Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Wakati unaachwa ulipewa sababu gani?

Poa pole bwana kwa yaliyokukuta
Ahsante mbona yananikuta mengi Hadi ya kung'atwa! Tuachane na hayo.. nataka nijipindue kwake ktk namna ya mbiringito tambarajika! Wasemaje..?
 
Sababu gani tena zaidi niliambiwa na bonge la kipara la uzee wakati kijana mdogo Kama chungu kipya,pia eti mi mweusi Kama pampu halafu na bonge la mavigimbi na mguu Kama koleo.Vyote hivyo nikijiangalia ni sawa ila aliongeza chumvi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
Back
Top Bottom