Wajue ma DED zaidi ya 74 wasimamizi wa Uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM


Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Messages
16,505
Points
2,000
Quinine

Quinine

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2010
16,505 2,000
Hii ni thread maalumu kwa Wakurugenzi wa Halmashauri (DED) ambao ni wasimamizi wa Uchaguzi Mkuu wakati huo huo ni makada wa Chama cha Mapinduzi.

img_20190515_163622-jpg.1098421


img_20190515_152138-jpg.1098390

1. Kisena M. Mabuba, DED wa Halmashauri ya Misungwi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Jimbo la Misungwi.

img_20190515_153421-jpg.1098391

2. Lutengano G. Mwalwiba, DED wa Magu na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Magu. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge za CCM Tanzania Busokelo.

img_20190515_153913-jpg.1098393

3. Anna-Claire Shija, DED wa Same na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Same Mashariki na Magharibi. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge wa CCM Tanzania Sengerema.

img_20190515_155250-jpg.1098395

4. Netho Ndilito, DED wa Mufindi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Mufindi Kaskazini na Kusini.

img_20190515_155936-jpg.1098396

5. John Lipesi Kayombo, DED wa Musoma na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Musoma Mjini n Vijijini. Alikuwa mNEC wa CCM kupitia Vyuo Vikuu.

img_20190515_160707-jpg.1098397

6. Esther Anania Chaula, DED wa Ukerewe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Ukerewe.

img_20190515_164415-jpg.1098432

7. Elias Mahwago Kayandabila, DED wa Mbogwe na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbogwe. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kigoma Kaskazini.

img-20141208-wa050-jpg.1098495

8. Jefrin Lubuva, DED wa Mwanga aliyekuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Osterbay kwa tiketi ya CCM.

9. Adeladius Makwega, DED wa Mbozi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbozi. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Kigamboni.

10. Pius Shija Luhende, DED wa Itigi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya Manyoni Magh na Mash. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Kishapu.

11. Jimson Peter Mhagama DED wa H/ wilaya ya nyasa kabla ya uteuzi wake alikuwa Katibu wa CCM mkoa wa Ruvuma.

12. Falesy Moh’d Kibasa, DED wa Kondoa DC na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu Jimbo la Kondoa Vijijini. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Iringa.

13. Waziri Mourice, DED wa Karatu na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Karatu. 2015 alishiriki Kura za Maoni za Ubunge CCM Kigoma kusini.

14. Kaigounze Alexius, DED wa Mlele Mkoani Katavi, na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mlele.

15. Khalifa K. Mponda, DED wa Kondoa Mji na Msimamizi wa Uchaguzi wa Kondoa Mjini.2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Moro Kusini Mashariki.

16. Florent Laurent Kyombo, DED wa Mvomero na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu wa Jimbo la Mvomero. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Jimbo la Nkenge.

17. Alphonce Magori, DED wa Butiama msimamizi Uchaguzi Mkuu Musoma vijijini, 2015 aligombea ubunge Jimbo la Musoma Mjini.

18. Yohana E Sintoo, DED wa Hai na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Hai. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM jimbo la Singida Kaskazini.

19. Janeth Peter Mayanja, DED Bunda Mji na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Bunda Mjini. 2015 alishiriki kura za Maoni za Ubunge za CCM za Mtama.

20. Geoffrey Mwangulumbi, DED wa Shinyanga n Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Shinyanga Mjini. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge CCM Mbarali.

21. Marcelin Rafael Ndimbwa DED Malinyi na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Malinyi. 2015 alishiriki kura za Maoni za Ubunge za CCM Ileje.

22. Jumaa Mhiwapijei Mhina, DED Longido na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Longido. 2015 alishiriki kura za Maoni za Ubunge za CCM Kawe.

23. Martha Daudi Luleka, DED Sikonge na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Sikonge.

24. Aaron Kagurumjuli, DED Kinondoni na Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Majimbo ya K’ndoni n Kawe. Mwanafunzi Akwelina aliuawa kwenye uchaguzi uliosimamiwa naye.

25. Listi inaendelea....

img_20190516_195740-jpg.1099586


img_20190516_195746-jpg.1099584
 
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
1,935
Points
2,000
HesabuKali

HesabuKali

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
1,935 2,000
Halafu kuna Mtanzania anahoji kwanini uchumi wetu unaporomoka kwa kasi, yaani kwa watu hawa ulitarajia uchumi unaohitaji akili kubwa ukue??
Ukiwachambua hawa watu ambao ni watendaji muhimu sana na kichocheo cha uchumi wetu unajiuliza hivi huyu Rais kweli ana nia njema na nchi hii??
 
S

sawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Messages
2,738
Points
1,500
S

sawa

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2010
2,738 1,500
Huyu ni Elias Mahwago Kayandabila, DED wa Mbogwe n Msimamizi wa Uchaguzi Mkuu kwa Jimbo la Mbogwe. 2015 alishiriki Kura za Maoni Ubunge @ccm_tanzania Kigoma Kaskazini. Serikali inakatia rufaa hukumu ya kuwaondoa MaDED kusimamia Uchaguzi kwa sababu hawa ni #PumziYaCCM #ChaguziHuru
 
issac77

issac77

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Messages
2,259
Points
2,000
issac77

issac77

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2013
2,259 2,000
mkuu Erythrocyte nimeshindwa kuku'puote hiyo picha. nani kuyo?
 

Forum statistics

Threads 1,295,450
Members 498,335
Posts 31,212,482
Top