Wakati CCM ikisafisha uchafu bandani kwake, Chadema malizeni mchakato wa kikatiba kuwafukuza covid 19

Nalijuwa hilo, ila nadhani umejionea speed ya kumshughulikia Ndugai ilivyofanyika.

Badala ya kupoteza muda na mambo yao Chadema ipenye hapohapo kupitia upepo huu huu, spika mpya ataheshimu barua rasmi ya maamuzi rasmi ya kikao cha juu cha maamuzi.

Siasa ndivyo ilivyo, hata Gwajima baada ya kuusoma upepo amekwenda na upepo ulivyovuma na sasa ana uhakika wa ubunge wake.

Chadema itumie fursa hii wakati bado kuna vuguvugu hili la kuondowa mamluki ccm na Chadema ijilinganie hapohapo.
Ndugai hajashughulikiwa ila limeshughulikiwa bunge
 
Back
Top Bottom