Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Sijaona si CCM wala chadema

Wote wazee wa fursa, mwenye hela au mwenye upanga ndio mshindi,

Ni hivi ndugu, si sahihi kiongozi wa kuchaguliwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Hii hali anayokutana nayo Mbowe ni kama kajitakia kwa kuendelea kuwa madarakani zaidi ya 10yrs. Huyo Waitara mengi ya aliyozungumza kumhusu Mbowe zaidi ya nusu ni kweli hata kama aliongozwa na chuki binafsi dhidi ya Mbowe.

Kisaikolojia ukitaka kujua madhaifu yako, gombana na mtu wa karibu yako. Kama mtu huyo hawezi kuhimili hasira zake atayataja madhaifu yako yote tena hadharani mchana kweupe. Hii ni tabia ya binadamu wengi wanapokuwa na hasira. Ni vyema Mbowe akakaa pembeni kwa sasa bila kujali ccm wanasema nini kwani huwezi kupingana na nature kwamba wakati ni ukuta. Huyo Mbowe ambaye anasifiwa ni imara mbona hathubutu hata kufanya mikutano nchi nzima? Mbona bado madiwani na wabunge wanajiuzulu tu. Mbowe kakaa zaidi ya 10yrs ameshindwa hata kujenga ofisi ya hadhi ya cdm, sasa kwanini asifikie mwisho wa uenyekiti? Ajilaumu mwenyewe kwa kusubiri shinikizo, lakini kiongozi muungwana hukaa madarakani muda usiozidi 10yrs. Ukivuka muda huo lazima utawale kwa mizengwe.
 
Kama ni mtu kichwa sana basi hakika Mbowe ni kichwa. Ameona kuwaangusha ccm kwenye box ni uongo hivyo kawanadi wabunge wake ili kuiteketeza ccm ndani kwa ndani. Polepole wangu, huuoni huo mchezo mchafu unaochezwa na Mbowe?? Endelea kuwanunua wapinzani ukidhani kuwa ndio njia sahihi kumbe ndio kitanzi chako
 
Baada ya kufatilia Sana sias za Tanzania na wanasiasa nimegundua kuwa MBOWE hata kama anamapungufu yake lkn ktk kusimamia kweli na kuwa na uchungu na chama basi huyu jamaa anania ya kweli ya kuleta mabadiliko ktk siasa za ushindan na sio uroho wa madaraka. Ushaur wangu MBOWE asiachie nafah hii mpaka kieleweke akiachia akina Waitara wako wengi na mwisho wake CDM itakufaa kama NCCR Mageuzi! Huyu jamaa inaonekana haingiliki na wenye pesa make anapigwa mawe balaaa
 
Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.

Nini maoni yako?
he cant put his a** wide shut? ushasepa chadema ya nini go f*** yourself!
 
yuko sawa wahame tu,wanasiasa ni wanafiki sana kuanzia huyo waitara mwenyewe,ni kweli tumbo ni kubwa kuliko kichwa.
 
Upinzani kwisha habari !
Ngoja nijipange kufuungua chama changu cha siasi ya kweli hawa wengine naona naona wameshindwa kazi.
 
Akili iwazayo shibe ya leo haifai kabisa,maana ikifika ataamka na lipi?
 
Mwita ni cheap politician, hata Mahabad akiachwa ana move on
Ndio maana huko huko ccm walimuona hanazo wakamfanya mpishi wa chai ya katibu na wageni wake.
Sasa wanamtumia kaa kondom maana wanamjua na kisha watamtupa kwenya dustbin.
Condom ina thamani sana kabla ya matumizi ila baada ya matumizi ni kinyaa na uchafu usiostahili kuwa wazi.
 
Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.

Nini maoni yako?
These are happening only in Tanzania, na hii ni ishara kuwa Watanzania bado hatujitambui kisiasa. Mbona wanatuongezea gharama kwa chaguzi za marudio rudio?
 
Asikudanganye. Weye bado ni kagonjwa.

Utakuwa ulipolazwa umemuona mtu anaimba Cocochanel wa JF mzuriiiii.. ukafikiri ni mimi..
Endelea tu kukaa humo wodini aiseee.. weww unaimba 'Lissu Mbowe n.k. pesa za ruzuku sio zenu wenyewe huku unaliaaaa'
 
Si angehama akatulia kama wenzie akina Mtulia na Kafulila. Katoka kwa mbwembwe na mashambulizi lukuki kwa Chadema lakini Chadema hawajamjibu lakini bado anaendelea tu kuropoka. Ngoja watu wa ukonga watamwonyesha.
 
Wanajenga tz ya viwonder kwa mkakati wa mbunge Chadema/upinzani halafu akihamia ccm anakuwa kiwonder
 
Back
Top Bottom