wagaba
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,106
- 605
Leo simu ya cocochanel imehackiwa. Sijuwi bado yupo kanisani. Akirudi ataua mtu.Hivi hawa wanaohamia CCM na kupewa nafasi ya kugombea.. kwani wa CCM waliopo hawana uwezo wa kugombea au ndio hawaaminiki?
Hawa walichaguliwa kwa sababu ya Chadema.. mbona wanajihamini sana wanapoingia ccm.. yaani waliopo ndio hawata gombea tena kisa hawa wageni?
Wanajisikiaje kukisimamia chama chao na kusubiria kuwania uongozi muda wote then wageni wanakuja na kupewa nafasi ya kwanza.. kisa nini haswa wanacho kuwazidi?
Kingine kiukweli sielewi hii kitu kama mwananchi.. pesa zinatoka wapi kurudia uchaguzi..
Na upinzani ukififia raha ya siasa aliyoanzisha Mwalimu Nyerere ya vyama vingi si ndio inakuwaje..
JPM anasukuma Dodoma kwa sababu ya Nyerere haya mengine vipiiii? Hao waliopo kuja kupitwa na wageni ndio inanishangqza na kuniboa.. natamani wananchi wasiwachague tena..