Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

IMG_20190515_211547.jpg

Huyu ni Khalifa K. Mponda, DED wa Kondoa Mji n Msimamizi wa Uchaguzi wa Kondoa Mjini.2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge @ccm_tanzania Jimbo la Moro Kusini Mashariki. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ni #PumziYaCCM
#ChaguziHuru https://t.co/6NqosnDZed
 
IMG_20190515_212343.jpg

Huyu ni Florent Laurent Kyombo, DED wa Mvomero n Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Jimbo la Mvomero. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge @ccm_tanzania Jimbo la Nkenge. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ni #PumziYaCCM

#ChaguziHuru https://t.co/RPuBOEElHZ
 
Kwani unateseka
Tumeshawaambia upinzani kushinda may be 2099. Kwa sababu hawana sera na watz wameshawajua kuwa ni waongo sana na mbaya zaidi hawajui kama hawajui siasa hapo ndiyo shida ilipo wala siyo wasimamizi wa kura. Kwani DED ndiye anayekuwa kwenye kituo cha kupigia kura?
 
Ok
 
Mwanachama wa chama cha siasa kama ana sifa kuteuliwa DED kwa hakika sio tatizo ila itabidi asimamishe uanachama wake kabla ya kula kiapo kua msimamizi wa uchaguzi kukidhi kifungu cha katiba 74(14).
Hayo yalizingatiwa? Kwa nini hayakuzingatiwa?

Vv
 
Vipi umeshaacha kuhamasisha wafanyakazi wafanye ujinga wako?
Usiite ujinga,pengine ungekusaidia na ww kukutoa ujinga ulionao.Nisingeacha,jf walinipa ban.Hii nayo si Ile ya kipindi kileeeee ya "where we dare to talk openly"
Je wewe ni miongoni mwa wapumbavu?Be careful naweza nikakuharibia siku,so jibu vizur na si kama ulivyoanza kuniuliza sawa.

Mama yako yupo wapi muda huu?
 
Hahahahahah... kumbe nachat na kichaa basi bhana usiku mwema!! Hahahahaha...!!
 
Mbona wengi wao kama wamenona hivi kama sio dozi za kudumu yaweza kuwa fedha za miradi ya maendeleo?
Bora ungechangia kwa hoja hayo ulioandika ni kufuru, hakuna anaetumia hizo doz kwamba alipiga magoti kumuomba Mungu, chunga mdomo mkuu hujafa hujaumbika
 
IMG_20190515_213801.jpg
Huyu ni Alphonce Magori, DED wa Butiama msimamizi Uchaguzi Mkuu Musoma vijijini, 2015 aligombea ubunge Jimbo la Musoma Mjini.
 
Back
Top Bottom