Waitara: Watakachofanywa wanaomuita Rais mshamba

Wacha ifike mwaka 2020 ndiyo atawajua ccm
 
Hayo maneno si ya kusemwa na mtu mwenye dhamana ya uwaziri, asiingie yeye kwenye anga za watu huenda akafanywa mshamba na akamalizwa. Kwani hao wanaosema raisi mshamba pia walikuwa wana cheo na nguvu serikalini.
 
Huyu jamaa ana ulafi wa madaraka hashindwi kuwa mmalizaji wa watu huyu, Siku jiwe akipendwa zaidi na Mungu kuna wana ccm wataomboleza kuliko familia ya Jiwe,
 
Huyu jamaa ana ulafi wa madaraka hashindwi kuwa mmalizaji wa watu huyu, Siku jiwe akipendwa zaidi na Mungu kuna wana ccm wataomboleza kuliko familia ya Jiwe,

Wasiojulikana, wahamiaji haramu, waliokotwa majalalani,ma praise team,wenye vyeti
 
List ya ICC inaongezeka!
 
kumbe ndio maana kitunda kumejaa wezi wa kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…