Wakenya, Waganda na Warundi Serikalini

Wakenya, Waganda na Warundi Serikalini

Shida ya waTz wengi ni chuki na wivu, kulaumu majirani wenu kwa masaibu yenu
Tatizo liko kwa nani hasa? kwa sababu sisi ndio tunaolegea na kuruhusu wachukue nafasi mpaka za jeshini. Kama kuna anaebisha basi aniambia ni watanzania wangapi wana jeuri ya kuweza kuajiriwa kwenye serikali za hao wenzetu.
 
Yaani kuna Watanzania wenzetu wengine wanaishi kwenye hii nchi kama vile siyo kwao ...hivyo hawajali chochote kile,sasa sijui wanafikiri hii nchi ikipata dhoruba watakuwa na amani kweli? Inasikitisha
 
Msiwe wa haraka katika kuhukumu, Mnamshambulia jamaa, Mara peleka majina, Oh mara majungu lkn hii yote nikutofikiria kwa marefu na mapana hoja yake ya msingi kuhusiana na wageni waliopo serikalini na athari zake kwa mustakabali wa nchi.

Hongera sana mtoa hoja, Usivunjike moyo. Ndio tabia za binadamu zilivyo wengine kwenye mazuri wanalaumu na kwenye mabaya wanasifia.
point
 
kuna watu wanalipuka lipuka humu nadhani hili jiwe linawahusu. kama hampo kihalali kwendeni zenu.
 
kwa hiyo unataka uwepo serikalini kwa kisingizio hicho ,cha kutembea, sasa nn mantiki ya kila nchi kuwa na raia wake
tembea ujionee, lakini hiyo akili yako ndogo sidhani itaelewa chochote hata ukitembea
ok, sasa nn mantiki ya kila nchi kuwa na raia wake ?
 
kwa hiyo unataka uwepo serikalini kwa kisingizio hicho ,cha kutembea, sasa nn mantiki ya kila nchi kuwa na raia wake

ok, sasa nn mantiki ya kila nchi kuwa na raia wake ?
Kama mwakosa maarifa muhimu ya kuendesha shughuli zenyewe na serikali yenu yataka nchi yenu iendelee itafanyani? They'll hire from outside...kifupi bwana ni up your skills n pple will not come from outside to occupy jobs meant for you guys.
 
WAKUU, katika utafiti wangu nimegundua kuna raia wa kenya wengi sana wameajiriwa katika public service, waganda pia wapo wengi, warundi na wanyarwanda wapo wengi sana. binafsi kufanya kazi katika private sector najua kuna sheria inayowaruhusu kama wakitimiza vigezo, lakini imefika kipindi wanaajiriwa serikalini wakiwa wamefoji vyeti vya kuzaliwa na passport na kujifanya watanzania. usalama wa nchi upo wapi hapo? mtu akifanya kazi serikalini na yeye sio mtanzania anaweza kupeleka siri zote nchini kwake, na akibadilisha vyeti, ndi kabisaa, watoto wake watahesabika watanzania hata bila kuwa naturalized, naiomba serikali ifanye hivi:

  1. serikali ikague vyeti vyote vya wafanyakazi serikalini, kuanzia vyeti vya kuzaliwa, vyeti vya shule na vyuo, passport etc na wafanye check up na RITA, uhamiaji na shule wanazosema wamesoma etc.
  2. wananchi wa Tanzania watoe siri, ukiona unamtilia shaka raia yeyote anayefanya kazi kwenye public sector, peleka siri hiyo uhamiaji ili uahmiaji waje wamkague kujiridhisha.
  3. wengine wengi ni wanawake walioolewa na watz lakini bado hawajachukua uraia.
hapa juzi, Arusha walionekana wakenya na waganda wakiandikisha watoto wao kwenye vizazi na vifo.

kuna wafanyakazi wengi tu mimi nimeshawaripoti, wengine wanafanya kazi sector muhimu kabisa za serikali, wamefoji vyeti vya kuzaliwa, passport, na vya shule ili waonekane walizaliwa hapa na kusoma hapa, lakini nyuma ya pazia wana vyeti na pass za nchi zao. ni lazima tushirikiane kufichua suala hili.

nchi inayokaa na wageni wa namna hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi, no wonder hata kagame alikuwa na guts za kututishia kuwa atatupiga, kwasababu kuna wanyarwanda wengi wanaojifanya watanzania na wengine hata ukiwaangalia kwa sura tu hauulizi mara mbili. siwabagui lakini usalama wa nchi kwanza, uafrica mashariki baadaye. mtaniwia radhi. wakenya ndio wengi sana, mrundi mmuja nakumbuka alikamatwa anafanya kazi tume ya sayansi na technolojia, mwignine alikamatwa mkenya akifanya kazi tanzania investment centre, mwingine alikamatwa mganda akifanya kazi uhamiaji, kuna wengi sana hawajakamatwa lakini usalama wa taifa sijajua kama wamefanya shughuli yao vya kutosha. MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Mkuu upo sahihi, ni kweli hawa watu hawafai hata kidogo

serikali tunaomba hili swala mlifanyie kazi other wise hii nchi kwa miaka ya baadae itakuja kuongozwa na hawa watu wasiokuwa na utu!
 
Back
Top Bottom