Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

Hii ni aibu ya kukosa vision ya kawaida kabisa.
Tangu lini ni dhambi kwa mbunge kwenda kwao kimya kimya??
Kama kuna mawazo ya kizandiki hili la kulaumu mbunge Zitto kwenda jimboni kwake nalo ni moja wapo.
Wao ni kina nani mpaka waalifiwe kwamba mbunge anataka kwenda jimboni kwake????

We have a lot of intelligent people in CHADEMA but some of them are just carrying pieces of rocks over their necks and call them heads.

Shame on you

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.

Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.

Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.

Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.

Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.
 
Kasha kula hela ya ccm angalia maccm yanavyohaha kumpa coverage kana kwamba yuko juu ya tasisi.
 
Zitto Kabwe
Mimi ni kiongozi wa watu. Nina haki ya kwenda kokote nitakapo. Tanzania ni nchi huru na Katiba inatoa uhuru wa kwenda nitakapo na kukutana na yeyote anayenipendeza.Nitaendelea kukutana na wananchi na kujadiliana changamoto za kujenga demokrasia ya uwajibikaji. Hayo ni maneno ya Zitto Kabwe mwenyewe, Tafakari.
 
Ni mfungwa pekee ndio hana haki ya kwenda mahali atakako
 
Hivi huyu zitto si ahame tu chadema anaoiga piga kelele za nini.!watu wafupi wana shida sana
 
Amesema ukweli kabisa. Anatakiwa awaeleze na wafuasi wake waache kusema "Fulani asikanyage Kigoma, fulani asikanyage Singida nk.". Kila Mtanzania ana uhuru wa kwenda popote nchini
 
Zitto Kabwe
Mimi ni kiongozi wa watu. Nina haki ya kwenda kokote nitakapo. Tanzania ni nchi huru na Katiba inatoa uhuru wa kwenda nitakapo na kukutana na yeyote anayenipendeza.Nitaendelea kukutana na wananchi na kujadiliana changamoto za kujenga demokrasia ya uwajibikaji. Hayo ni maneno ya Zitto Kabwe mwenyewe, Tafakari.

Vipi Nkinga hawajambo? au upo Kigoma na Mwenyekiti wako wa CHAUMA
 
attachment.php

Ngoma utaiweza?
 
safi zitto watakusema tu wewe ni kiongozi wa watu watumikie watu wazembe watakupata tu.
 
Zitto karibu sana Arusha. wanaarusha wapenda demokrasia wana hamu ya kusikia busara zako.
 
Huyu mtu sijuin kwanini chama kinamlea kwa kiwango hiki. Huko Kigoma Kaskazini angalau inaweza kueleweka kwamba alikwenda kuongea na wapiga kura wake lakini maeneo mengine anakwenda kama nani? Kama anakwenda kama mwananchi huru au mwanachama wa CCM na ieleweke hivyo na sio kwenda kwa mwamvuli wa chama huku akifanya yaliyo kinyume na kanuni za chama anachojifanya kukipigania.
Sio kinamlea mkuu..wanaogopa , na Dr kwa nini alifanya ziara ambayo haikuwa kwenye ratiba kwenye maeneo wanayo hofia kuwa nguvu ya zitto ni kubwa??
 
Back
Top Bottom