Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,244
- 15,062
Andika vizuri kwa utulivu ueleweke unachotaka kusemaWakanisa walikuwa kila kukicha wananzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad Mwenyezi Mungu alisha toa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hspa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la Kislam au Lakikristo
View: https://youtube.com/shorts/LUwnqAB4oM4?si=Qgm5r3tNI75oTwkz
Mtume Muhammad kafa umri wake 63 Trump ana umri gani?Sasa mkuu kwahiyo hao wakaaba wa kiume wako sawa na Mtume wenu mud!
Siku zote cha halili kiko wazi cha haramu kinajificha.At least hao walofanya hayo hawajajitambulisha kama mitume wa Mungu au hawakuyafanya hadharani tofauti na mudi yeye alibeba mchana kweupe jua la utosi.
Unamlinganisha mtume Muhammad na kina Trump?Mtume Muhammad kafa umri wake 63 Trump ana umri gani?
Hao wote walio rape vitoto vidogo wana umri kuliko wa Mtume.
Afu Mtume aliowa nyie mna rape afu wengine mna rape na kuwauwa.
Hapana nilicho ongea kila aliye husika kumzulia Mtume Muhammad uwongo liwe taifa au kiongozi atadhalilika duniani kabla ya akhera.Unamlinganisha mtume Muhammad na kina Trump?
Matthew 25:1–13Ni fursa tuu kama kula bikra 72 na pepo ya milele
Umelinganisha matendo ya mtume Muhammad na matendo ya kina Trump, hiyo inashangaza na umemdogosha sana mtumeHapana nilicho ongea kila aliye husika kumzulia Mtume Muhammad uwongo liwe taifa au kiongozi atadhalilika duniani kabla ya akhera.
Wapi nilimlinganisha nilicho sema wote walio kuwa wanamsema vibaya Mtume wa Mungu wawe viongozi au mataifa wataibishwa duniani kabla ya akhera rudia kasome wacha ujinga.Umelinganisha matendo ya mtume Muhammad na matendo ya kina Trump, hiyo inashangaza na umemdogosha sana mtume
Mkuu unachoandika hakieleweki. Ulisema wanamsema mtume kwa kumuoa binti wa miaka 6, alafu wao pia wanabaka Watoto. Hapo ndio nilikuuliza kwa nn unamlinganisha mtume na kina TrumpWapi nilimlinganisha nilicho sema wote walio kuwa wanamsema vibaya Mtume wa Mungu wawe viongozi au mataifa wataibishwa duniani kabla ya akhera rudia kasome wacha ujinga.
View: https://youtube.com/shorts/kBPNt6qZb7w?si=Om9xq9GFbla0jjUK
Aibu tupu uwe mkristo kwenye dunia hii
Unataka kusema nini?Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad.
Mwenyezi Mungu alisha toa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la Kislam au Lakikristo
Haya Mtume Muhammad mnasema aliowa binti ana miaka 6, nyie mnauwa, mnarape, wengine watoto wadogo hata hawafiki miaka 6, sisi tuna dalili nyie hamna gata dalili kama bi Aisha alikuwa na umri wa miaka 6. Tuliwambia Mungu atawafedhehesha wote mataifa na wanadamu walio mzulia Mtume wa Mungu uwongo.
Shukrani sana Allah endelea kuyadhalilisha mataifa ya kikristo
View: https://youtube.com/shorts/LUwnqAB4oM4?si=Qgm5r3tNI75oTwkz
Kwani Epstein ni mtume?Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad.
Mwenyezi Mungu alisha toa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la Kislam au Lakikristo
Haya Mtume Muhammad mnasema aliowa binti ana miaka 6, nyie mnauwa, mnarape, wengine watoto wadogo hata hawafiki miaka 6, sisi tuna dalili nyie hamna gata dalili kama bi Aisha alikuwa na umri wa miaka 6. Tuliwambia Mungu atawafedhehesha wote mataifa na wanadamu walio mzulia Mtume wa Mungu uwongo.
Shukrani sana Allah endelea kuyadhalilisha mataifa ya kikristo
View: https://youtube.com/shorts/LUwnqAB4oM4?si=Qgm5r3tNI75oTwkz
Kwani muumini wa Kiislam akila nguruwe utasema waislam wote wanakula? au mtu akiitwa Juma akawa shoga maana yake waislam ni mashoga?Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad.
Mwenyezi Mungu alisha toa ahadi anaye mzulia Mtume Muhammad uwongo atamdhalilisha hapa Duniani na Akhera. Sa Wakristo tuambieni USA ni taifa la Kislam au Lakikristo
Haya Mtume Muhammad mnasema aliowa binti ana miaka 6, nyie mnauwa, mnarape, wengine watoto wadogo hata hawafiki miaka 6, sisi tuna dalili nyie hamna gata dalili kama bi Aisha alikuwa na umri wa miaka 6. Tuliwambia Mungu atawafedhehesha wote mataifa na wanadamu walio mzulia Mtume wa Mungu uwongo.
Shukrani sana Allah endelea kuyadhalilisha mataifa ya kikristo
View: https://youtube.com/shorts/LUwnqAB4oM4?si=Qgm5r3tNI75oTwkz
Taifa la kikristu likoje? Tangu lini Trump, Elon Musk na wengine wamekuwa viongozi wa wakristu. Hata Epstein mnataka kusema kuwa alikuwa kiongozi wa wakristu!Wakanisa walikuwa kila kukicha wanamzulia Mtume Muhammad eti alimuowa bi Aisha ana miaka 6, na hao viongozi wa hayo mataifa walio mzulia Mtume Muhammad.