Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,826
- 94,086
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto.
Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha maamuzi cha chadema kimalize mchakato wa kuwafuta uanachama hawa covid 19 na tarehe 2 February Chama kipeleke barua kwa spika mpya ya kumtaarifu hawa covid 19 wamefutwa uanachama rasmi na chombo cha juu kimaamuzi kwa mujibu wa katiba ya chama chenu.
Mmepewa penalty hii na ccm itumieni sasa, na uzuri hata hao ccm wenyewe hawawataki hawa covid 19 na wakati wote huu hawajafurahishwa na matendo ya Ndugai na marehemu wake kuwakumbatia hawa Traitors.
Kazi ni kwenu sasa limalizeni hili, angalieni speed ya ccm wanapoamuwa kumshughurikia mtu ni 24 hours wamekumaliza.