Calnde
JF-Expert Member
- Oct 7, 2008
- 1,373
- 277
Dah hapo ni pagumu kidogo ila naturally wanawake wengi duniani wanapenda kuwa submissive na wengine wanafantasize hali hii kabisa (hii inathibitishwa na kitendo cha kufanya mapenzi ambapo wanaume huwa sterling kwa 80%. Hali hii ndio inaendelea hata kwenye mambo mengine ya kawaida. Ila kwa mtazamo wangu mi naona kwamba,
- Ni vizuri kumwambia mtu wako what u feel and what you want ingawa usilazimishe unachokitaka kitokee kila wakati.
- Kuna baadhi ya wanaume wanataka kifanyike kile tu wanachotaka wao ingawa ukweli ni kwamba ukimwambia hata kama hatafanya wakati huo na no matta how much hard he is next time atafanya.
- So for me simply be free to say what you feel and what u want your mtu akufanyie
Mkuu, hapa is where the point lies. The basics of any relationship (marriage included) are among others Good
communication, Strong friendship and Trust. Sasa its important that a woman communicate what she wants. And let me
be noted correctly for I have not said she must 'say' what she want but she must 'communicate' her desires to get what
she deserve! Communication is powerful jamani. The moment mnaanza kutegeana kwamba 'ataanza yeye' ujue mnaingia
wrong turn. . . . .