Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Hii inanionesha kuwa chdma kuna fursa sasa. Ngoja tukajiwekeze hta baada ya miaka 20 swa tu.
 
Hata wakihama wote haitafanya ccm ipendwe na watanzania, njia nzuri ya kuiua chadema ni kuwapelekea wananchi maendeleo na sio kununua wabunge, huku mtu ccm inachukiwa sana na tangia awamu hii iingie chuki zimezidi.
Kama wananunulika/wanajiuza wacha tuwanunue....
 
Hao wahamiaji haramu wangejipima kama wana angalau mmoja ya trillioni ya sifa za mashuja wetu niliorodhesha hapa chini.

Mashujaa ni hawa:
Alifyeka jesi lote la Kijerumani akitumia siraha za jadi Chifu Mkwawa
Alipandisha mwenge juu ya kilele cha mlima Kilimanjaro mkesha wa kupata uhuru-Nyirenda.
Walitembea kwa miguu Bukoba hadi Dar kuunga Azimio la Arusha na wengine wakaliwa na simba kama Seti Benjamini
Kipofu Mzee Morris akipiga ngoma zake kumi kwa ustadi.
Majemadari walio ongoza vita vya Kagera akina Black Mamba,Mti mkavu na wenzake.
Alisimamia kwa dhati na kupambana bila huruma na wahujumu uchumi Moringe Sokoine
 
Lengo ni mbowe aachie uenyekiti. Mbowe ndio kikwazo cha kuisambaratisha cdm .Na nafikiri ccm wana mtu wao ,pandikizi limeandaliwa tayari. WAKISIKIA MBOWE KAACHIA UENYEKITI BASI WATASHEREHEKEA.Mambo mawili yatatokea mosi kupandikuza mgogoro ktk mchakato wa kumpata mkitI mpya au kuhakikisha wanaweka mtu wao. TUSUBIRI!
Sio kweli Mbowe asidanganye watu kuwa eti CCM ndio wanasababisha migogoro .
Migogoro anaisababisha yeye kwa akili yake kuona kuwa yeye ndio pekee ndani ya Chadema mwenye uwezo wa kuongoza.
Hata CCM siku mwenyekiti wao atakaposema kuwa yeye ndiye pekee na anakaa madarakani milele ndio siku chama kitakapo sambaratika. Dunia ya leo na akili za binadamu wenye maarifa walishaona kuwa Demokrasia ndio suluhu ya kila kitu kwenye siasa katika karne hii yenye watu wengi wenye maarifa ,wakati huo huo wengi wanataka kuwa vingozi. Utapataje mmoja kwa amani bila demokrasia?

UDP na TLP zimekufa kwa sababu ya utaratibu wa kuwaabudu wenyeviti wao na kuona hakuna Mwingine mwenye uwezo.

Demokrasia ni kitu muhimu sana popote sio kwenye serikali tu hata ndani ya vyama.Ni lazima watu waone Mabadiliko.
Hebu kumbuka jinsi uchaguzi wa TLS serikali ilivyotumia kila Mbinu kuweka pandikizi lao lakini walishindwa kwa sababu ya kuheshimu Demokrasia. Kama wangelazimisha kuwa uchaguzi usifanyike na Rais wao aendelee kuwa Lisu tu hakika wangekua na migogoro wa ndani!
Sasa kama walishindwa kupandikiza pandikizi lao TLS iweje waweze kwa Chadema kikuu cha Upinzani ?

Huo woga wa Mbowe ndio utakaoharibu na kuua chama.
Ni Ukweli ulioko wazi wala tusiilaumu serikali wala CCM kuwa kuwa wanataka kuweka pandikizi .
Hebu tuangalie jambo moja linaloweza kutokea kwa sababu lipo na litafikia mwisho kwenye Kesi za Mbowe inaweza kutokea kwa mfano akala mvua ya miaka gerezani na kazi ngumu sana. Hilo ni jambo ambalo linaprobability ya kutokea mana kesi zake ziko ni za jinai zote na serikali ya awamu hii haikurupuki kufungua kesi kitoto kitoto.
Sasa badala ya Mbowe kujiweka Pembeni na kuitisha uchaguzi ambao atausimamia yeye kama Mwenyekiti mwenye uchungu na chama anaacha Siku inatokea mara paa Kesi ya Mbowe na wenzake wamehukumiwa Kwenda gerezani mfano kifungo cha miaka mitatu(Ni mfano tu na tahadhari kwa nia njema kabisa).Je, hapo kwa MTU mwenye akili kubwa sio za kubisha bisha na kupinga pinga tu, haoni kuwa chama kitaingia kwenye Mgogoro mkubwa wa kugombea Madaraka kwa sababu wote watakua ni makambale yasiyo na msimamizi wa uchaguzi.
Hapo ndipo CCM itaweka mamluki mana hakuna mtu wa kuratibu uchaguzi.

Mbowe na viongozi wenzake hebu kaeni chini muitishe mkutano mkuu mujadili kwa kina na kutoa uhuru na uwazi kuhusu mustakabali wa chama bila kuwanyoishea wenzenu vidole.

Toeni nafasi kwa watu wenye maono mapana wajitokeze ili kila mmoja aeleze maono yake na nini mipango sahihi ya kukiongoza chama.

Chama kinasambaratika na ruzuku inapungua kila siku na viongozi wapo bize na kesi zinazowakabili.
Lazima aje mtu Mwingine atakayekivusha Chama.
Siamini kuwa chama hakina watu zaidi ya Mbowe. Siamini kabisa . Wapo ila tunachelewa kuwapa nafasi . Kwa sasa wabunge wote watapukutika kwa sababu ya Mbowe kuingilia Uhuru wa Wabunge hata kwenye shughuli za Kimaendeleo ambazo ni kosa kubwa analofanya.Sio demokrasia kushindwa kuwapa wawakilishi wa wananchi fursa ya kushirikiana na serikali kuleta maendeleo.
Uchaguzi wa serikali za mitaa unakuja mwakani huku chama kikizidi kupoteza majembe ya kazi kwa Vifo ,kushambuliwa na kuhama chama; Tumepoteza watu mahiri kama Tambwe Hiza (Mungu amrehemu ), Waitara, Lisu (kwa kuumizwa hataweza mikiki mikiki ile ya mwanzo kwa kipindi kirefu) na wengine wengi kwa sababu zile zile tunazozipigia kelele za udikteta na kulazimishana kupinga mambo hata yale yanayohusu maendeleo ya watu kwenye majimbo yao.

Mbowe ana Kesi kubwa kubwa ambazo kwa misingi ya sheria na utawala wa sheria anaweza akaionja na kuila Jela (Sifurahii ila naona jinsi anavyoshindwa kuliona hili na kuweka Chama kwenye mikono ya mtu salama mapema).

TUKUMBUKE KUWA NCHI IKIKOSA DEMOKRASIA YA KWELI INAKUA NA VURUGU NA MGAWANYIKO halikadhalika CHAMA KIKIKOSA DEMOKRASIA PIA KINAINGIA KWENYE MIGOGORO ISIYOISHA NA MWISHO WAKE KINASAMBARATIKA KAMA NCHI YA LIBYA.

MAHALI AMBAPO HAKUNA DEMOKRASIA ADUI ANAINGIA KWA WEPESI KULIKO MAHALI PALIPO NA DEMOKRASIA.
 
Huu ni mkakati wa muda mrefu na kuhama ili eti kumkomoa mbowe bado hujamkomoa kitu maana chama siyo cha mbowe wala baregu!!!
hata ingekuwaje chadema isingeweza kukupa uenyekiti wewe....sema njaa ndizo zimekupeleleka ccm usitumike na polepole kukichafua chama we subiri upewe wilaya japo huwezi kupewa hivihiv mpaka uropoke kwenye media na kumlamba JPM miguu.
 
Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.

Nini maoni yako?
Mwambie nimemtukana matusi yote
 
Asubuhi PIA Waitara kaonyesha kuwa ni team "mauaji " ilomminia Lissu marisasi kule Dod. Wachawi weshaanza kuweweseka. Amen.
 
Sio kweli Mbowe asidanganye watu kuwa eti CCM ndio wanasababisha migogoro .
Migogoro anaisababisha yeye kwa akili yake kuona kuwa yeye ndio pekee ndani ya Chadema mwenye uwezo wa kuongoza.
Hata CCM siku mwenyekiti wao atakaposema kuwa yeye ndiye pekee na anakaa madarakani milele ndio siku chama kitakapo sambaratika. Dunia ya leo na akili za binadamu wenye maarifa walishaona kuwa Demokrasia ndio suluhu ya kila kitu kwenye siasa katika karne hii yenye watu wengi wenye maarifa ,wakati huo huo wengi wanataka kuwa vingozi. Utapataje mmoja kwa amani bila demokrasia?

UDP na TLP zimekufa kwa sababu ya utaratibu wa kuwaabudu wenyeviti wao na kuona hakuna Mwingine mwenye uwezo.

Demokrasia ni kitu muhimu sana popote sio kwenye serikali tu hata ndani ya vyama.Ni lazima watu waone Mabadiliko.
Hebu kumbuka jinsi uchaguzi wa TLS serikali ilivyotumia kila Mbinu kuweka pandikizi lao lakini walishindwa kwa sababu ya kuheshimu Demokrasia. Kama wangelazimisha kuwa uchaguzi usifanyike na Rais wao aendelee kuwa Lisu tu hakika wangekua na migogoro wa ndani!
Sasa kama walishindwa kupandikiza pandikizi lao TLS iweje waweze kwa Chadema kikuu cha Upinzani ?

Huo woga wa Mbowe ndio utakaoharibu na kuua chama.
Ni Ukweli ulioko wazi wala tusiilaumu serikali wala CCM kuwa kuwa wanataka kuweka pandikizi .
Hebu tuangalie jambo moja linaloweza kutokea kwa sababu lipo na litafikia mwisho kwenye Kesi za Mbowe inaweza kutokea kwa mfano akala mvua ya miaka gerezani na kazi ngumu sana. Hilo ni jambo ambalo linaprobability ya kutokea mana kesi zake ziko ni za jinai zote na serikali ya awamu hii haikurupuki kufungua kesi kitoto kitoto.
Sasa badala ya Mbowe kujiweka Pembeni na kuitisha uchaguzi ambao atausimamia yeye kama Mwenyekiti mwenye uchungu na chama anaacha Siku inatokea mara paa Kesi ya Mbowe na wenzake wamehukumiwa Kwenda gerezani mfano kifungo cha miaka mitatu(Ni mfano tu na tahadhari kwa nia njema kabisa).Je, hapo kwa MTU mwenye akili kubwa sio za kubisha bisha na kupinga pinga tu, haoni kuwa chama kitaingia kwenye Mgogoro mkubwa wa kugombea Madaraka kwa sababu wote watakua ni makambale yasiyo na msimamizi wa uchaguzi.
Hapo ndipo CCM itaweka mamluki mana hakuna mtu wa kuratibu uchaguzi.

Mbowe na viongozi wenzake hebu kaeni chini muitishe mkutano mkuu mujadili kwa kina na kutoa uhuru na uwazi kuhusu mustakabali wa chama bila kuwanyoishea wenzenu vidole.

Toeni nafasi kwa watu wenye maono mapana wajitokeze ili kila mmoja aeleze maono yake na nini mipango sahihi ya kukiongoza chama.

Chama kinasambaratika na ruzuku inapungua kila siku na viongozi wapo bize na kesi zinazowakabili.
Lazima aje mtu Mwingine atakayekivusha Chama.
Siamini kuwa chama hakina watu zaidi ya Mbowe. Siamini kabisa . Wapo ila tunachelewa kuwapa nafasi . Kwa sasa wabunge wote watapukutika kwa sababu ya Mbowe kuingilia Uhuru wa Wabunge hata kwenye shughuli za Kimaendeleo ambazo ni kosa kubwa analofanya.Sio demokrasia kushindwa kuwapa wawakilishi wa wananchi fursa ya kushirikiana na serikali kuleta maendeleo.
Uchaguzi wa serikali za mitaa unakuja mwakani huku chama kikizidi kupoteza majembe ya kazi kwa Vifo ,kushambuliwa na kuhama chama; Tumepoteza watu mahiri kama Tambwe Hiza (Mungu amrehemu ), Waitara, Lisu (kwa kuumizwa hataweza mikiki mikiki ile ya mwanzo kwa kipindi kirefu) na wengine wengi kwa sababu zile zile tunazozipigia kelele za udikteta na kulazimishana kupinga mambo hata yale yanayohusu maendeleo ya watu kwenye majimbo yao.

Mbowe ana Kesi kubwa kubwa ambazo kwa misingi ya sheria na utawala wa sheria anaweza akaionja na kuila Jela (Sifurahii ila naona jinsi anavyoshindwa kuliona hili na kuweka Chama kwenye mikono ya mtu salama mapema).

TUKUMBUKE KUWA NCHI IKIKOSA DEMOKRASIA YA KWELI INAKUA NA VURUGU NA MGAWANYIKO halikadhalika CHAMA KIKIKOSA DEMOKRASIA PIA KINAINGIA KWENYE MIGOGORO ISIYOISHA NA MWISHO WAKE KINASAMBARATIKA KAMA NCHI YA LIBYA.

MAHALI AMBAPO HAKUNA DEMOKRASIA ADUI ANAINGIA KWA WEPESI KULIKO MAHALI PALIPO NA DEMOKRASIA.
Umeandika point mkuu lkn kwa nature ya chama na wafuasi wa humu ndani sijui kama watakuelewa.Wao wako katika wimbo wa ccm inawanunua lkn mda huohuo ukiwahoji huko chadema kuna soko la kuuza wabunge?huwezi pata jibu.
 
Hivi hawa wanaohamia CCM na kupewa nafasi ya kugombea.. kwani wa CCM waliopo hawana uwezo wa kugombea au ndio hawaaminiki?
Hawa walichaguliwa kwa sababu ya Chadema.. mbona wanajihamini sana wanapoingia ccm.. yaani waliopo ndio hawata gombea tena kisa hawa wageni?

Wanajisikiaje kukisimamia chama chao na kusubiria kuwania uongozi muda wote then wageni wanakuja na kupewa nafasi ya kwanza.. kisa nini haswa wanacho kuwazidi?

Kingine kiukweli sielewi hii kitu kama mwananchi.. pesa zinatoka wapi kurudia uchaguzi..

Na upinzani ukififia raha ya siasa aliyoanzisha Mwalimu Nyerere ya vyama vingi si ndio inakuwaje..

JPM anasukuma Dodoma kwa sababu ya Nyerere haya mengine vipiiii? Hao waliopo kuja kupitwa na wageni ndio inanishangqza na kuniboa.. natamani wananchi wasiwachague tena..
Naona akili zimeanza kukurudia
 
Write your reply...aliponyonyoka nywele pale kichwani kwake na akili zake zikatoka
 
Back
Top Bottom