Wakenya mnatuharibia Kiswahili

Mtoii - mtoto
Msupuu - dem mzuri au mkali
Ushaghoo - kijijini
Utampea - utampatia
Ngili 1 - 1,000/- ksh
Ksh. 50, 20, 10 Bob -
Juu, ni vile - kwa vile
Budaa - mtu mzima au mzee
Finya # au * - bonyeza # au *
ako Kwa nyumba - yupo nyumbani
Matumbo - utumbo
Chapoo - chapati
Matatuu - daladala
Mambo ni mengi muda ni mchache.
 
Mtoii - mtoto
Msupuu - dem mzuri au mkali
Ushaghoo - kijijini
Utampea - utampatia
Ngili 1 - 1,000/- ksh
Ksh. 50, 20, 10 Bob -
Juu, ni vile - kwa vile
Budaa - mtu mzima au mzee
Finya # au * - bonyeza # au *
ako Kwa nyumba - yupo nyumbani
Matumbo - utumbo
Chapoo - chapati
Matatuu - daladala
Mambo ni mengi muda ni mchache.
Hiyo ni Sheng yote .
 
Hata mleta Mada hujui Kiswahili mfano ''mpaka kuonekana'' siyo kiswahili fasaha! Tamatahali za semi hujui hata moja, jazanda na sitiara za kiswahili kwako ni mweupe ila unanyooshea Kidole wenyeji wa Nairobi, wala siyo wakenya wote, Nenda Mombasa ukutane na rahaja za kiswahili zilizo tukuka!

Kwa Tanzania Nenda Mara sehemu km Tarime, Musoma vjijini utadhani siyo Tanzania, Nyumba ya Bati wanaita nyumba ya pati, tiricha=dirisha, DSM=taisarama, mswahili=mchwairi! wanajeshi=wanachesi, Bus= pasi mutukari

Ukienda usukumani ndo mamaaa! Rais wenu!

Angalia sasa gwaride la afande m-Zanzibar

''Gwaridee!! Mguu kati!! mguu kando!!! mguu kati mguu kando!!!

Bara geukiaaa!!! Pembaaa geukaa!!

Mwiliii Rejeshaa!!!! kuleni tanoo! Nilichoka kwa mbavu zangu.....
 
Kuna mtu namsikiaga katika neno kufanya anasemaga kufanza mfano kulifanyia kazi anasema kulifanzia kazi kama umeshawahi kumsikia wajulishe na wengine
 
Hata mleta Mada hujui Kiswahili mfano ''mpaka kuonekana'' siyo kiswahili fasaha! Tamatahali za semi hujui hata moja, jazanda na sitiara za kiswahili kwako ni mweupe ila unanyooshea Kidole wenyeji wa Nairobi, wala siyo wakenya wote, Nenda Mombasa ukutane na rahaja za kiswahili zilizo tukuka!

Kwa Tanzania Nenda Mara sehemu km Tarime, Musoma vjijini utadhani siyo Tanzania, Nyumba ya Bati wanaita nyumba ya pati, tiricha=dirisha, DSM=taisarama, mswahili=mchwairi! wanajeshi=wanachesi, Bus= pasi mutukari

Ukienda usukumani ndo mamaaa! Rais wenu!

Angalia sasa gwaride la afande m-Zanzibar

''Gwaridee!! Mguu kati!! mguu kando!!! mguu kati mguu kando!!!

Bara geukiaaa!!! Pembaaa geukaa!!

Mwiliii Rejeshaa!!!! kuleni tanoo! Nilichoka kwa mbavu zangu.....
Lahaja... Unachojua Ni lugha ya kitabuni.. Kiswahili hamkijui. Kama tarime hawajui Kiswahili sababu ya matamshi... Basi Kiingereza Kenya kipigwe marufuku tu.. maana mnatumia nguvu mno kuongea lugha hiyo.. #kongolatulashoni# #goingi#
 
Umekuja vizuri sisi twajua cha kitabuni nyie mwajua cha maneno huoni bado tunazidiana? japo Kenya vitabu watauza, watashiba, nyinyi Mtauza nini? maneno yanauzwa ndugu? unanichekesha sana!
Tunatumia nguvu kuongea lugha ile ni kweli tuna nguvu hasa hata tembea yetu tu, ni nguvu, majaaliwa ya Afya bora twacheza twaimba, na kula vizuri!

Maziwa bure, Sima kubwa liloboreshwa, Mboga sukuma week mwanana, Nyama laini na Bora Africa, Matunda bora acha yale ya kupepea toka chanika, na siyo kushindia kakitumbua na maji meusi eti mwaita chai!

cha kitabuni? naaam!! ndiyo haswa akili ya kusoma chetu kilichoandikwa. siyo tarime tu, wasukuma, wachaga, wazanzibar, wahaya ni utakaa chini, Tanzania huijui weye! unaongelea ukanda wa pwani ya TZ tu, Kenya pia ipo pwani yake!
 
hakuna chochote acha porojo Kenya hamjui kiswahili cha kitabuni wala cha kuongea.Wakenya wengi wanachokijua ni majivuno
 
Back
Top Bottom