Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

Hongera Mahakama Kuu, tusubiri Mahakama ya Rufaa kama italinda heshima yake ndani ya mfumo wa sheria wa Jumuiya ya Madola, au ndio Ngosha Jaji Mkuu atapewa maelekezo
 
IMG_20190515_192205.jpg

Jimson Peter Mhagama DED wa H/ wilaya ya nyasa kabla ya uteuzi wake alikuwa Katibu wa ccm mkoa wa Ruvuma, na amefanya kazi za siasa ndani ya CCM iringa na Singida. Kabla ya hukumu ya mahakama kuu naye Angekuwa msimamizi wa uchaguzi. https://t.co/vkbDQnbhuR
 
Hii ni thread maalumu kwa maDED wasimamizi wa uchaguzi ambao ni makada wa CCM.

View attachment 1098421

View attachment 1098390
1. Kisena M. Mabuba, DED wa Halmashauri ya Misungwi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Jimbo la Misungwi.

View attachment 1098391
2. Lutengano G. Mwalwiba, DED wa Magu na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Magu. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge za CCM Tanzania Busokelo.

View attachment 1098393
3. Anna-Claire Shija, DED wa Same na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Same Mashariki na Magharibi. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge wa CCM Tanzania Sengerema.

View attachment 1098395
4. Netho Ndilito, DED wa Mufindi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Mufindi Kaskazini na Kusini.

View attachment 1098396
5. John Lipesi Kayombo, DED wa Musoma na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Musoma Mjini n Vijijini. Alikuwa mNEC wa CCM kupitia Vyuo Vikuu.

View attachment 1098397
6. Esther Anania Chaula, DED wa Ukerewe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Ukerewe.

View attachment 1098432
7. Elias Mahwago Kayandabila, DED wa Mbogwe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbogwe. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kigoma Kaskazini.

View attachment 1098495
8. Jefrin Lubuva, DED wa Mwanga aliyekuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Osterbay kwa tiketi ya CCM.

9. Adeladius Makwega, DED wa Mbozi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbozi. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Kigamboni.

10. Pius Shija Luhende, DED wa Itigi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Manyoni Magh na Mash. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kishapu.

11. Listi inaendelea....
Pamoja na uwanachama lakini 2015 si waliwatangaza wabunge wa upinzani walioshinda?
 
10. Pius Shija Luhende, DED wa Itigi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Manyoni Magh na Mash. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kishapu
Yupo DED wa butiama, alphonce magori! Angalia Facebook utapata ma kijani yake!

Yupo pia DED wa maswa!
 
Hii ni thread maalumu kwa maDED wasimamizi wa uchaguzi ambao ni makada wa CCM.

View attachment 1098421

View attachment 1098390
1. Kisena M. Mabuba, DED wa Halmashauri ya Misungwi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Jimbo la Misungwi.

View attachment 1098391
2. Lutengano G. Mwalwiba, DED wa Magu na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Magu. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge za CCM Tanzania Busokelo.

View attachment 1098393
3. Anna-Claire Shija, DED wa Same na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Same Mashariki na Magharibi. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge wa CCM Tanzania Sengerema.

View attachment 1098395
4. Netho Ndilito, DED wa Mufindi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Mufindi Kaskazini na Kusini.

View attachment 1098396
5. John Lipesi Kayombo, DED wa Musoma na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Musoma Mjini n Vijijini. Alikuwa mNEC wa CCM kupitia Vyuo Vikuu.

View attachment 1098397
6. Esther Anania Chaula, DED wa Ukerewe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Ukerewe.

View attachment 1098432
7. Elias Mahwago Kayandabila, DED wa Mbogwe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbogwe. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kigoma Kaskazini.

View attachment 1098495
8. Jefrin Lubuva, DED wa Mwanga aliyekuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Osterbay kwa tiketi ya CCM.

9. Adeladius Makwega, DED wa Mbozi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbozi. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Kigamboni.

10. Pius Shija Luhende, DED wa Itigi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Manyoni Magh na Mash. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kishapu.

11. Jimson Peter Mhagama DED wa H/ wilaya ya nyasa kabla ya uteuzi wake alikuwa Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma.

12. Listi inaendelea....
Mwanachama wa chama cha siasa kama ana sifa kuteuliwa DED kwa hakika sio tatizo ila itabidi asimamishe uanachama wake kabla ya kula kiapo kua msimamizi wa uchaguzi kukidhi kifungu cha katiba 74(14).
 
Kusimamisha uanachama hakufuti uanachama, the best solution ni kufuata katiba kuwa DEDs wasiwe returning officers wa NEC kwani lazima wao mbona kuna watanzania zaidi ya milioni 30 wasio na vyama,

walioandika katiba siyo wajinga waliona mbali athari yake.
 
Kama wapinzani wakienda kwenye uchaguzi kwa utaratibu huu wa sasa basi kutakuwa hakuna vyama vya upinzani ila vyama hivyo vitakuwa ni pandikizi. That's all.
 
Mwanachama wa chama cha siasa kama ana sifa kuteuliwa DED kwa hakika sio tatizo ila itabidi asimamishe uanachama wake kabla ya kula kiapo kua msimamizi wa uchaguzi kukidhi kifungu cha katiba 74(14).
Nonsense.
 
Nitakukatia rufaa kuwa JF member,unaandika uharo gani huu
 
Back
Top Bottom