Wakenya, Waganda na Warundi Serikalini

Wakenya, Waganda na Warundi Serikalini

Mkuu upo sahihi, ni kweli hawa watu hawafai hata kidogo

Shivyo serikali tunaomba hili swala mlifanyie kazi other wise hii nchi kwa miaka ya baadae itakuja kuongozwa na hawa watu wasiokuwa na utu!
nenda ukanye urudi jukwaani budah, naona msukumo wa meffi unafanya unakosa kuwa na fikra swafi
 
Tanzania ifike mahali Idara ya kazi wawaondoe wageni kwenye sekta binafsi wamejaa yaani kampuni za Ulinzi wageni ni wengi je Watanzania hawana sifa viwandani pia n.k
 
JPM piga chini hao na kuwapeleka makwao! wameshindwa kulinda raia ktk nchi zao kila day wanadundwa na shabbabu, kama ni vidume kweli rudini kwenu mkapambane nao! Magufuli babaa piga kazi, fukuza hao serikalini
 
Imekuuma eee mtaondolewa wote! Hapa kazi tu hakuna mchezo
najaribu kukumbusha kuwa huo ujinga ulio nao yapasa uupunguze, mimi niko Nairobi (I work here n cant complain abt pay n benefits) na sijawahi fika Tz even once japo napanga kuja huko sio kikazi bali kuwadinya mabinti wenu hadi kwa settings...wale nimewadinya huku Nairobi humwaga kumwaga then get clingy, otherwise keep off my posts nugu hii
I725qib.gif
 
JPM piga chini hao na kuwapeleka makwao! wameshindwa kulinda raia ktk nchi zao kila day wanadundwa na shabbabu, kama ni vidume kweli rudini kwenu mkapambane nao! Magufuli babaa piga kazi, fukuza hao serikalini
we r international citizens mazafaka, boundaries do not hold our ambitions back...we can work anywhere around the globe...hili fahamu na ufahamu sana mzaee
 
yule mjeshi aliyekuwa anafanyia idara moja nyeti ya jeshi na kutorokea ruanda alikuwa mrundi ?
Wapo wengi sana tena Raia wa malawi Amewahi kuwa Waziri wa fedha ni vigumu kuwabaini wengi wameishi Tanzania mda mrefu wanajua mbinu zote za kutegua mitego .
 
we r international citizens mazafaka, boundaries do not hold our ambitions back...we can work anywhere around the globe...hili fahamu na ufahamu sana mzaee
Sasa mbona hamwendi kufanya kazi Somalia ? Nendeni Burundi Nendeni Sudan kusini huko kunawafaa sana .
 
najaribu kukumbusha kuwa huo ujinga ulio nao yapasa uupunguze, mimi niko Nairobi (I work here n cant complain abt pay n benefits) na sijawahi fika Tz even once japo napanga kuja huko sio kikazi bali kuwadinya mabinti wenu hadi kwa settings...wale nimewadinya huku Nairobi humwaga kumwaga then get clingy, otherwise keep off my posts nugu hii
I725qib.gif
Wapo wengi sana kuwabaini ni vigumu kutokana na Nchi hii kupakana na Nchi kibao
 
Kama hamna Id cards basi inakuwa vigumu, hili lawama liangukie serikali yenu kwa kukosa mbinu au sera mwafaka...sio kulaumu wageni ambao wako kwenu kutafuta riziki
 
Hilo ni kweli kabisa, wapo mpaka wa Malawi wanaojifanya Wangoni.
Jijini Dsm kuna Wanyasa Kama laki 3 hivi wote wameajiriwa Masaki, Mikochen , Mbezi nk kinachowapa nafasi kirahisi ni Kujua Lugha ya Mkoloni .
 
Poa endeleeni kusambaa mpaka kule Bengals , Syria na kwingine kote Kama afaganistan nk .
Hatusambai kwa kupenda, sisi ni watafutaji sana na qualifications tunazo....hata nyinyi waTz ile siku mtachanuka mtakuwa kama sisi tu
 
Lugha ya Mkoloni .
Nyinyi bakini hapo na Kiswahili tu, halafu nafasi zinazohitaji wanaojua lugha ya mkoloni zikitokea na waTz mkose kuchukuliwa mwaleta chuki, uchochezi na wivu
 
Kama hamna Id cards basi inakuwa vigumu, hili lawama liangukie serikali yenu kwa kukosa mbinu au sera mwafaka...sio kulaumu wageni ambao wako kwenu kutafuta riziki
Hakuna wa kuwalaumu wageni , anayemlaumu mgeni huyo ni mchoyo mbona kule Botswana kuna madaktari wengi toka Tanzania pia South Africa na America kuna Watanzania wengi wapo huko kinyume cha sheria lakini wanafanya kazi na kupata riziki , ni vigumu kuwabaini wageni Tanzania kutokana na kuwa na makabila zaidi ya 100 pia hatuna national ID hata ikiwepo wageni watapewa tu , hii ID ya NIDA wageni wengi waliipata hata passport Za Tanzania wanazo wanaijeria wakongo warundi na Wanyasa ndiyo maana huko Ulaya na China jina la Tanzania limechafuka sana.
 
go hang mazafaka, kama unaushahidi washtaki kwa polisi sio kuja hapa kutulilialilia kama ambao ni sisi tumekuzuia kuwashtaki....get a life nigga
Tupa jiwe kizani ukisia yalaa, jua limempata.

Mkuu bila miwani ya kisomi, wewe sio Mtanzania.

Kubali kataa.
 
WAKUU, katika utafiti wangu nimegundua kuna raia wa kenya wengi sana wameajiriwa katika public service, waganda pia wapo wengi, warundi na wanyarwanda wapo wengi sana. binafsi kufanya kazi katika private sector najua kuna sheria inayowaruhusu kama wakitimiza vigezo, lakini imefika kipindi wanaajiriwa serikalini wakiwa wamefoji vyeti vya kuzaliwa na passport na kujifanya watanzania. usalama wa nchi upo wapi hapo? mtu akifanya kazi serikalini na yeye sio mtanzania anaweza kupeleka siri zote nchini kwake, na akibadilisha vyeti, ndi kabisaa, watoto wake watahesabika watanzania hata bila kuwa naturalized, naiomba serikali ifanye hivi:

  1. serikali ikague vyeti vyote vya wafanyakazi serikalini, kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule na vyuo, passport etc na wafanye check up na RITA, uhamiaji na shule wanazosema wamesoma etc.
  2. wananchi wa Tanzania watoe siri, ukiona unamtilia shaka raia yeyote anayefanya kazi kwenye public sector, peleka siri hiyo uhamiaji ili uahmiaji waje wamkague kujiridhisha.
  3. wengine wengi ni wanawake walioolewa na watz lakini bado hawajachukua uraia.
hapa juzi, Arusha walionekana wakenya na waganda wakiandikisha watoto wao kwenye vizazi na vifo.

kuna wafanyakazi wengi tu mimi nimeshawaripoti, wengine wanafanya kazi sector muhimu kabisa za serikali, wamefoji vyeti vya kuzaliwa, passport, na vya shule ili waonekane walizaliwa hapa na kusoma hapa, lakini nyuma ya pazia wana vyeti na pass za nchi zao. ni lazima tushirikiane kufichua suala hili.

nchi inayokaa na wageni wa namna hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi, no wonder hata kagame alikuwa na guts za kututishia kuwa atatupiga, kwasababu kuna wanyarwanda wengi wanaojifanya watanzania na wengine hata ukiwaangalia kwa sura tu hauulizi mara mbili. siwabagui lakini usalama wa nchi kwanza, uafrica mashariki baadaye. mtaniwia radhi. wakenya ndio wengi sana, mrundi mmuja nakumbuka alikamatwa anafanya kazi tume ya sayansi na technolojia, mwignine alikamatwa mkenya akifanya kazi tanzania investment centre, mwingine alikamatwa mganda akifanya kazi uhamiaji, kuna wengi sana hawajakamatwa lakini usalama wa taifa sijajua kama wamefanya shughuli yao vya kutosha. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Pale wizara ya Afya nawafahamu mkenya mmoja, nilisoma nae alifanyiwa mchongo na mkenya mwenzake pale Wizarani.

Rushwa ya Tigo nayo imezidi
 
Hatusambai kwa kupenda, sisi ni watafutaji sana na qualifications tunazo....hata nyinyi waTz ile siku mtachanuka mtakuwa kama sisi tu
Elimu ya Tz ni std 7 Kiswahili tupu, sekondari form 4 na six Lugha ya Mkoloni wengu husoma Kwa kukariri ni miaka mingi kufika chuo kikuu wengi huzeeka wakiwa bado shule. Kenya kuna darasa la 8 na form 4 kisha chuo kikuu wengi humaliza shule wakiwa Vijana hivyo kuanza harakati Za Ujenzi wa Nchi mapema . Kuna JIPU kwenye Mfumo wa Elimu ya Tanzania kwani haiendani na soko la ajira.
 
WAKUU, katika utafiti wangu nimegundua kuna raia wa kenya wengi sana wameajiriwa katika public service, waganda pia wapo wengi, warundi na wanyarwanda wapo wengi sana. binafsi kufanya kazi katika private sector najua kuna sheria inayowaruhusu kama wakitimiza vigezo, lakini imefika kipindi wanaajiriwa serikalini wakiwa wamefoji vyeti vya kuzaliwa na passport na kujifanya watanzania. usalama wa nchi upo wapi hapo? mtu akifanya kazi serikalini na yeye sio mtanzania anaweza kupeleka siri zote nchini kwake, na akibadilisha vyeti, ndi kabisaa, watoto wake watahesabika watanzania hata bila kuwa naturalized, naiomba serikali ifanye hivi:

  1. serikali ikague vyeti vyote vya wafanyakazi serikalini, kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule na vyuo, passport etc na wafanye check up na RITA, uhamiaji na shule wanazosema wamesoma etc.
  2. wananchi wa Tanzania watoe siri, ukiona unamtilia shaka raia yeyote anayefanya kazi kwenye public sector, peleka siri hiyo uhamiaji ili uahmiaji waje wamkague kujiridhisha.
  3. wengine wengi ni wanawake walioolewa na watz lakini bado hawajachukua uraia.
hapa juzi, Arusha walionekana wakenya na waganda wakiandikisha watoto wao kwenye vizazi na vifo.

kuna wafanyakazi wengi tu mimi nimeshawaripoti, wengine wanafanya kazi sector muhimu kabisa za serikali, wamefoji vyeti vya kuzaliwa, passport, na vya shule ili waonekane walizaliwa hapa na kusoma hapa, lakini nyuma ya pazia wana vyeti na pass za nchi zao. ni lazima tushirikiane kufichua suala hili.

nchi inayokaa na wageni wa namna hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi, no wonder hata kagame alikuwa na guts za kututishia kuwa atatupiga, kwasababu kuna wanyarwanda wengi wanaojifanya watanzania na wengine hata ukiwaangalia kwa sura tu hauulizi mara mbili. siwabagui lakini usalama wa nchi kwanza, uafrica mashariki baadaye. mtaniwia radhi. wakenya ndio wengi sana, mrundi mmuja nakumbuka alikamatwa anafanya kazi tume ya sayansi na technolojia, mwignine alikamatwa mkenya akifanya kazi tanzania investment centre, mwingine alikamatwa mganda akifanya kazi uhamiaji, kuna wengi sana hawajakamatwa lakini usalama wa taifa sijajua kama wamefanya shughuli yao vya kutosha. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Kama wamefikia mpaka kudanganya Vyeti na Passport ni Sheeeda. Wahusika wanatakiwa kuendelea kufanyia kazi.
Tunaweza kufika mpaka Rais wetu akawa si Mtanzania.
 
Back
Top Bottom