Wakenya, Waganda na Warundi Serikalini

Wakenya, Waganda na Warundi Serikalini

go hang mazafaka, kama unaushahidi washtaki kwa polisi sio kuja hapa kutulilialilia kama ambao ni sisi tumekuzuia kuwashtaki....get a life nigga
Matusi yana husikaje hapo na kisha ume join jana tu na avatar yako ya watu wanacheza kibuzi mnazi,hivi JF haina chujio?
 
WAKUU, katika utafiti wangu nimegundua kuna raia wa kenya wengi sana wameajiriwa katika public service, waganda pia wapo wengi, warundi na wanyarwanda wapo wengi sana. binafsi kufanya kazi katika private sector najua kuna sheria inayowaruhusu kama wakitimiza vigezo, lakini imefika kipindi wanaajiriwa serikalini wakiwa wamefoji vyeti vya kuzaliwa na passport na kujifanya watanzania. usalama wa nchi upo wapi hapo? mtu akifanya kazi serikalini na yeye sio mtanzania anaweza kupeleka siri zote nchini kwake, na akibadilisha vyeti, ndi kabisaa, watoto wake watahesabika watanzania hata bila kuwa naturalized, naiomba serikali ifanye hivi:

  1. serikali ikague vyeti vyote vya wafanyakazi serikalini, kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule na vyuo, passport etc na wafanye check up na RITA, uhamiaji na shule wanazosema wamesoma etc.
  2. wananchi wa Tanzania watoe siri, ukiona unamtilia shaka raia yeyote anayefanya kazi kwenye public sector, peleka siri hiyo uhamiaji ili uahmiaji waje wamkague kujiridhisha.
  3. wengine wengi ni wanawake walioolewa na watz lakini bado hawajachukua uraia.
hapa juzi, Arusha walionekana wakenya na waganda wakiandikisha watoto wao kwenye vizazi na vifo.

kuna wafanyakazi wengi tu mimi nimeshawaripoti, wengine wanafanya kazi sector muhimu kabisa za serikali, wamefoji vyeti vya kuzaliwa, passport, na vya shule ili waonekane walizaliwa hapa na kusoma hapa, lakini nyuma ya pazia wana vyeti na pass za nchi zao. ni lazima tushirikiane kufichua suala hili.

nchi inayokaa na wageni wa namna hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi, no wonder hata kagame alikuwa na guts za kututishia kuwa atatupiga, kwasababu kuna wanyarwanda wengi wanaojifanya watanzania na wengine hata ukiwaangalia kwa sura tu hauulizi mara mbili. siwabagui lakini usalama wa nchi kwanza, uafrica mashariki baadaye. mtaniwia radhi. wakenya ndio wengi sana, mrundi mmuja nakumbuka alikamatwa anafanya kazi tume ya sayansi na technolojia, mwignine alikamatwa mkenya akifanya kazi tanzania investment centre, mwingine alikamatwa mganda akifanya kazi uhamiaji, kuna wengi sana hawajakamatwa lakini usalama wa taifa sijajua kama wamefanya shughuli yao vya kutosha. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Hivi kwa nini ni kipindi hiki cha Magu ndo mnaleta threads zenu za chuki hivyo? Unakuta amemtongoza demu wa taifa lingine akimtolea nje anaanza kuleta mada zake za kipuuzi! We sidhani umetembea ktk nchi nyingi. Umezaliwa Ikungi, ukasoma Ikungi, unafanya kazi Ikungi, na umepanga kufia Ikungi. Umesahau kuwa kuna watz wengi tu wako ktk hizo nchi unazotaja, wameolewa, wameoa na kuzalia huko na hawajabaguliwa. Una akili za Trump, yule bully wa Marekani anaesema atawa deport waafrika wote kuja Afrika. Stupid nigger, that's what you are, nothing else!
 
Tizama ndugu, Tanzania haitaweza kuendelea hata siku moja sababu haina control na raia wake. Sasa unapopanga maendeleo unakisia una watu millioni arobaini kumbe idadi ni milioni hamsini ndani yake kuna Warundi, Wanyarwanda, Wakongo, wamalawi, Waganda, Wamakonde kibao, kila leo wanahamia nchini kwa kisingizio cha wakimbizi, siku zote budget itakuwa deficit. Mimi nafundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania, juzi tulikuwa na kesi za wanafunzi kwenye disciplinary committee, huwezi kuamini tuligundua kwamba pale chuoni kuna wanafunzi kibao kutoka Burundi na Kenya wana mikopo kutoka loan board ya Tanzania yaani wanapewa mikopo wakijulikana ni Watanzania.Baada ya kuwahoji wakasema sio wao tu ila wapo wengi tu hapo chuoni na vyuo vingine. Wanachofanya Wakenya wanawaleta watoto wao kusoma hapa Tz Primary school basi wataendelea mpaka chuo kikuu, vyuo ya ualimu na vyuo vya Udaktari na Unesi wakijulikana Watanzania. Na hii elimu bure tutalia sana tu.
Mlichukua hatua gani
 
Mimi nashauri kama mtu ni mzalendo kweli sio majungu, muwe mnatoa taarifa kwa mamlaka husika na sio kulalamika tu. Tujiridhishe kama mtu yupo nchini kwetu kihalali maana anaweza pandikizw
Shida ya waTz wengi ni chuki na wivu, kulaumu majirani wenu kwa masaibu yenu

a Osama hapa nchini mkakaaaaa hata miaka 30 mwisho wa siku idara ya usalama yote inakuwa haina maana tena kwa usalama wa nchi.
 
Hakuna wa kuwalaumu wageni , anayemlaumu mgeni huyo ni mchoyo mbona kule Botswana kuna madaktari wengi toka Tanzania pia South Africa na America kuna Watanzania wengi wapo huko kinyume cha sheria lakini wanafanya kazi na kupata riziki , ni vigumu kuwabaini wageni Tanzania kutokana na kuwa na makabila zaidi ya 100 pia hatuna national ID hata ikiwepo wageni watapewa tu , hii ID ya NIDA wageni wengi waliipata hata passport Za Tanzania wanazo wanaijeria wakongo warundi na Wanyasa ndiyo maana huko Ulaya na China jina la Tanzania limechafuka sana.

Naona unachanganya mada. Hoja si wageni kufanya kazi katika nchi Ila kuwepo kwa wageni ambao wanafanya kazi ambazo zingefaa kufanywa na watanzania wenyewe.

Kwa mfano inakuwaje uwe na mgeni anafanya kazi serikalini na mhusika anajifanya ni mtanzania au umeona wapi mtanzania akafanya uhamiaji wa Kenya na wananchi wa Kenya wakajua ni mtanzania wakamuacha afanye kazi?, Haijatokea na haitatokea.
 
Tizama ndugu, Tanzania haitaweza kuendelea hata siku moja sababu haina control na raia wake. Sasa unapopanga maendeleo unakisia una watu millioni arobaini kumbe idadi ni milioni hamsini ndani yake kuna Warundi, Wanyarwanda, Wakongo, wamalawi, Waganda, Wamakonde kibao, kila leo wanahamia nchini kwa kisingizio cha wakimbizi, siku zote budget itakuwa deficit. Mimi nafundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania, juzi tulikuwa na kesi za wanafunzi kwenye disciplinary committee, huwezi kuamini tuligundua kwamba pale chuoni kuna wanafunzi kibao kutoka Burundi na Kenya wana mikopo kutoka loan board ya Tanzania yaani wanapewa mikopo wakijulikana ni Watanzania.Baada ya kuwahoji wakasema sio wao tu ila wapo wengi tu hapo chuoni na vyuo vingine. Wanachofanya Wakenya wanawaleta watoto wao kusoma hapa Tz Primary school basi wataendelea mpaka chuo kikuu, vyuo vya ualimu na vyuo vya Udaktari na Unesi wakijulikana Watanzania. Na hii elimu bure tutalia sana tu.

Hili linaloongelewa lipo na limeanza miaka mingi sana tangu enzi za Mwl. Nyerere. Kiongozi wa kwanza wa SPLA marehemu J. Garang alisoma UDSM kama mwananfunzi wa kiTZ. Akashiriki mgomo pale chuoni Mwalimu akaagiza walioshiriki wapelekwe kuonana naye na yeye alikuwepo, Mwalimu ndiye aliyemshtukia akiuliza hilo jina umeilitoa wapi? Akakiri mbele yake kuwa ni Msudan ya kusini. Ila Mwalimu alimsamehe kwa kuwa alikuwa na ule moyo wa kusaidia wanaopigania haki zao Afrika na dunia nzima kwa ujumla.
Ipo mifano mingi sana ambao wamesoma vyuo vikuu hata vya nje kwa scholarship za Wizara ya Elimu watakuwa wanayafahamu, walikuwepo wanafunzi tuliosoma nao wakijiita watanzania, lakini pindi tu wanapomaliza hurudi kwao Rwanda, Malawi nk. hivi ni vitu naweza kudhibitisha kabisa maana nimeviona waziwazi. Yupo hata Bwana mmoja niliwahi kukutana naye aliyewahi kuwa Body Guard wa Raisi wetu mmoja kati ya waliomaliza muda wao, alikuwa anatoka Rwanda. Nchi yetu tunaishi kama vile tuliiazima mahali kwamba mwenyewe atakaporudi akute imechakaa. Inasikitisha sana kwamba hatuna uchungu na nchi yetu hata chembe. Zipo nchi jirani zinazofaidika sana na udhaifu wa Tanzania kutokuwa makini.
 
Badala ya kulia humu mtoa mada angetoa majina ya anao washuku
 
Acha ulimbuken. Watanzania wavivu wapi?unaongea kama taahira.. Na wewe unaonesha si mtanzania ndo maana umekazana kuchafua mada. Kama wewe haikuhusu si unyamaze. Mnakaribishwa then mnaanza kujawa na kiburi na matusi. Ukarimu wa watanzania ndo unakufanya uwaone ni wavivu?

Shida ya waTz wengi ni chuki na wivu, kulaumu majirani wenu kwa masaibu yenu
 
Hii mada na maoni ya baadhi ya wachangiaji vinasikitisha sana kwa sababu vinakiuka misingi yetu ya utaifa. Ikumbukwe kuwa taifa letu limeundwa juu ya misingi thabiti ya kifalsafa na kiimani. Moja ya hii misingi ni imani (creed) ya chama cha Tanu (na baadaye CCM) kuhusu usawa wa binadamu na umoja wa Afrika: "Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja". Hii imani ilipelekea Tanzania kuwa kinara katika harakati za ukombozi kusini mwa Afrika jambo ambalo limeipa nchi heshima kubwa. Hizi hisia za kibaguzi zinazoanza kujitokeza ni za hatari. Mwaka jana tulishuhudia na kulaani kwa nguvu zote mashambulizi yaliyofanywa dhidi ya wahamiaji wa Kiafrika (wakiwemo Watanzania) huko Afrika Kusini. Ilianza hivi hivi! Cha kushangaza ni kuwa Waafrika Kusini nao wako wengi nchi jirani. Na Watanzania pia wako kibao nchi jirani!
 
Inashangaza,wanamaliza form six na wanaenda JKT,sasa mtu kama huyu atashindwaje kuingia katika mfumo wa serikali. Halafu tunajivunia kitengo kipo makini,labda katika kuchakachua matokeo ya chaguzi za kisiasa.
 
Vijana wao wanaosoma Tanzania huishia kuajiriwa huku vijana wa kitanzania wakilalamika ajira. Tena nasikia wanawezeshwa kabisa ili kupunguza msongamano wa watu kutokana na uhaba wa ardhi nchini mwao. Wananunua ardhi ya kilimo na kujenga Tanzania huku serikali yetu ikiwa kimya tu. Kweli Tanzania ndio Afrika mashariki yenyewe maana hakuna nchi nyingine ya Afrika mashariki ambayo mtanzania anaweza akaingia na kupata fursa zote hizo za wajinga. Wale wanaosema Tanzania ni shamba la bibi wako sahihi kabisa. Kuna member mmoja hapa jamii forums alisema kuna mkenya yupo Chanika jijini DSM anafanya biashara ya kuuza viwanja! Hivi serikali yetu iko serious kweli? Yaani mnyarwanda, mkenya, mganda au mrundi akishakanyaga Tanzania tu basi automatically anageuka kuwa mtanzania!
 
kukagua vyeti, kwa tz watashikwa wengi sana.

Mkuu kukagua vyeti tu hakutoshi, hata RITA ni janga tupu wanatoa vyeti vya kuzaliwa bila ya ku counter check taarifa za muhusika, mtu anasema nimezaliwa kijiji fulani baba na mama majina yao ni haya, RITA hawafanyi upelezi wa kina kama taarifa ni sahihi au la - hawafanyi kabisa!! Kagame haijiamini bila sababu anatujua mpaka jikoni, sisemi ana nia mbaya na Taifa letu lakini watu wake wametapakaa sana nchini na wengi wao wameajiliwa kwenye taasisi nyeti na si Wanyarwanda tu hata Wakenya, sasa hii ni kitu hatarai likitokea la kutokea tutapata wakati mgumu - tusiji amini kupita kiasi.

Kuwadhibiti watu kama hawa ni kuwambia waseme shule ya msingi walisoma wapi, waseme na baadhi ya wanafunzi walio soma nao na mwalimu mkuu alikuwa nani, waseme na majirani wao hapo kijijini ni akina nani - majibu yao yafatiliwe mpaka vijiji wanavyo dai walizaliwa na kukulia, wakidai walikulia mjini basi Baba zao wafatiliwe na kubaini ukweli - tusilete mchezo kwenye masuala ya Usalama wa Taifa letu.
 
Vijana wao wanaosoma Tanzania huishia kuajiriwa huku vijana wa kitanzania wakilalamika ajira. Tena nasikia wanawezeshwa kabisa ili kupunguza msongamano wa watu kutokana na uhaba wa ardhi nchini mwao. Wananunua ardhi ya kilimo na kujenga Tanzania huku serikali yetu ikiwa kimya tu. Kweli Tanzania ndio Afrika mashariki yenyewe maana hakuna nchi nyingine ya Afrika mashariki ambayo mtanzania anaweza akaingia na kupata fursa zote hizo za wajinga. Wale wanaosema Tanzania ni shamba la bibi wako sahihi kabisa. Kuna member mmoja hapa jamii forums alisema kuna mkenya yupo Chanika jijini DSM anafanya biashara ya kuuza viwanja! Hivi serikali yetu iko serious kweli? Yaani mnyarwanda, mkenya, mganda au mrundi akishakanyaga Tanzania tu basi automatically anageuka kuwa mtanzania!

Mkuu hata ili suala la Ujambazi wa ajabu ajabu kiini chake kinaweza kuwa ni hawa wageni ambao kwao kuuana ni jambo la kawaida sana - Watanzania walio wengi ujasiri huo hawana kabisa, sasa kama taasisi zetu nyeti kama uhamiaji/mambo ya ndani who knows labda hata TISS wameajili wageni bila ya kujua kutokana kuwa too sloppy katika veting, sasa mtu unategemea nini? Hao ndio wanatumika kutoa au kufanya mipango ya kuwapatia wageni passport na uraia, ni watu hatari sana - Mnayarwanda mpaka anafikia kupewa cheo cha Ukanali Jeshini alafu tukae tukijidanganya kwamba mambo bam bam tuko salama by 100%?
 
Mkuu kukagua vyeti tu hakutoshi, hata RITA ni janga tupu wanatoa vyeti vya kuzaliwa bila ya ku counter check taarifa za muhusika, mtu anasema nimezaliwa kijiji fulani baba na mama majina yao ni haya, RITA hawafanyi upelezi wa kina kama taarifa ni sahihi au la - hawafanyi kabisa!! Kagame haijiamini bila sababu anatujua mpaka jikoni, sisemi ana nia mbaya na Taifa letu lakini watu wake wametapakaa sana nchini na wengi wao wameajiliwa kwenye taasisi nyeti na si Wanyarwanda tu hata Wakenya, sasa hii ni kitu hatarai likitokea la kutokea tutapata wakati mgumu - tusiji amini kupita kiasi.

Kuwadhibiti watu kama hawa ni kuwambia waseme shule ya msingi walisoma wapi, waseme na baadhi ya wanafunzi walio soma nao na mwalimu mkuu alikuwa nani, waseme na majirani wao hapo kijijini ni akina nani - majibu yao yafatiliwe mpaka vijiji wanavyo dai walizaliwa na kukulia, wakidai walikulia mjini basi Baba zao wafatiliwe na kubaini ukweli - tusilete mchezo kwenye masuala ya Usalama wa Taifa letu.
Mkuu kuna wakati kulitokea wimbi la kupeleka watoto wetu kusoma huko Kenya na Uganda! Wengine walikuwa wakienda huko kuanza chekechea. Hapo pia kuna tatizo. Ukimuuliza mtoto atamtaja mwalimu mkuu wa shule ya Uganda ama Kenya utamwambia si raia.
 
By Hute
''.....hapa juzi, Arusha walionekana wakenya na waganda wakiandikisha watoto wao kwenye vizazi na vifo.
...''
Mkuu, zoezi hilo ni muhimu sana hata nje ya nchi watanzania wakizaliwa pia huandikishwa ofisi ya vizazi na vifo.

Ila ofisi ya vizazi na vifo wawe makini wakati wa kutoa vyeti hivyo kwa kuweka taarifa sahihi za mtoto na wazazi wake.

Pia Ofisi za Vizazi na Vifo ndiyo chimbuko la data kwa ajili ya Ofisi za Takwimu, Uhamiaji n.k suala ni kuwa zoezi la kuandikisha watoto Vizazi na Vifo lifanywe kwa umakini.
Ni sawa. Cheti cha kuzaliwa hakitolewi kwa raia tu, bali kwa yeyote aliyezaliwa humo kwenye nchi husika. Ndiyo maana kuna column inayoonyesha uraia wa baba na mama kwenye kile cheti. Hizo ndio data zinazotakiwa kufahamika na kuwekwa wazi wakati wa uandikishaji.
 
Back
Top Bottom