GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,894
- 109,620
Asanteni sana marafiki zangu mlioko South Africa, Uganda, Uingereza, Ufaransa, Marekani, China, Germany, Israel na Sweden mlioniuliza ni kwanini kila mkiingia karika kurasa za Mitandao kujua kuhusu hili Kombe jipya la African Football League (AFL) linaloanza Siku ya Ijumaa hapa Tanzania (Timu Bora Afrika Mashariki na Kati ya Simba SC ikiwakilisha) Matangazo ya Utalii mnayoyaona ni ya kuhusu Utalii wa Rwanda na Saudi Arabia pekee.
Kuwajibu tu kwa kifupi marafiki zangu nyie ni kwamba kama kuna nchi Barani Afrika yenye Kiongozi (Rais) Anayejitambua, Mpambanaji, Msomi mzuri na Mwerevu mno na ina wananchi Wazalendo, Wathubutu na Wachapakazi ni Paul Kagame na nchi yake Rwanda (Israeli ya Afrika) hivyo wasishangae sana.
Kitendo cha Rwanda kujitangaza tu na Visit Rwanda yake kupitia Vilabu Vikubwa vya Arsenal FC na PSG FC na sasa katika haya Mashindano mapya ya AFL (tena bila ya Rais wake Kagame kugeuka kuwa Actor wa Movie ihusuyo nchi ya Rwanda) inategemea kupokea Watalii Milioni Saba (7,000,000) hadi mwisho wa mwaka huu (December).
Sijakosea kuipenda Rwanda na Rais wake Kagame na Israel na Waziri Mkuu wake Netanyahu, na huwa/sijawahi kupenda vibovu vibovu na visivyo na Akili.
Tuendeleeni tu Kuitangaza nchi yetu hasa huu Utalii mpya wa kumtangaza Mother of the Nation akifafanishwa kilazima na kipuuzi na our real Father of the Nation labda itatutangaza vyema Kiutalii na watalii kufurika kulishangaa pia na 'Puto' la Kipekee kutokea Zanzibar.