Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,255
- 10,503
Mke ,
Mbona kama mimi nakukumbuka sana wewe , kuliko siku uliyozaliwa ?
Si nakupenda wewe mtu , haitoshi ? Nikapende na siku?
Siku ina nafsi ?
mme, upendo na macare unayonipa hata ukisahau birthday yangu sitomind. Lol