarifa nyeti ili kuhujumu nchi yetu. Huyo aliyemsaidia huyo mkenya kubadili nyaraka zake ili aonekane ni mtanzania ni mhaini, tena hata yeye atakuwa sio mtanzania. Kuwa mzalendo kwa nchi yako.mi mwenyewe nawajua kadhaa, kuna mmoja nimesoma nae, kaajiriwa serikalini na sasa hivi kaomba na chuo na mkopo juu. cheti cha kuzaliwa kafoji lakini sijui pa kuanzia kumripoti. ni mkenya
Dhibitishaupuzi
Zitonye mamlaka husika.polisi uhamiaji nkmi mwenyewe nawajua kadhaa, kuna mmoja nimesoma nae, kaajiriwa serikalini na sasa hivi kaomba na chuo na mkopo juu. cheti cha kuzaliwa kafoji lakini sijui pa kuanzia kumripoti. ni mkenya
Aliye msaidia ni classmate wetu, mwenyeji wa kagera. Anasema walikwenda ofisini akamsomesha PS (anaye husika kuandaa vyeti vya kuzaliwa) akampa elfu kumi tu! akapata Cheri cha kuzaliwa. Ndugu was karibu akasaini classmate!Wasiliana na ofisi ya uhamiaji, Rita, Takukuru, polisi na hata ofisi ya usalama wa taifa wilayani. Usikute ni miongoni mwa wale wanaotumwa na nchi zao kutafuta taarifa nyeti ili kuhujumu nchi yetu. Huyo aliyemsaidia huyo mkenya kubadili nyaraka zake ili aonekane ni mtanzania ni mhaini, tena hata yeye atakuwa sio mtanzania. Kuwa mzalendo kwa nchi yako.
Mkuu ruanda ni uko angola sema rwanda,hata hivyo ume elewekayule mjeshi aliyekuwa anafanyia idara moja nyeti ya jeshi na kutorokea ruanda alikuwa mrundi ?
Sababu yako mi nzuri ila ukumbuke nndio wanaosababisha ugumu katika kuwatambua magaid na usalama wa kenya,kwakuwa wapo na wanashirikiana na magaid baadhi yao,popote pale unapoishi ishi kialali kwa usalama wa nchi husika,Wa mabere sisi waKenya tumekuwa na wakimbizi wa Somalia miaka mingi...hivi sasa wako kwa top 5 most populous ethnic community in Kenya na kumbuka bado tuna tishio la al shabab...wako Eastleigh ambapo wana mabiashara makubwa makubwa but hutowahi sikia wakenya tukisema wafukuzwe coz si wakenya. Kumbuka wengi ni wakimbizi lakini polepole wameanza kutangamana na jamii
Hata Angola hakuna Ruanda ila kuna Luanda. Ruanda iko Mbeya.Mkuu ruanda ni uko angola sema rwanda,hata hivyo ume eleweka