Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

IMG_20190515_204538.jpg

Huyu ni Falesy Moh’d Kibasa, DED wa Kondoa DC na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Kondoa Vijijini. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge @ccm_tanzania Jimbo la Iringa. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ni #PumziYaCCM
#ChaguziHuru https://t.co/3ETZ0fVNu3
 
IMG_20190515_205859.jpg

Huyu Waziri mourice DED wa karatu na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa karatu.2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge @ccm_tanzania kigoma kusini. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ni #PumziYaCCM #NEChuru
Cc @zittokabwe @fatma_karume https://t.co/8HI0wzLkCG
 
Hii ni thread maalumu kwa Wakurugenzi wa Halmashauri (DED) wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni makada wa CCM.

View attachment 1098421

View attachment 1098390
1. Kisena M. Mabuba, DED wa Halmashauri ya Misungwi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Jimbo la Misungwi.

View attachment 1098391
2. Lutengano G. Mwalwiba, DED wa Magu na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Magu. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge za CCM Tanzania Busokelo.

View attachment 1098393
3. Anna-Claire Shija, DED wa Same na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Same Mashariki na Magharibi. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge wa CCM Tanzania Sengerema.

View attachment 1098395
4. Netho Ndilito, DED wa Mufindi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Mufindi Kaskazini na Kusini.

View attachment 1098396
5. John Lipesi Kayombo, DED wa Musoma na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Musoma Mjini n Vijijini. Alikuwa mNEC wa CCM kupitia Vyuo Vikuu.

View attachment 1098397
6. Esther Anania Chaula, DED wa Ukerewe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Ukerewe.

View attachment 1098432
7. Elias Mahwago Kayandabila, DED wa Mbogwe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbogwe. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kigoma Kaskazini.

View attachment 1098495
8. Jefrin Lubuva, DED wa Mwanga aliyekuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Osterbay kwa tiketi ya CCM.

9. Adeladius Makwega, DED wa Mbozi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbozi. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Kigamboni.

10. Pius Shija Luhende, DED wa Itigi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Manyoni Magh na Mash. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kishapu.

11. Jimson Peter Mhagama DED wa H/ wilaya ya nyasa kabla ya uteuzi wake alikuwa Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma.

12. Falesy Moh’d Kibasa, DED wa Kondoa DC na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Kondoa Vijijini. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Iringa.

13. Listi inaendelea....
Unafikiri hata kama ukiwaondoa Ma-DED watakaosimamia unafikiri wanatoka kwa mabeberu? Jaribuni kushughulisha ubongo nyinyi Chadema!
 
IMG_20190515_210926.jpg

Huyu ni Kaigounze Alexius, DED wa Mlele Mkoani Katavi, na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mlele. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ni #PumziYaCCM #ChaguziHuru
#WaTZsiWajinga @zittokabwe @fatma_karume @AdoShaibu @BobWangwe https://t.co/YOLk3yRjPy
 
Back
Top Bottom