Wajumbe Kamati Kuu CHADEMA wamuonya Zitto.

attachment.php

Ngoma utaiweza?

Rombo hiyo utegemee nini???? ndo kanda yenu.
 
Vipi Nkinga hawajambo? au upo Kigoma na Mwenyekiti wako wa CHAUMA

Mkuu, Nkinga wazima wa afya. Kigoma nilisharudi, ila mimi si mfuasi wa mwenyekiti wa Chauma, ni mfuasi wa CHADEMA inayotii maamuzi ya vikao halali vya chama kwa mujibu wa katiba.
 
zitto washauri wake wa kisiasa watakuwa na upeo mdogo au dogo my be hashauriki...naona kaamua kujimaliza mwenyewe kwa kuonyesh true color yake katika kukiharibu chama...watu wakisema jamaa msaliti kuna watu wa cdm walikuwa wanamtetea,this guy anatumiwa na ccm kutekeleza utabiri wa wasira
hapo kwenye Red weka Dr Slaa na hapo kwenye green weka mzee
 
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.

Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.

Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.

Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.

Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.

Kama ndivyo kwa nini Dr Slaa naye wakati wa ziara hakutaka kuambatana na Zitto?
 
Kaka huyu mtu ni wa kwenda naye taratibu manake hajielewi kwa sasa.Anafanya siasa za mashindano.Anadhani kwa kufanya hivyo pengine atarudishiwa uongozi ndani ya chama.Huyu bwana ni utoto unamsumbua,sina hakika kama kajifunza UONGOZI huyu!!Zitto ni wa kumpuuza na wala haina haja ya kujibizana naye(tumwone kama shibuda tu).Ila aongezewe mashitaka ya kuendelea kukiuka maadili na miiko akiwa kama Mbunge wa chama kwa kujitungia safari ya kasulu bila baraka za chama!
 
Kafe nbele na msaliti wa kiapo cha kumtumikia Mungu...

Unajua maana ya msukule au umeingia jf ukasoma komenti za watu ukaona msukule ukaanza kutumia? Mungu hata misukule bali ana watu wake.
Wewe ni msukule wa zitto
 
Zitto Kabwe
Mimi ni kiongozi wa watu. Nina haki ya kwenda kokote nitakapo. Tanzania ni nchi huru na Katiba inatoa uhuru wa kwenda nitakapo na kukutana na yeyote anayenipendeza.Nitaendelea kukutana na wananchi na kujadiliana changamoto za kujenga demokrasia ya uwajibikaji. Hayo ni maneno ya Zitto Kabwe mwenyewe, Tafakari.
images.jpg Mizani ya hekima na busara ni unyenyekevu images (1).jpg

Haya ndiyo tuliyojadili kipindi cha nyuma kwamba ujana nao ni taabu tupu, motomoto, damu ikichemka bila tafakari ni kuinuka kufuata ulikotoka mluzi, watu wazima hutulia kwanza na kuchunguza ni mluzi wenye kheri au tahadhari na wapi au nini kifanyeke kabla ya kuinuka.

Zitto kwa hali ya sasa ni sawa na kesi mahakamani ambayo hatakiwi kuanza kuiongelea wakati haijaisha na kufanyiwa hukumu. Anachofanya Zitto pengine anajiharibia zaidi kuliko ilivyotegemewa. Na kama wapo wanaomshauri hivyo ni wabovu wenzake, wenye busara wasingemshauri kufanya anachoendelea kufanya.

Pamoja kwamba ni jimbo lake la uchaguzi hajaonyesha kwamba ziara hiyo ni ya kibunge, dalili wazi ni kujaribu kupita kufuta nyayo za Katibu Mkuu Dr. Slaa. Je, atafanikiwa kufuta pia na kumbukumbu pamoja na vielelezo vya tuhuma zake makao makuu? Angesubiri rufaa yake kwanza kabla ya kuendelea kutoa povu jingi huku na kule.
 
View attachment 128307 Mizani ya hekima na busara ni unyenyekevu View attachment 128308

Haya ndiyo tuliyojadili kipindi cha nyuma kwamba ujana nao ni taabu tupu, motomoto, damu ikichemka bila tafakari ni kuinuka kufuata ulikotoka mluzi, watu wazima hutulia kwanza na kuchunguza ni mluzi wenye kheri au tahadhari na wapi au nini kifanyeke kabla ya kuinuka.

Zitto kwa hali ya sasa ni sawa na kesi mahakamani ambayo hatakiwi kuanza kuiongelea wakati haijaisha na kufanyiwa hukumu. Anachofanya Zitto pengine anajiharibia zaidi kuliko ilivyotegemewa. Na kama wapo wanaomshauri hivyo ni wabovu wenzake, wenye busara wasingemshauri kufanya anachoendelea kufanya.

Pamoja
kwamba ni jimbo lake la uchaguzi hajaonyesha kwamba ziara hiyo ni ya kibunge, dalili wazi ni kujaribu kupita kufuta nyayo za Katibu Mkuu Dr. Slaa. Je, atafanikiwa kufuta pia na kumbukumbu pamoja na vielelezo vya tuhuma zake makao makuu? Angesubiri rufaa yake kwanza kabla ya kuendelea kutoa povu jingi huku na kule.

Jana hakuwa jimboni kwake...
 
kama ni mjanja si aanzishe chama chake au ccm wampe nyadhifa baada ya kutekeleza waliyoyapanga?
 
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu CHADEMA wamemuonya aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu Zitto Kabwe kwa ukiukwaji wa waziwazi wa taratibu za chama hicho.

Wakizungumza kwa nyakati Tofauti wajumbe hao wameshangazwa na kitendo cha Zitto Kabwe kujiandalia ziara zenye mwelekeo hasi kwa chama hicho.

Ikumbukwe kwamba Zitto amefukuzwa nafasi zote za Uongozi ndani ya Chadema na yeye ni mbunge tu wa Kigoma Kaskazini huku akisubiri huruma ya Kamati Kuu kuhusu uanachama wake.

Kilichoshangaza zaidi ni kitendo cha Zitto Kabwe kufanya ziara Jimbo la Kasulu bila kutaarifu Chama huku mashabiki wake wakiutumia mkutano huo kukashifu chama na viongozi wake.

Kitendo kinachofanyika hakikubaliki na ni ukiukwaji mkubwa wa Kanuni na taratibu za chama.

Katika hali ya kuonyesha kinachofanywa ni mkakati wa kuangamiza Chadema Gazeti la Jamboleo Toleo la Jumapili linalomilikiwa na Kada wa CCM katika habari kuu limeandika "Zitto aimaliza CHADEMA" likiripoti yanayotokea Kigoma.

Chezea Mzimu wa chacha wangwe wewe....
 
Tokea chacha wangwe afariki Hakuna kiongozi wa Chadema amewahi kumkumbuka hata kwa sala ya dk 5 tu au hata Bango TBC ! Mzimu umecharuka
 
Kaa kimya wewe , usisahau kuwa slaa ni katibu mkuu wa chama... Sasa huyo mnafiki wenu vipi? Afu kwanini msimshauri akaanzishe chama chake jamani?
muulize mtumwa wa mbowe BEN SAA8 akuambie ratiba ya mwaka ya mikutano ya chadema na aseme ukweli mikutano hiyo ya katibu mkuu ilitakiwa afanyike wapi na asindikizwe na akina nani?? na kama tarehe alizoenda slaa kufanya mikutano KIGOMA/TABORA kama iko katika kalenda ya mwaka!!!!!!
msitake kufanya watu kuwa ni wajinga. SLAAA alienda huko kote akijua ni kambi thabiti ya kisiasa ya ZZK. MOTO ALIOKUTANA NAO WOTE MNAFAHAMU. zzk is there to wipe off all blood trails left behind by slaa.
mtaisoma
 
Back
Top Bottom