Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,267
Ili iweje?Weka maneno yako akiba
Ili iweje?Weka maneno yako akiba
Siku zote ni boyaLeo hii??
Uko sahihi.Mbowe kawazidi maarifa mamluki na vibaraka wao.CHADEMA ilisimama imara wakati kipenzi chao Dr.Slaa alipobwaga manyanga,SIONI KIONGOZI MWINGINE YEYOTE atakaeondoka CHADEMA akafanikiwa kuisambaratisha.Hiki chama kwa sasa kina mamilioni ya WAFUASI(siyo wanachama). Hao waoondoka sasa wanapoteza muda wao.Lengo ni mbowe aachie uenyekiti. Mbowe ndio kikwazo cha kuisambaratisha cdm .Na nafikiri ccm wana mtu wao ,pandikizi limeandaliwa tayari. WAKISIKIA MBOWE KAACHIA UENYEKITI BASI WATASHEREHEKEA.Mambo mawili yatatokea mosi kupandikuza mgogoro ktk mchakato wa kumpata mkitI mpya au kuhakikisha wanaweka mtu wao. TUSUBIRI!
Sura ya huyu jamaa inanichefua. Mpumbavu kabisaLeo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.
Nini maoni yako?View attachment 827400
Yako wapi matumizi ya TZS.237 milioni za Ruzuku ya Chama!?Walikuwa wote sokoni? Yeye kafika bei wenzake bado wana bargain...asante kwa kutujuza
Ni sifa zipi unazihitaji ili Mbunge wa Chadema akiamua kukihama chama chake na kujiunga na kingine wewe utamtuhumu ni msaliti, boya, amenunuliwa, n.k!?Ni maboya tu ndiyo yatakubali kununuliwa.
ni chizi kama wewe tu ataweza kuamini huu upuuziHahahaha
Chadrama kwishney walahi
That’s all
Hayupo Wa kuikomboa hii nchi,mi niliamini hivyo siku lowasa alipohamia CDM na staili ilotumika. Na kamwe sitakuja kuamini ktk siasa za nchi hiiHuyo Waitara ni bwege tu! Wenzie wameondoka ktk vyama vyao kwenda Chama cha Kigaidi- CCM, hawakutumika km kipaza sauti cha kusaga na kuponda upande wa pili walikotokea, lkn hili kichwa maji haliko makini, halijui km siasa za Nchi hubadilika ghafla kulingana na Kiongozi aliyopo madarakani kwa muda huo, ipo siku litakuja kujuta.
Limefika bei na kuondoka, likiwaacha watu makini wakiendeleza ukombozi wa Nchi yetu, ipo siku litajuta km Mzee wetu Mpendazoe ambaye hadi leo hii haeleweki alipo!
Bora ujisemee ukweli ndugu yanguSijaona si CCM wala chadema
Wote wazee wa fursa, mwenye hela au mwenye upanga ndio mshindi,
Wanatia tu hasara ya kufanyika tena uchaguzi, bora katiba mpya ije ili kama mtu kajiuzuru mshindi wa pili ktk uchaguzi aapishwe kuwa mbunge utaona pasua kichwa kama watahama.Mwita ni cheap politician, hata Mahabad akiachwa ana move on
Naona bidada akili imeanza kukukaa sawa.Hivi hawa wanaohamia CCM na kupewa nafasi ya kugombea.. kwani wa CCM waliopo hawana uwezo wa kugombea au ndio hawaaminiki?
Hawa walichaguliwa kwa sababu ya Chadema.. mbona wanajihamini sana wanapoingia ccm.. yaani waliopo ndio hawata gombea tena kisa hawa wageni?
Wanajisikiaje kukisimamia chama chao na kusubiria kuwania uongozi muda wote then wageni wanakuja na kupewa nafasi ya kwanza.. kisa nini haswa wanacho kuwazidi?
Kingine kiukweli sielewi hii kitu kama mwananchi.. pesa zinatoka wapi kurudia uchaguzi..
Na upinzani ukififia raha ya siasa aliyoanzisha Mwalimu Nyerere ya vyama vingi si ndio inakuwaje..
JPM anasukuma Dodoma kwa sababu ya Nyerere haya mengine vipiiii? Hao waliopo kuja kupitwa na wageni ndio inanishangqza na kuniboa.. natamani wananchi wasiwachague tena..
CCM ndani kwa ndani kuna mtifuano..wait and see.Wahame tu na cdm ife lkn siyo suluhisho la matatizo ya waTz. Kulazimisha kuongoza watu wenye chuki ni Mbaya Sana. Mwishowe ni vifo tu.