Wakanisa Mtaficha Wapi Hizi Aibu Duniani

Status
Not open for further replies.
1.kwanini tunatakiwa kuamini na kukubali kuwa ujumbe wa Mtume Muhammad na mitume wengine ni kutoka kwa Allah na sio mawazo yao Binafsi?

2.Kwanini tunatakiwa kuamini na kukubali kuwa Quran ni ujumbe kutoka kwa Allah na sio mawazo binafsi ya waandishi.?
 
Tatizo lako hujui nini mana ya ukoo kwenye ukoo undugu haupotei unless wewe mwenyewe unataka kuupoteza.

Qur'an inaweza kuwa imefataa uko au inawezekana pia Mariam alikuwa ana ndugu yake anaitwa Harun au Cousin yake kila kitu kinawezekana wewe nani ujue kuliko Mungu.
 
Wewe umekuwa daktari wakujuwa akili zangu au 😆 Kenge mmoja wewe nani usema ukila nyama ya nguruwe haikudhuru umekuwa unaujuzi kuliko Mungu au?

Wakristo wengi wamewacha kula nyama ya nguruwe wamegundua inamadhara wewe utuambie ukila hupati lolote.

Mwenyezi Mungu aliruhusu ule nguruwe kama umekosa chakula hata ukila yeye ndio anauwezo wakuzuia isikudhuru.

Nikikuambia wewe Kenge hivi wewe una mke kweli au umeolewa na Padri huko kanisani. Sababu akili kama yako ya ku copy na ku paste huwezi ushi na mke unless huyo mke ni kenge kuliko wewe.
 
Humo kwenye picha hujaona picha za watu waliovaa kanzu na vilemba?. Hoja kubwa ya kidini ni namna gani huyu mwamba aliuziwa vitmbaa vinavyofunika lile jiwe jeusi (sijui mnaita Kaaba) na akienda kuvitandika chini na juu yake akifanya ufuska wa kila aina.
 
Mbona kuna ustaadh anaendesha madrasa kafira katoto hamsemi sheikh wangu. Uchafu hauna dini. Sisi hatumtambui Muhammad na mstake kujipendekeza kwetu. Hatuongeleagi uislam kanisani. Maana ni Mungu wa kiarabu
 
Mbona kuna ustaadh anaendesha madrasa kafira katoto hamsemi sheikh wangu. Uchafu hauna dini. Sisi hatumtambui Muhammad na mstake kujipendekeza kwetu. Hatuongeleagi uislam kanisani. Maana ni Mungu wa kiarabu
Kumbe kuna Mungu wa waarabu na wafrika ndio sababu mkaabudu sanamu la kizungu 😄 kule kanisani ndio mchezo wenu mpaa mnaozeshana ndoa za wanaume kwa wanaume
 

Jiwe la Kaaba “mkono wa Allah”?​


Hii ni hadith ya mfano (metaphorical), si itikadi. Waislamu hawaabudu jiwe . Jiwe halina uungu

Umar bin Khattab alisema: Najua wewe ni jiwe tu, hunidhuru wala hunifaidishi.”
Umar sio kwamba alisema jiwe hilo halina lolote alijua Qutham Mohammad ni muongo na uongo wake aliuzidisha kupita kiwago akaamua kumchana live mzee punguza kamba khah hadi jiwe tena linasamehe dhambi na kuliabudu kipagani kwa kulizunguka ni uzushi... mtupu Ndio mtume kujitetea huwa hhachi same tu na Adiosamig ila ndio alizifi kuharibu most of madomo kaya huwa yanadhani kuongea sana ni kuficha aibu kumbe ndio wanaharibu zaidi akaishia kusema jiwe ni mkono wa Allah duniani, jiwe siku ya kiama litakuwa na macho na mdomo likitoa ushahidi kwa waliolishika na kuwasamehe dhambi hadi likawa jeusi hahahaha.. Yaani Mtume wa Allah wenzake wanamshitukia kwa uongo too much
 
Kumbe kuna Mungu wa waarabu na wafrika ndio sababu mkaabudu sanamu la kizungu 😄 kule kanisani ndio mchezo wenu mpaa mnaozeshana ndoa za wanaume kwa wanaume
Vipi mjomba wake Mohammad na alianza kumchezea mtume wenu akiwa kijana mdogo.. na yule imam choko waumin walienda kushtaki kwa uthman kuwa anawatamaisha pengine alikuwa havai chupi so kitu live...
 
Si ndio hi mada nimetoa wacheni uzushi bila dalili huyo mnaye muita Bukhari wa kanisani hawezi kuwa Bukhari orignal. Tatizo lenu hamna akili ikiwa binadamu mnamuita Mungu
Waislam wanasema hakuna Mungu, wanamuita Allah.. wakati Allah ni jiwe la kaaba. Mtume wenu alisema Dajjal anafanana na Allah kibonge, nywele za curry umbo lake sijui la kibinadamu.. Nyie wajinga akili zenu hamjui mnaabudu nini na wala mpo duniani kufanya nini pia ni program ya Allah ufanye dhambi usifanye dhambi ni usuless Allah ndio kawapangia cha kufanya na vile vile anawapa adhabu wakati kapanga yeye mkosee na hata aliopanga wafanye vizuri anaamua either awachukue au awaache motoni atakapoingia yeye...

Sijaona ukitoa maoni yeyete aliyosema Sheikh uwesu mmanyema mwenzako kuwa lazima muingie motoni kwanza nyote hahahaha mtatoka kweli yaai iblis bingwa wenu kawachota akili

View: https://youtu.be/0eHB-VIxEMk
Uwesu anawaasa msikubali kufa mkiwa waislam hahahahaha
 
Wewe umekuwa daktari wakujuwa akili zangu au 😆 Kenge mmoja wewe nani usema ukila nyama ya nguruwe haikudhuru umekuwa unaujuzi kuliko Mungu au?
Punguza kunywa Pombe ndipo uongee hadharani.. Tumezungumzia ulaji wa Nyama kwa Waislam hatujazungumzia magonjwa umebanwa na nnya nini? andaa mawe matatu uchambe Man.

Huyo Mtume wako na Allah wako hawajawahi zungumzia madhara ya ulaji wa Nyama ya Nguruwe sababu hawna akili, nimeweka kisa cha mtume wako Quran sura ya Tano akisema nimeukamilisha uislam kwa kuzuia ulaji wa Nguruwe bila sababu yeyote hata waisla walijaribu kuuliza why Mashehe hawana majibu wanazuoni hawana Majibu eti Adiosamigo miaka hii anajua sababu ni magonjwa yaani Allah na Mudy hawajui hahaha

Pia Allah hana anachojua wala Mohammad kama angejua kunywa mkojo wa ngamia ni madhara asingethubutu! nikuulize na wewe kama ushawahi kuunywa mkojo wa Ngamia fresh from source yake?
Wakristo wengi wamewacha kula nyama ya nguruwe wamegundua inamadhara wewe utuambie ukila hupati lolote.
Its Good kusema wengi wameaacha, it mean sio wote alafu ukristo kamili i ule unaofuata mafunzo ya Yesu vinginevyo no. Wajua Zanzibar ulaji wa kiti moto ni mkubwa mno?
Mwenyezi Mungu aliruhusu ule nguruwe kama umekosa chakula hata ukila yeye ndio anauwezo wakuzuia isikudhuru.
Usichanganye Mungu na Allah nyie mlishakatazwa na kuambiwa Hakuna Mungu ila yupo Allah. Allah tusha proove hana uwezo wowote sanamu tu hilo Alishindwa kuzuia sumu kwenye supu ya mbuzi aliyokula Mohammad kwa ulafi wake wa Nyama kule Khaibar, ila labda sababu kifo chake kilitabiriwa alipoambiwa ukichomeka maneno yako kwenye Quran utakatwa mshipa wa moyo na ndio kifo chake akilalamika oh Aisha bado nasikia maumivu sababu ya ile sumu niliyokunywa Khaibar

Sahih al-Bukhari 4428 - Military Expeditions led by the ...​

Sunnah.com
https://sunnah.com › bukhari:4428
I still feel the pain caused by the food I ate at Khaibar, and at this time, I feel as if my aorta is being cut from that poison." وَقَالَ يُونُسُ عَنِ .
Nikikuambia wewe Kenge hivi wewe una mke kweli au umeolewa na Padri huko kanisani. Sababu akili kama yako ya ku copy na ku paste huwezi ushi na mke unless huyo mke ni kenge kuliko wewe.
Kenge ni wewe unakoteza bila ushahidi unadhani nikifuata akili yako ya kupachika maneno bila shahidi za wanazuoni waislam utasema kila kitu naongopa na waislam cha kwanza husema umetutukania Dini. Zamani nilijua malalamishi ni ya kweli kumbe uislam wote ni uchafu. tumewafikia kila kona hamna pa kukwepa shetani wenu yupo uchi nna hana tauro tena.. uongo hauwezi kudumu
 

Attachments

  • 1770940485271.png
    520 bytes · Views: 14
Vipi mjomba wake Mohammad na alianza kumchezea mtume wenu akiwa kijana mdogo.. na yule imam choko waumin walienda kushtaki kwa uthman kuwa anawatamaisha pengine alikuwa havai chupi so kitu live...
Hizo ni ndoto za kanisani hamtweza kufanikiwa kumharibia sifa Mtume Muhammad sababu huo ujinga upo kanisani tu, hizo Story utatuelezea siku ya hesabu ulizipata wapi na uliziamini vipi, kwa hapa duniani sisi hatusikilizi uzushi wa kanisa.
 
Bukhari wa kanisani ana ujinga sana
 
Tunapoteza mda tu huna jipya
 


Hii ni kejeli ya mtu asiyeelewa Uislamu. Waislamu hawaabudu jiwe, wanamuabudu Allah. Umar (RA) alisema wazi jiwe halina nguvu yoyote. Kufata Sunna si upagani.

Chuki na dharau haviwezi kuwa hoja , elimu ndiyo tatizo lako
 
Vipi mjomba wake Mohammad na alianza kumchezea mtume wenu akiwa kijana mdogo.. na yule imam choko waumin walienda kushtaki kwa uthman kuwa anawatamaisha pengine alikuwa havai chupi so kitu live...

Biblia inasema: “Usitoe ushuhuda wa uongo” (Kutoka 20:16)

na “Mdomo wa uongo ni chukizo kwa Bwana” (Mithali 12:22).

Unachofanya ni uzushi mtupu, si hoja.

Tena Biblia yenu inasema: “Yeye asiye na dhambi na awe wa kwanza kutupa jiwe” (Yohana 8:7).

Chuki, uongo na kejeli havifanyi mtu kuwa mkweli—vinaonyesha upofu wa akili na roho chafu.
 


Kisa cha Ibrahim, Nyota, Mwezi na Jua (Qur’an 6:76–79)​


Hoja yako kuu: “Ibrahim alikuwa anaabudu nyota/mwezi/jua, kisha akabadili mawazo”


Hii ni kutoelewa mtindo wa hoja (rhetorical argument) unaotumiwa katika Qur’an.

Ukweli wa kimaandiko​


Qur’an haisemi Ibrahim aliwahi kuwa mshirikina. Inasema wazi:

“Sikuwahi kuwa miongoni mwa washirikina” (6:79)

Kisa hiki ni mjadaladala wa kielimu (dialectical argument):

Ibrahim anawafundisha watu wake kwa kutumia lugha yao ya mawazo
Anatumia mbinu ya: “tuchukulie kwa hoja yenu”
Kisha anawaonyesha udhaifu wa hoja yao

Hii ni mbinu ile ile inayotumiwa na manabii wengine, hata katika Biblia.

“This is my Lord” haimaanishi ibada​


Katika Kiarabu, kauli:

“Hādhā rabbī”

Inaweza kuwa:

kauli ya kufikirisha
kauli ya hoja ya kinyume (irony / reductio ad absurdum)

Mfano wa kisasa:

“Basi kama huyu ndiye kiongozi wenu bora, mbona anakimbia shida?”

Haimaanishi unamuabudu.

Hoja ya “nyota hazichwi”​


Hapa kuna kosa la kisayansi:

Nyota zinaonekana kuzama (setting) kwa mtazamaji kwa sababu ya mzunguko wa dunia
Qur’an inazungumza kwa lugha ya mtazamaji wa kawaida, si astronomia ya NASA

Biblia pia inatumia lugha hiyo hiyo (mf. “jua lilisimama”).

Biblia: “Hakuna aliyemwona Mungu” vs “Walimwona Mungu”​

Hapa kuna mkanganyiko wa maandiko.

Biblia inasema WOTE wawili:​

“Hakuna mtu aliyemwona Mungu” (Yohana 1:18)
“Waliona Mungu” (Kutoka 24:9–11)

Wanatheolojia wa Kikristo wenyewe wanasema:

waliyoiona ilikuwa theophany (udhihirisho) sio asili kamili ya Mungu

Hivyo hoja hii si dhidi ya Uislamu, ni mjadala wa ndani ya Ukristo.

Yesu kama “Neno la Mungu” (Kalimatullah)​


Ndiyo, Qur’an inamwita Yesu:

Kalimatullah (Neno la Mungu)
Ruhun minhu (Roho kutoka Kwake)

Lakini maana ya Qur’an si sawa na maana ya Injili ya Yohana.

Kalima siyo Mungu​

Katika Qur’an:
“Kun fa-yakūn” ni sawa na amri ya uumbaji
Adam pia aliumbwa kwa kun

Je, Adam ni Mungu? Hapana.

Qur’an 4:171 inakataza wazi Utatu “Wala msiseme: watatu”

Kama Qur’an ingemaanisha Yesu ni Mungu:

isingesema “hakika Allah ni Mungu mmoja”

“Ruhun minhu” haimaanishi Allah yumo ndani ya Yesu​

Kiarabu:

“minhu” ni sawa na kutoka kwa heshima / uumbaji , si sehemu ya asili ya Mungu

Mfano:

“Nyumba ya Allah” (Kaaba) . Je, Allah yumo ndani ya mawe? Hapana.

Kusamehe dhambi & ushahidi siku ya kiyama​


Qur’an:
Allah ndiye anayesamehe
viungo vitashuhudia, si kusamehe

Hata katika Biblia:
Baba ndiye chanzo cha mamlaka (Yohana 17:3)


Hanif sio Kafir​


Hanif (حنيف):

mwenye kuelekea kwenye tauhidi
aliyepotoka na ushirikina

Kinyume chake cha kafir.

Hili linajulikana hata kwa wanazuoni wa lugha ya Kiarabu wasio Waislamu.

“Allah ni mmoja miongoni mwa miungu ya Waarabu”​


Hili ni kosa la kihistoria:

Qur’an inapingana moja kwa moja na: Al-Lāt , Al-‘Uzzā , Manāt

Je, nyinyi mnazo kike na Yeye ana mwana wa kiume?” (53:19–23)

Kama Allah angekuwa miongoni mwao:

asingewapinga kwa ukali huo



Islam ni sawa na surrender to die?​


Jibu ni Hapana.

Islam ni kujisalimisha kwa Mungu
Salam ni amani

Ndio maana inasema

Qur’an: “Hakuna kulazimisha katika dini” (2:256)

Barua za Mtume zilikuwa:

wito wa kidiplomasia si ultimatum ya “uue au ufe”

Unachokifanya wewe kwa chuki na roho yako mbaya ni

1. kuchanganya tafsiri za Kikristo na Qur’an
2. kuchukua aya bila lugha, muktadha, na historia
3. kutumia matusi badala ya hoja

Uislamu: haukatai Yesu , haukufundisha Ibrahim ushirikina , haufundishi Utatu , unasisitiza Mungu mmoja asiye na umbile wala mwana
 
Tatizo lako kenge hujui Bukhari hana hadithi nyingi alizo ongea kama zilizo tungwa na Bukhari wa kanisani, hebu tazama hi video itakupa jibu ujuwe sio kila ukisikia Hadithi ya Bukhari au Sahihi Muslim udhani ni za kweli sababu Wayahudi walikuwa against Mtume Muhammad wakaja ni hizo fake hadithi.

Mimi sitaki kupoteza mda wangu na mjinga kama wewe Tazama video kama una akili utapata akili kama huna kabisa tutakuwa tunazunguka na hadithi za Kanisani na Ukuta wa Wayahudi 😄


View: https://youtu.be/nxcRBehgQto?si=9VL1ENM5exYa3jiU
 
I'm not going to waste my energy with ass hole
 
Umuamini Bhukhari ila Hafsi unamuamini eeh? Maana Hafsi ndie anajulikana rasmi kwenye Islam kuwa ni muongo. na ndie mnatumia Tafsir yake ya Quran.

Pia hakuna asiye muongo katika uislam Allah ndie wa Kwanza akijiita bingwa wa uongo Quran 3:54 wa pili Mohammad na nyie waumii wote. Allah na Mudy kawaambia inaitwa Taqiyya sio dhambi.

Prove waislam ni waongo
Hafsi - Muongo,
Al Bhukhari - Muongo
Sahihi Muslim - Muongo
Sunna Abi Dawud -Muongo
Urwah -Muongo
al-Zuhr -Muongo
Allah -Muongo,
Mohammad -Muongo,
Adiosamigo -Mkweli hahahahahahahaha idiot

Hiyo Video mbona kama ujinga tu swali limeulizwa la kijinga kama Mohammad alikuwa anasamehe makosa and why hadith zingine yupo kinyume ni ujinga wakati hadithi kibao Mohammad alikuwa katiri hadith sahihi zenye vyanzo vingi hadi alipong'olewa meno, ni wizi ulisababishwa na kundi lake la magaidi wakakmbilia mali za wizi. kibaka yule kama alikuwa na huruma ni za kuhesabu. alafu huyo binti aliyempa sumu mudy wazazi wake na mume wake Mudy aliwaua na kile kilikuwa ni kisasi cha yule mwanamke... kwakuwa wewe ni fake muslim huujui uislam na ndie una sura ya kenge halisia
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…