Nyaru-sare
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 5,263
- 3,626
Huwezi jivuna kama hujui, kujivuna ni kipajiMkuu, na kujivuna sababu umebarikiwa siyo dhambi!!! tatizo ni lenu hasa, mnaumia ndani ya myoyo yenu nyie mnajiona duni sana mbele ya wakenya. mkiwaona mnatetemeka! ndiyo twazidisha sasa afadhali ungenyamaza, ndiyo kiswahili chetu kilivo ati, hata nyie hamkijui chetu! unabishahakuna chochote acha porojo Kenya hamjui kiswahili cha kitabuni wala cha kuongea.Wakenya wengi wanachokijua ni majivuno
Kiswahili cha kitabuni ndo nyie mnatusema tunakijua tu, halafu mnajipinga tena, mbona hamueleweki ndg. tukijitetea kwa hoja mnajipinga hivi mna akili kweli?
Viambishi na ngeli za Nomino za ki-kenya nitofauti sana msilazimishe tuwe km nyie, Wanyamwezi na wasukuma wanaongea sawa, lkn mnymwezi siyo msukuma, Mzanaki siyo Mkurya, Mjita siyo Mruri, wala Mkwaya siyo mjita au mkerewe lkn Lugha zao kimatamshi ni sawa.
Mzaramo siyo Mkwere, jaribu pinga kwa hoja! mnakitamani kiswahili cha Kenya sana ila hamu wezi ni cha kisomi zaidi.