The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,072
Hahaha!! Siku hiyo hata shule hauendi...Tulivyokuwa wadogo tunakula kuku siku za sherehe. Na ninakumbuka mama alikuwa
anakumbuka sana siku zetu za kuzaliwa na tunakula kuku baba akirudi nyumbani hata
Hakumbuki kitu ...
Vitu kama Valentine's day kweli hizo ni zimeingia muda si mrefu ...
Sina uhakika sherehe za Anniversary zimeanza lini pia TZ..
Ila Birthday ilikuwepo kitambo ..