Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM

Wengine hao hapo ni makada wa CCM
FB_IMG_1557928888171.jpg

FB_IMG_1557928884665.jpg

FB_IMG_1557928891153.jpg
 
IMG_20190515_173147.jpg

Adeladius Makwega, DED wa Mbozi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbozi. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Kigamboni.
 
Sura za Mi fisi Em ni kama unaangalia horror movie.... Hawa ndio wanatuweka hapa tulipo
Hii ni thread maalumu kwa maDEDs wasimamizi wa uchaguzi ambao ni CCM.

View attachment 1098421

View attachment 1098390
1. Kisena M. Mabuba, DED wa Halmashauri ya Misungwi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Jimbo la Misungwi.

View attachment 1098391
2. Lutengano G. Mwalwiba, DED wa Magu na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Magu. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge za CCM Tanzania Busokelo.

View attachment 1098393
3. Anna-Claire Shija, DED wa Same na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Same Mashariki na Magharibi. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge wa CCM Tanzania Sengerema.

View attachment 1098395
4. Netho Ndilito, DED wa Mufindi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Mufindi Kaskazini na Kusini.

View attachment 1098396
5. John Lipesi Kayombo, DED wa Musoma na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Musoma Mjini n Vijijini. Alikuwa mNEC wa CCM kupitia Vyuo Vikuu.

View attachment 1098397
6. Esther Anania Chaula, DED wa Ukerewe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Ukerewe.

View attachment 1098432
7. Elias Mahwago Kayandabila, DED wa Mbogwe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbogwe. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kigoma Kaskazini.

8. Adeladius Makwega, DED wa Mbozi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbozi. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Kigamboni.

9. Listi inaendelea....
 
Back
Top Bottom