Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
- Thread starter
- #21
Na hii ndio target kubwa kwa sasa, watanunuliwa sana, sababu itakuwa ni mboweLengo ni mbowe aachie uenyekiti. Mbowe ndio kikwazo cha kuisambaratisha cdm .Na nafikiri ccm wana mtu wao ,pandikizi limeandaliwa tayari. WAKISIKIA MBOWE KAACHIA UENYEKITI BASI WATASHEREHEKEA.Mambo mawili yatatokea mosi kupandikuza mgogoro ktk mchakato wa kumpata mkitI mpya au kuhakikisha wanaweka mtu wao. TUSUBIRI!
Chadema wakikubal kumuondoa mbowe bas wanapandikiziwa mtu kutoka CCM kama vile walivyopandikiziwa MWENYEKIT WA BAVICHA