hebu kidogo, hivi waTz hamna Id cards?😕Hivi kwa mfano sasa hivi ukiulizwa wewe ni Mtanzania utaleta uthibitisho gani wenzetu Kenya wana vitambulisho tangu zamani.
Hamna kitu kama hicho.hebu kidogo, hivi waTz hamna Id cards?😕
Tizama ndugu, Tanzania haitaweza kuendelea hata siku moja sababu haina control na raia wake. Sasa unapopanga maendeleo unakisia una watu millioni arobaini kumbe idadi ni milioni hamsini ndani yake kuna Warundi, Wanyarwanda, Wakongo, wamalawi, Waganda, Wamakonde kibao, kila leo wanahamia nchini kwa kisingizio cha wakimbizi, siku zote budget itakuwa deficit. Mimi nafundisha chuo kikuu kimoja hapa Tanzania, juzi tulikuwa na kesi za wanafunzi kwenye disciplinary committee, huwezi kuamini tuligundua kwamba pale chuoni kuna wanafunzi kibao kutoka Burundi na Kenya wana mikopo kutoka loan board ya Tanzania yaani wanapewa mikopo wakijulikana ni Watanzania.Baada ya kuwahoji wakasema sio wao tu ila wapo wengi tu hapo chuoni na vyuo vingine. Wanachofanya Wakenya wanawaleta watoto wao kusoma hapa Tz Primary school basi wataendelea mpaka chuo kikuu, vyuo vya ualimu na vyuo vya Udaktari na Unesi wakijulikana Watanzania. Na hii elimu bure tutalia sana tu.Shida ya waTz wengi ni chuki na wivu, kulaumu majirani wenu kwa masaibu yenu
Wewe ni mmoja waoupuzi
Hivi kwa mfano sasa hivi ukiulizwa wewe ni Mtanzania utaleta uthibitisho gani wenzetu Kenya wana vitambulisho tangu zamani.
hebu kidogo, hivi waTz hamna Id cards?😕
wanichanganya sasa.....mbona sikuelewi?Hamna kitu kama hicho.
maanake akisema ukweli mnaweza mbaguaNi kuna mwalimu Mkuu mmoja hapa mwanza anadai ni mdigo wa tanga, kiukwel ni mkenya wa Mombasa vijijin
Umechanganya habari mazeenaiman64 I agree, hata kwetu Kenya tunapitia hizo changamoto.....lakini msiseme waTz mwadharauliwa kwa hilo, ukija Nairobi vilabu vingi ni miziki ya kibongo na watu wanapenda. Hutosikia hata mkenya mmoja akisema hii miziki ya Tz inaharibu soko la miziki ya kikwetu
Hatuna Idwanichanganya sasa.....mbona sikuelewi?
basi hilo ni tatizoHatuna Id
Lazima, nyie si wajuaji ndicho kinachowacostmaanake akisema ukweli mnaweza mbagua
mbona ameandika kwamba amewaripoti wengi....vipi amekugusa pabayaKwa jinsi ulivyoandika inaokekana unaandika kichuki chuki tu na ukiambiwa wataje au waonyeshe sidhani utaweza, ijapokuwa inawezekana kweli wapo, kila mwananchi anatakiwa awe na uchungu na nchi yake na kuilinda, kama kweli umefanya utafiti na unauhakika na unayoyasema na unajua athari za watu kama hao, kwanini usiende kutoa taarifa idara zinazohusika na uwape ushahidi wako.
meffi wwLazima, nyie si wajuaji ndicho kinachowacost
WAKUU, katika utafiti wangu nimegundua kuna raia wa kenya wengi sana wameajiriwa katika public service, waganda pia wapo wengi, warundi na wanyarwanda wapo wengi sana. binafsi kufanya kazi katika private sector najua kuna sheria inayowaruhusu kama wakitimiza vigezo, lakini imefika kipindi wanaajiriwa serikalini wakiwa wamefoji vyeti vya kuzaliwa na passport na kujifanya watanzania. usalama wa nchi upo wapi hapo? mtu akifanya kazi serikalini na yeye sio mtanzania anaweza kupeleka siri zote nchini kwake, na akibadilisha vyeti, ndi kabisaa, watoto wake watahesabika watanzania hata bila kuwa naturalized, naiomba serikali ifanye hivi:
hapa juzi, Arusha walionekana wakenya na waganda wakiandikisha watoto wao kwenye vizazi na vifo.
- serikali ikague vyeti vyote vya wafanyakazi serikalini, kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule na vyuo, passport etc na wafanye check up na RITA, uhamiaji na shule wanazosema wamesoma etc.
- wananchi wa Tanzania watoe siri, ukiona unamtilia shaka raia yeyote anayefanya kazi kwenye public sector, peleka siri hiyo uhamiaji ili uahmiaji waje wamkague kujiridhisha.
- wengine wengi ni wanawake walioolewa na watz lakini bado hawajachukua uraia.
kuna wafanyakazi wengi tu mimi nimeshawaripoti, wengine wanafanya kazi sector muhimu kabisa za serikali, wamefoji vyeti vya kuzaliwa, passport, na vya shule ili waonekane walizaliwa hapa na kusoma hapa, lakini nyuma ya pazia wana vyeti na pass za nchi zao. ni lazima tushirikiane kufichua suala hili.
nchi inayokaa na wageni wa namna hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi, no wonder hata kagame alikuwa na guts za kututishia kuwa atatupiga, kwasababu kuna wanyarwanda wengi wanaojifanya watanzania na wengine hata ukiwaangalia kwa sura tu hauulizi mara mbili. siwabagui lakini usalama wa nchi kwanza, uafrica mashariki baadaye. mtaniwia radhi. wakenya ndio wengi sana, mrundi mmuja nakumbuka alikamatwa anafanya kazi tume ya sayansi na technolojia, mwignine alikamatwa mkenya akifanya kazi tanzania investment centre, mwingine alikamatwa mganda akifanya kazi uhamiaji, kuna wengi sana hawajakamatwa lakini usalama wa taifa sijajua kama wamefanya shughuli yao vya kutosha. MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Wewe nilikujua ni mkenya pale kwenye post yako ya kwanza tu, ulijitambulisha vizuri sanameffi ww
Chuki peleka huko===================================>> meffi ya mbwa wwWewe nilikujua ni mkenya pale kwenye post yako ya kwanza tu, ulijitambulisha vizuri sana
Ujuaji Ujinga ndiyo huu uliouonyesha.
Big up Mkenya