CHADEMA mbona demokrasia ipo kila siku uchaguzi unafanyika watu wanashindana.Ni chama kipi ambacho kina democrasia ya kweli Tanzania? Chama kinachofanya uchaguzi huru na wa kishindani unafanyika chama gani?
Sasa yeye inamuuma kitu gani huyo mfia tumbo?Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.
Nini maoni yako?View attachment 827400
Na ukifuatilia kwa umakini hii ni picha iliyopangwa vizuri na watawala na ndiyo maana hiyo interview kaenda kuifanyia kwa mwenyekiti wa ccmSi wahame wote tuanze upya mbona sasa wanatupasua Vichwa.
Huyu jamaa ni bichwa tupu sasa anaona aibu ndio maana anatapatapa tu akili zake sawa na tbcNa wasipo hama asije kukimbia. Alivyo wataja ndio kaharibu sasa hawata hama maana ame wa expose.
Wewe mwenyewe umesha kwisha ila ujijuiHahahaha
Chadrama kwishney walahi
That’s all
Bichwa lile kama Nabii TittoHuyu jamaa ni bichwa tupu sasa anaona aibu ndio maana anatapatapa tu akili zake sawa na tbc
Kanunuliwa kwa bei ya kutupa maana akili ndogoWalikuwa wote sokoni? Yeye kafika bei wenzake bado wana bargain...asante kwa kutujuza
Anafuata nyayo za katambiDadeki unadhani kupewa ukuu wa wilaya ni kazi nyepesi. Lazina ujitoe ufahamu
Waende tu machumia tumbo hayo! Halaf hivi 'migogoro' anayoisema Waitara kuwa ipo Chadema ni ipi?Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.
Nini maoni yako?View attachment 827400
Na Mbowe hatoki ng"oooo maccm yataishia kumaliza kodi za wavuja jasho bureLengo ni mbowe aachie uenyekiti. Mbowe ndio kikwazo cha kuisambaratisha cdm .Na nafikiri ccm wana mtu wao ,pandikizi limeandaliwa tayari. WAKISIKIA MBOWE KAACHIA UENYEKITI BASI WATASHEREHEKEA.Mambo mawili yatatokea mosi kupandikuza mgogoro ktk mchakato wa kumpata mkitI mpya au kuhakikisha wanaweka mtu wao. TUSUBIRI!
Amina Amina AminaWaondoke wote hata Mbowe nae akitaka aondoke..CHADEMA itabaki imara
Tena ile standard siyo ile bitumenMwita ni BOYA wa Kiwango Cha LAMI.
Wewe kichwa matopeMbowe ni kichwa maji kwelikweli
Kina lyatonga wapo wengi sanaNa hii ndio target kubwa kwa sasa, watanunuliwa sana, sababu itakuwa ni mbowe
Chadema wakikubal kumuondoa mbowe bas wanapandikiziwa mtu kutoka CCM kama vile walivyopandikiziwa MWENYEKIT WA BAVICHA
Umetema dhahabu mkuuHuyo Waitara ni bwege tu! Wenzie wameondoka ktk vyama vyao kwenda Chama cha Kigaidi- CCM, hawakutumika km kipaza sauti cha kusaga na kuponda upande wa pili walikotokea, lkn hili kichwa maji haliko makini, halijui km siasa za Nchi hubadilika ghafla kulingana na Kiongozi aliyopo madarakani kwa muda huo, ipo siku litakuja kujuta.
Limefika bei na kuondoka, likiwaacha watu makini wakiendeleza ukombozi wa Nchi yetu, ipo siku litajuta km Mzee wetu Mpendazoe ambaye hadi leo hii haeleweki alipo!