Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Kabisa... Ogopa sana mtu mnafiki ndugu yangu... Mnafiki anakuua huku anakuchekea.... Zito ni zaidi ya janga.... Ni mnafiki.... Muongo.... Ana roho mbaya sana

hiki kirus tutakiskan muda si mrefu
 
Point ni ziara zitambulike na chama,ushabiki usikupunguzie uwezo wa kufikiri,Sugu anafanya hizo ziara kwa uratibu wa chama na malengo ambayo chama imeridhia sasa nini malengo ya ziara ya MM?
hivi ni kipengele gani kimevunjwa?
 
Kama ulieanzisha uzi huu ni mwanachadema haswaaa! basi zito kweli anawapa presha na mnawasiwasi mkubwa , kwanini msikae kimya mbona wabunge mbalimbali wanafanya ziara nje ya majimbo yao! hajaweka bendela ya chama mnalalamika angeweka cndio mngemsakama hana ridhaa ya kufanya mikutano. Hebu muacheni kijana wa kitanzania afanye yake kama hajamtukana mtu kinacho wawasha nini? Yani mnakera sana wanachadema msio na uvumilivu wa kisiasa muacheniii
 
Ninaimani wakati wowote kuanzia sasa cc itakutana kupitia utete wa Zitto na wenzake kisha mjadala juu ya Zitto na historia ya siasa zake ndani ya Chadema vitafungwa kwa yeye kufukuzwa rasmi,
Hizi bangi za kuvutia chooni ndio shida yake hii kijana punguza/acha hii kitu:mvutaji:
 
Hao wajumbe ni kina nani,wapo wangapi na wamesema wapi? Mbona sugu anakujaga huku songea kufanya mikutano na hana cheo chochote zaidi ya ubunge wa mbeya? Wapi zitto kakashifu viongozi wa chama,kama wafuasi wake mbona yeye anatukanwa pia?

tulia utaelewa tu kinachozungumziwa hapa ni kuhusu utaratibu na kanuni idadi ya wajumbe na waliongelea wapi cyo msingi.mikutano yote ya chama nje ya jimbo la mbunge husika huandaliwa na chama.swala la zitto kuongea na wapiga kura wake wa kigoma kas cyo dhambi ila kasulu na kwingineko nje ya utaratibu wa chama ni kosa
 
Ninaimani wakati wowote kuanzia sasa cc itakutana kupitia utete wa Zitto na wenzake kisha mjadala juu ya Zitto na historia ya siasa zake ndani ya Chadema vitafungwa kwa yeye kufukuzwa rasmi,

Chadema inapoteza imani na credibility kwa kauli kama hizi,guys you better watch ur steps...if you have nothing to say you better keep quit
 
Kabisa... Ogopa sana mtu mnafiki ndugu yangu... Mnafiki anakuua huku anakuchekea.... Zito ni zaidi ya janga.... Ni mnafiki.... Muongo.... Ana roho mbaya sana

Kweli kabisa dada yangu uko usemi unasema "Mbio za sakafuni huishia ukingoni" naamini mwisho wa matendo yake ya usaliti kwa Chadema unanafikia ukingoni sasa.
Chadema siyo kwamba inamuogopa bali wanafuata taratibu zote za kisheria zinazotakiwa na kujiridhisha kabla hawajafanya maamuzi sahihi,kulingana na Katiba ya Chama.
CHADEMA ITADUMU,WASALITI WATANG'OLEWA.
 
Ninaimani wakati wowote kuanzia sasa cc itakutana kupitia utete wa Zitto na wenzake kisha mjadala juu ya Zitto na historia ya siasa zake ndani ya Chadema vitafungwa kwa yeye kufukuzwa rasmi,

Just like that?Muulizeni Mbowe kwanini anasita kumfukuza mpaka leo hii,Anajua!Anajua kuwa akimfukuza Zitto uchafu wao wote utaanikwa hadharani.Pindi Watanzania wasiomfahamu vyema Billicanas Boy wakishamfahamu tu mmoja baada ya mwingine watakikimbia Chama.Mbowe will be the last person to let Zitto go since it's Zitto who hold Mbowe's political life.
 
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.

Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.

Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.

Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.

Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.

Kamati kuu imeyataka wenyewe, fukuza Zitto kabisaa, habaki kuwa mbunge wa mahakama
 
Kama ulieanzisha uzi huu ni mwanachadema haswaaa! basi zito kweli anawapa presha na mnawasiwasi mkubwa , kwanini msikae kimya mbona wabunge mbalimbali wanafanya ziara nje ya majimbo yao! hajaweka bendela ya chama mnalalamika angeweka cndio mngemsakama hana ridhaa ya kufanya mikutano. Hebu muacheni kijana wa kitanzania afanye yake kama hajamtukana mtu kinacho wawasha nini? Yani mnakera sana wanachadema msio na uvumilivu wa kisiasa muacheniii

Kwa hiyo ndani ya chadema kuna chadema na zito.
 
Ninaimani wakati wowote kuanzia sasa cc itakutana kupitia utete wa Zitto na wenzake kisha mjadala juu ya Zitto na historia ya siasa zake ndani ya Chadema vitafungwa kwa yeye kufukuzwa rasmi,

Just like that?Muulizeni Mbowe kwanini anasita kumfukuza mpaka leo hii,Anajua!Anajua kuwa akimfukuza Zitto uchafu wao wote utaanikwa hadharani.Pindi Watanzania wasiomfahamu vyema Billicanas Boy wakishamfahamu tu mmoja baada ya mwingine watakikimbia Chama.Mbowe will be the last person to let Zitto go since it's Zitto who hold a key to the Mbowe's political life.
 
Too pathetic, too bad.

Kiongozi wa chama asiyekuwa na ushirikiano au mawasiliano na wenzake ktk shughuli za kichama ni hatari sana. Huyo hafai.

Kulikuwa na umuhimu wa japo kutoa taarifa kwa uongozi wa chama, ndio ustaatabu na taratibu zinavyoelekeza.

Anyway, huyu tushajua anatapatapa

Sio nyie ndo mnatapatapa hahaha..ma.v yanagonga chupi,zito ukimaliza kgm njoo na musoma,pitia tabora tuone watasemajee
 
Just like that?Muulizeni Mbowe kwanini anasita kumfukuza mpaka leo hii,Anajua!Anajua kuwa akimfukuza Zitto uchafu wao wote utaanikwa hadharani.Pindi Watanzania wasiomfahamu vyema Billicanas Boy wakishamfahamu tu mmoja baada ya mwingine watakikimbia Chama.Mbowe will be the last person to let Zitto go since it's Zitto who hold Mbowe's political life.

aisee,na wewe ni msomi ati!!? Nchi yetu bado ina safari ndefu
 
Hapo ZZK anaonesha uzumbukuku na uchanga kisiasa.Hana counsellor au ndiye huyo Prof.Baregu?
Simple brain inabainisha kuwa bw mdogo kalewa sifa na anachochofanya ni ule mchezo wa utotoni,alipoiba mnofu wa mgebuka,mama yake alipomtishia kumwadhibu,badala ya kuomba radhi,akachukua chungu lote.
Kitakachofuata ni nini?
 
Namshangaa Zitto kufanya mikutano nje ya jimbo lake la Kigoma Kaskazini kama ambavyo nisingemwelewa Dr. Kitila angeenda Singida

Zitto ameenda Kasulu kama nani?si naibu k/mkuu na kama ni umaarufu wake angeshirikisha CDM makao makuu

Amekwenda Kwa Kuwa Anamashabiki Nanyi Mmewaona, Amekwenda Kuwataka Wananchi Wake Wasiwe Na Mgogolo Na Kamati Kuu Ya Chama. Sikia, Mimi Miaka Ijayo Nitavunja Utawala Mkongwe Wa Magamba Katika Jimbo La Mufindi Kusini, Sasa Nikiwa Mbunge Pale Mnamaanisha Hamta Niruhusu Kuzungumza Na Wana Mufindi Kaskazini Hadi Kibali Kitoke Makao Makuu! Ona Sitakuwa Huru Kuzungumza Na Wanairinga Na Hata Tanzania Kwa Ujumla, It Means Mmenifunga! Huu Ukuritimba Wa Hali Ya Juu Hata Magamba Hawana! Na Kwahili Natafakari Uanachama Wangu Chadema, Nienelee Ama Nitafute Chama Huru?
 
Back
Top Bottom