Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Hivi CDM mna akili kweli au zimeshamalizwa na mabomu? Mtu mdogo kama Zitto mmeshindwa kumfukuza eti kwa kuogopa chama kugawanyika? Propaganda za baadhi ya wana CCM wanaotaka kuturudisha miaka ya 1995 ndo zinawaogopesha? Endapo hamtamfukuza Zitto kweli taamini hiki chama kipo kwa ajili ya maandamano tu. Hivi umfume mke wako akipigwa front na back km walivyokuwa wanafanya wale askari wa tokomenza ujangiri kwa hiari yake utamsamehe kwamba kapitiwa na shetani? Chama kimejaa wasomi kumbe hata bongo hawana wamejaza makamasi tu. Mnampa kiburi nyie wenyewe ingeni North Korea kwani mnatuchosha sana sisi wapenda mabadiliko. Kuwepo kwa CCM IMARA NI PALE PATAKUWA NA UPINZANI IMARA lakni si huyu mhubiri ukabila Zitto.
hujui ccm watapenda sana zito atoke cdm ,kwa maana wanajua kuwa atamega wafuasi kutoka chadema na hivyo kuipunguza speed 2015 ama kuiathiri kabisa cdm.usidhani kuwa ccm wanapenda zito aendelee kuwepo cdm..kwasababu jamaa wakati mwingine anawakaba sana ccm,refer hata juzi mle bungeni.
 
Hao wajumbe ni kina nani,wapo wangapi na wamesema wapi? Mbona sugu anakujaga huku songea kufanya mikutano na hana cheo chochote zaidi ya ubunge wa mbeya? Wapi zitto kakashifu viongozi wa chama,kama wafuasi wake mbona yeye anatukanwa pia?

Point ni ziara zitambulike na chama,ushabiki usikupunguzie uwezo wa kufikiri,Sugu anafanya hizo ziara kwa uratibu wa chama na malengo ambayo chama imeridhia sasa nini malengo ya ziara ya MM?
 
Ukichunguza kwa makini kinachofanywa na zitto hakina afya kwa chadema wala mwenyewe, kwenda kufanya mikutano ya hadhara katika majimbo mengine ilhali yeye akituhumiwa na chama chake, sio sawa hata kidogo, zitto alipaswa kutulia na kusubiria hatma yake, ilitosha tu kuongea na wananchi wa jimbo lake kwa niaba ya wanakigoma wote, hiki kinachoendelea si cha kujenga bali ni kubomoa chama!
 
Hivi ao wajumbe wa kamati hao unao waongelea ni wakina nani?

Twambie zitto kavunja kipengele gani cha katiba ya chama?

Chadema imejaa majuha wengi wakiwemo hao wajumbe unao waongelea.hivi unaweza kuongelea mtu kuvunja taratibu za chama bila kuonesha ni taratibu gani?

Hao wajumbe ni majuha wanshindwa kusema ni utaratibu gani umevunjwa?

WATWAMBIE NI KIPENGELE GANI CHA KATIBA YA CHADEMA KINA MKATAZA MBUNGE KUFANYA MKUTANO?

HII KAMATI KUU IMEJAA WATU WASIO FIKIRI.

MTAMUANDAMA ZITTO HADI LINI NYIE SO CALLED KAMATI KUU?

CHADEMA ACHENI HUU UJINGA MTAISHIA KUWA WAPINZANI KWA STYLE HII.
 
wewe ni matokeo ya athari za shule za kata.
shule za kata hizi za lowasa?...dogo naona sasa ustaarabu unakushinda,watu tumesoma enzi za mjeremani wewe wanaambia masuala ya shule za kata?.
 
Hao wajumbe wa CC ndio kina nani?, who are they to Zitto?!. Hii ni kauli ya kuhalalisha kile ambacho tayari waliisha kipanga!, washauri waendelee tuu kutimiza kile walichokipanga na kusubiria matokeo!.

Vita imeishatangazwa!, sasa ni ama zake, ama zao!. Wanafikiri Zitto ni the begging type akae kimya kuisubiria hatima yake, kwa vile majaaliwa ya Zitto ndani ya Chadema, yako mikononi mwa CC hivyo Zitto asubirie huruma yao!, no way!. Zitto is the fighting type and he takes the bull by its horns!.

Watu wanaozungumza kupitia watu, "They can just go to hell!"
Ule muda wa kuwalisha watu maneno kwa tisha toto za "fulani" kasema, umepita!.
Sasa ni muda wa ama kusema uhesabiwe, au kukaa kimya na kusubirianeni humo vikaoni!.
Pasco
 
Kama angetulia ningemwona mstaarabu lakini anachofanya ndicho kitakachomvua uanachama muda si mrefu.

nani wa kumvua uanachama Zito kama saratani vile kumvua ni sawa na CDM kukubali kukatwa miguu yote.
 
Namshangaa Zitto kufanya mikutano nje ya jimbo lake la Kigoma Kaskazini kama ambavyo nisingemwelewa Dr. Kitila angeenda Singida

Zitto ameenda Kasulu kama nani?si naibu k/mkuu na kama ni umaarufu wake angeshirikisha CDM makao makuu
 
point ni ziara zitambulike na chama,ushabiki usikupunguzie uwezo wa kufikiri,sugu anafanya hizo ziara kwa uratibu wa chama na malengo ambayo chama imeridhia sasa nini malengo ya ziara ya mm?

ni kipengele kipi cha chadema kina kataza mtu kuongea na wananchi wake?

Chadema huu unyanyasaji mnaomfanyia zitto utawaangamiza.
 
Mh..... Sasa hilo gazeti linaandika zito aimaliza chadema, kwani zito sio mwanachama wa chadema tena?

Huyu zito sifa zimemzidi na zitamponza siku sio nyingi

kama gazeti limeandika hivyo na yeye hajalikemea kwenye mkutano wake wa Kasulu au kw namna nyingine yoyote ,amejiongezea kosa.CDM hebu itisheni vikao vyenu mapema mkate mzizi wa fitina.
 
Hivi CDM mna akili kweli au zimeshamalizwa na mabomu? Mtu mdogo kama Zitto mmeshindwa kumfukuza eti kwa kuogopa chama kugawanyika? Propaganda za baadhi ya wana CCM wanaotaka kuturudisha miaka ya 1995 ndo zinawaogopesha? Endapo hamtamfukuza Zitto kweli taamini hiki chama kipo kwa ajili ya maandamano tu. Hivi umfume mke wako akipigwa front na back km walivyokuwa wanafanya wale askari wa tokomenza ujangiri kwa hiari yake utamsamehe kwamba kapitiwa na shetani? Chama kimejaa wasomi kumbe hata bongo hawana wamejaza makamasi tu. Mnampa kiburi nyie wenyewe ingeni North Korea kwani mnatuchosha sana sisi wapenda mabadiliko. Kuwepo kwa CCM IMARA NI PALE PATAKUWA NA UPINZANI IMARA lakni si huyu mhubiri ukabila Zitto.

kweli kaka,kwani antvirus ya hiki kirusi bei gani?
 
Ninaimani wakati wowote kuanzia sasa cc itakutana kupitia utete wa Zitto na wenzake kisha mjadala juu ya Zitto na historia ya siasa zake ndani ya Chadema vitafungwa kwa yeye kufukuzwa rasmi,
 
Ukichunguza kwa makini kinachofanywa na zitto hakina afya kwa chadema wala mwenyewe, kwenda kufanya mikutano ya hadhara katika majimbo mengine ilhali yeye akituhumiwa na chama chake, sio sawa hata kidogo, zitto alipaswa kutulia na kusubiria hatma yake, ilitosha tu kuongea na wananchi wa jimbo lake kwa niaba ya wanakigoma wote, hiki kinachoendelea si cha kujenga bali ni kubomoa chama!
zito anajua fika kuwa watamfukuza so anaandaa groundwork ya kitakachofuata baada ya akina slaa kumfuta uanachama..kina slaa nao wanafanya timing hawana uhakika kuwa athari kwa cdm zitakua kubwa kiasi gani ,ndo maana bado wanamlia timing that is why siku 14 zimepita bado kimya..ila telltale sign kuwa watamfukuza inapatikana kwa wapambe akina yerico,ben hawa ni kama mouthpieces za akina slaa na mbowe ,ukiwasoma wanayoyasema ni wazi kuwa watamvua uanachama zito.

Zito nae anajua so nae analainisha maneno huku akiwaotea,that is why hajafanya maamuzi magumu,ila jana kaahidi kurudi kwao pindi wamkimfukuza for more consultation.
 
Molemo utaanza lini kuwa na fikra huru?? Kwanini unatumika na hao jamaa wa Moshi?
 
Ninaimani wakati wowote kuanzia sasa cc itakutana kupitia utete wa Zitto na wenzake kisha mjadala juu ya Zitto na historia ya siasa zake ndani ya Chadema vitafungwa kwa yeye kufukuzwa rasmi,

umeahidiwa kitu gani na babu kwa ajili ya kazi Hii?
 
nani wa kumvua uanachama Zito kama saratani vile kumvua ni sawa na CDM kukubali kukatwa miguu yote.

Hakuna marefu yasio na ncha tunasubili kwa hamu tukatwe miguu yote miwili lakini siyo kuishi na Saratani Zito.
 
Hao wajumbe wa CC ndio kina nani?, who are they to Zitto?!. Hii ni kauli ya kuhalalisha kile ambacho tayari waliisha kipanga!, washauri waendelee tuu kutimiza kile walichokipanga na kusubiria matokeo!.

Vita imeishatangazwa!, sasa ni ama zake, ama zao!. Wanafikiri Zitto ni the begging type akae kimya kuisubiria hatima yake, kwa vile majaaliwa ya Zitto ndani ya Chadema, yako mikononi mwa CC hivyo Zitto asubirie huruma yao!, no way!. Zitto is the fighting type and he takes the bull by its horns!.

Watu wanaozungumza kupitia watu, "They can just go to hell!"
Ule muda wa kuwalisha watu maneno kwa tisha toto za "fulani" kasema, umepita!.
Sasa ni muda wa ama kusema uhesabiwe, au kukaa kimya na kusubirianeni humo vikaoni!.
Pasco
Mkuu huu mpini sio mchezo sitii neno nawasubiri ufipa team.
 
Zitto kawashika pabaya mnatafuta pakutokea,by the way mnatia huruma sana.hasa molemo,yericko na brother ben..poor you
 
Too pathetic, too bad.

Kiongozi wa chama asiyekuwa na ushirikiano au mawasiliano na wenzake ktk shughuli za kichama ni hatari sana. Huyo hafai.

Kulikuwa na umuhimu wa japo kutoa taarifa kwa uongozi wa chama, ndio ustaatabu na taratibu zinavyoelekeza.

Anyway, huyu tushajua anatapatapa
 
Back
Top Bottom