financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,520
Aliniacha sababu sikumpa mbususu nikidhani bado ni mapema hadi tufahamiane na kuzoeana zaidi, eeh kikafuata kibuti heavy nimebaki nalia lia tu maana i truly loved him😒😒
Duuu,[emoji848]Wangu nilimwacha mwenyewe sipendagi ujinga kabisa.
Usiku 1 nilimpigia simu akapokea kidume mwenzangu bwana,kwenye namba ya yule niliekuwa namwaitwa baby wangu,cha ajabu mwamba alinambia "Aisee we vipi mbona msumbufu watu wamepunzika saivi".
Pale pale nikasema inatosha na hiyo nilitoka safari 1 tu kwenda mkoa mwingine na kumwacha peke yake.
Njoo basi kwangu mrembo hutojutia.Aliniacha sababu sikumpa mbususu nikidhani bado ni mapema hadi tufahamiane na kuzoeana zaidi, eeh kikafuata kibuti heavy nimebaki nalia lia tu maana i truly loved him[emoji19][emoji19]
Nije ili na wewe uniache siyo? 🙄🙄Njoo basi kwangu mrembo hutojutia.
[emoji16][emoji16][emoji16]Baada ya kumaliza kozi jkt mujibu wa sheria siku tunarudishiwa simu tu nikajiunga mwenyewe nimtafute mpenzi ile namtumia sms "mambo bby" alichonijibu sasa nan baby wako akasema mm sio baby wako sikujui mm itakua umekosea namba hakyamungu pitshort niliiona nzito had leo hii anajifanya kujtumisha mesej m namzoom tu
Hapana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mme mwenzio huyo
😒😒😒Woiiiiiiiiiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ukijib sjui manake ni kweliNaamka tu asubuhi nakutana na sms "mpenzi nimeota unanicheat ati ni kweli..?"
Nikajibu mi sijui! Hapohapo nikaambiwa andelea na kutokujua kwako kwaheri! Kupiga nakuta nimeshablokiwa.
Ndoto yake haina uthibitishoUkijib sjui manake ni kweli
“Nime move on,Nimesharudiana na Ex wangu.Endelea na maisha yako”
" Baby naomba tusitishe mawasiliano hadi mfungo Wa ramadhan uishe sababu Wewe sio mchumba wangu" wadau nahisi hapa sina changu
Kuanzia sasa naomba tuachane uwezi kulea mimba au nikipata tatizo lolote
Siku mjibu nikawa kimya...
Ikapita Week 2 akanichek ninamimba nikamjibu sawa.ongera jambo la kheri.
Ila ni ya X wangu anakipato kizur cha kulea mimba na mtoto.nikamjibu sawa ila naomba usinitafute tena mahana msichana nilie nae sasa ni mkali mno..
Baada ya mudah rafiki yake ananiambia ile mimba ilipimwa DNA na kuonekana sio yake jamaa amesitisha uduma..
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
nilikuta vidonge vya arv kwenye mkoba wake nilipo hoji majimu niriyo pewa adi nilichanganyikiwa
Njoo basi kwangu mrembo hutojutia.
Nije ili na wewe uniache siyo? [emoji849][emoji849]
Nikae nakunyenyekea kwani wewe ninani? Malaya mmoja wewe,
Nimecopy sms yake
Jamaa alikuwa fala huyu.eti akaja anataka turudiane.eti alikuwa amelewa nilimuudhi Sana.