Humjui zzk unaandika ujinga zzk hata aende hai au karatu atapadua kuliko anavyo pasua kasulu na ujiji.Mkabila mkubwa sana huyu. Aende maeneo mengine ya nchi tumwone.
Humjui zzk unaandika ujinga zzk hata aende hai au karatu atapadua kuliko anavyo pasua kasulu na ujiji.Mkabila mkubwa sana huyu. Aende maeneo mengine ya nchi tumwone.
Kwani ye kasema yupo kwenye ziara ya kichama? Yupo kwenye ziara Kama za lowassa, hivyo hahitaji ruhusa kutoka CCtulia utaelewa tu kinachozungumziwa hapa ni kuhusu utaratibu na kanuni idadi ya wajumbe na waliongelea wapi cyo msingi.mikutano yote ya chama nje ya jimbo la mbunge husika huandaliwa na chama.swala la zitto kuongea na wapiga kura wake wa kigoma kas cyo dhambi ila kasulu na kwingineko nje ya utaratibu wa chama ni kosa
Zitto afukuzwe tu hana maana .
mkuu huo ndo ukweli, angalia ziara yake huko kasulu, watu wanatukana viongozi na chama mbele yake, halafu yeye anafurahi, je huko ni kukipenda chama? Hapana zitto ana agenda binafsi, tuweke ushabiki pembeni!Namshangaa Zitto kufanya mikutano nje ya jimbo lake la Kigoma Kaskazini kama ambavyo nisingemwelewa Dr. Kitila angeenda Singida
Zitto ameenda Kasulu kama nani?si naibu k/mkuu na kama ni umaarufu wake angeshirikisha CDM makao makuu
Amekwenda Kwa Kuwa Anamashabiki Nanyi Mmewaona, Amekwenda Kuwataka Wananchi Wake Wasiwe Na Mgogolo Na Kamati Kuu Ya Chama. Sikia, Mimi Miaka Ijayo Nitavunja Utawala Mkongwe Wa Magamba Katika Jimbo La Mufindi Kusini, Sasa Nikiwa Mbunge Pale Mnamaanisha Hamta Niruhusu Kuzungumza Na Wana Mufindi Kaskazini Hadi Kibali Kitoke Makao Makuu! Ona Sitakuwa Huru Kuzungumza Na Wanairinga Na Hata Tanzania Kwa Ujumla, It Means Mmenifunga! Huu Ukuritimba Wa Hali Ya Juu Hata Magamba Hawana! Na Kwahili Natafakari Uanachama Wangu Chadema, Nienelee Ama Nitafute Chama Huru?
je mkutano wa kasulu ndo kuongea na wananchi wake? Mkuu weka ushabiki pembeni, angalia kwa macho manne jambo hili utajua kilichojificha nyuma ya pazia!ni kipengele kipi cha chadema kina kataza mtu kuongea na wananchi wake?
Chadema huu unyanyasaji mnaomfanyia zitto utawaangamiza.
Kuona ni kuamini, mwanzo walidhani wanacheza ana ana ana do, au kidali poo kwa kutingisha kiberiti!,Mkuu huu mpini sio mchezo sitii neno nawasubiri ufipa team.
mwanzoni sikupenda zitto afukuzwe au kuvuliwa uanachama na chama chake, kwa haya yanayoendelea huko kasulu zitto anajiharibia, huwezi kusema kuwa unakipenda chama huku ukipokelewa na mabango yanayokashifu viongozi wa chama chako na chama na wewe unaangalia tu, zitto anapenda chama kinafiki na sio kimatendo!zito anajua fika kuwa watamfukuza so anaandaa groundwork ya kitakachofuata baada ya akina slaa kumfuta uanachama..kina slaa nao wanafanya timing hawana uhakika kuwa athari kwa cdm zitakua kubwa kiasi gani ,ndo maana bado wanamlia timing that is why siku 14 zimepita bado kimya..ila telltale sign kuwa watamfukuza inapatikana kwa wapambe akina yerico,ben hawa ni kama mouthpieces za akina slaa na mbowe ,ukiwasoma wanayoyasema ni wazi kuwa watamvua uanachama zito.
Zito nae anajua so nae analainisha maneno huku akiwaotea,that is why hajafanya maamuzi magumu,ila jana kaahidi kurudi kwao pindi wamkimfukuza for more consultation.
Humjui zzk unaandika ujinga zzk hata aende hai au karatu atapadua kuliko anavyo pasua kasulu na ujiji.
Hatakiwi kwenda nje ya jimbo lake mpaks awe ameombwa kwa utaratibu maalum