Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Waitara: Wafuatao wanahama CHADEMA

Hivi waitara ana account humu? Keshageuka dalali tayari! Simshangai hata kidogo kwani naye kapewa assignment ya kuwatafuta wa kumfuata ila hakuna ten percent! What if hawakuhama? Asifikiri amefika kwani ile hotuba yake bungeni ccm wanaisoma neno kwa neno na huenda akaminywa kutetea alichokiakimbia! Watamfurahisha tu mwisho wa siku!
Namshauri tu., badala ya kuendelea kuipaka cdm atafute namna ya kuikana ile hotuba ya bungeni vinginevyo ajiandae kujiunga rasmi na timu musiba!
 
HAWA akina waitara's & co. ni mamluki.

Na siku zote mamluki wakishatumika kukamilisha mission...

huwa wanatupwa jalalani...au kama condom chooni

Only time will tell..

ccm INA wenyewe na sio hao mamluki
 
Huyu jamaa nilijuwa anaakili timamu

Lakini kweli kabisa kichaa sio lazima kuokota makopo

God forbid.
Kikojozi... Na mzee wa kuoa kila siku huyoo. Kumbe alienda CHADEMA kwa lengo la kuua CHADEMA?? Bila kujua ana pambana na taasisi iliyo imara? Sasa ameamua kuwa gombanisha wenzake na wapiga kura wao.. Mjinga sana huyu jamaa
 
Waondoke wote tujue moja, tushachoka
 
Hivi hawa wanaohamia CCM na kupewa nafasi ya kugombea.. kwani wa CCM waliopo hawana uwezo wa kugombea au ndio hawaaminiki?
Hawa walichaguliwa kwa sababu ya Chadema.. mbona wanajihamini sana wanapoingia ccm.. yaani waliopo ndio hawata gombea tena kisa hawa wageni?

Wanajisikiaje kukisimamia chama chao na kusubiria kuwania uongozi muda wote then wageni wanakuja na kupewa nafasi ya kwanza.. kisa nini haswa wanacho kuwazidi?

Kingine kiukweli sielewi hii kitu kama mwananchi.. pesa zinatoka wapi kurudia uchaguzi..

Na upinzani ukififia raha ya siasa aliyoanzisha Mwalimu Nyerere ya vyama vingi si ndio inakuwaje..

JPM anasukuma Dodoma kwa sababu ya Nyerere haya mengine vipiiii? Hao waliopo kuja kupitwa na wageni ndio inanishangqza na kuniboa.. natamani wananchi wasiwachague tena..
 
Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.

Nini maoni yako?View attachment 827400

Aache dhambi ya usaliti imtafune mwenyewe, kwani yeye ni msemaji wao hao, yeye nani alimsemea usaliti wake? Wakihama wahame na cdm itatikisika lakini haitakufa kwani hata kuifuta hakutaiua mioyoni mwetu, tutazama na kurudi nyuma kujipanga upya; long live CDM, VIVA FREEMAN MBOWE
 
Mwita ni BOYA wa Kiwango Cha LAMI.
Enzi hizi makamanda walimuita huyu jamaa "muraa fita ni fita tu". Leo hii unamuita boya wa kiwango cha lami? Ha ha ha.
maxresdefault.jpg
 
Hivi hawa wanaohamia CCM na kupewa nafasi ya kugombea.. kwani wa CCM waliopo hawana uwezo wa kugombea au ndio hawaaminiki?
Hawa walichaguliwa kwa sababu ya Chadema.. mbona wanajihamini sana wanapoingia ccm.. yaani waliopo ndio hawata gombea tena kisa hawa wageni?

Wanajisikiaje kukisimamia chama chao na kusubiria kuwania uongozi muda wote then wageni wanakuja na kupewa nafasi ya kwanza.. kisa nini haswa wanacho kuwazidi?

Kingine kiukweli sielewi hii kitu kama mwananchi.. pesa zinatoka wapi kurudia uchaguzi..

Na upinzani ukififia raha ya siasa aliyoanzisha Mwalimu Nyerere ya vyama vingi si ndio inakuwaje..

JPM anasukuma Dodoma kwa sababu ya Nyerere haya mengine vipiiii? Hao waliopo kuja kupitwa na wageni ndio inanishangqza na kuniboa.. natamani wananchi wasiwachague tena..
Leo umetema point... hopefully umepata MORNING Glory ya nguvu sanaaa
 
Mbona Wanachadema mnatoka mapovu hivyo?? Fahamuni kwamba kuhama chama ni haki ya kikatibu ya kila raia wa nchi hii. Waacheni wahame ili ninyi mjifunze siasa na kujipanga upya.
 
Leo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi cha StarTV aliyekuwa mbunge wa Ukonga, Mwita Waitara amewataja wabunge ambao wapo njiani kujiondoa Chadema na kujiunga na CCM au kuacha Siasa. Amewataja wabunge hao kuwa ni Anthony Komu (Moshi Vijijini), Japhary Michael (Moshi Mjini), Saeed Kubenea (Ubungo), na James Ole Millya (Simanjiro).
_
"Napenda nikuhakikishie kuwa Komu, Japhary, Kubenea na Millya watahama Chadema muda wowote kuanzia sasa kwa sababu ya migogoro iliyosababishwa na Mbowe. Na kama hawatahama basi watastaafu siasa." Amenukuliwa Waitara.

Nini maoni yako?View attachment 827400
Hivi hata wakihama au wakaacha siasa ni hasara ya nani?hiyo ni haki yao kwa mujibu wa sheria..muda si mrefu kabla ya kampeni kuanza kama kawaida watakao katwa huko ccm nao watakimbilia cdm na hayo ndio maisha ya siasa
 
Kununua hakuwasaidii kitu CCM, kunaongeza chuki mioyoni mwa watu; itakuja kudhihilika mbeleni; ni swala la muda tu
 
Huyu jamaa nilijuwa anaakili timamu

Lakini kweli kabisa kichaa sio lazima kuokota makopo

God forbid.
Tume sababu ili tuelimike, mi naona kama kuna ukweli, migogoro ndani ya chama cha CDM iko siku nyingi toka enzi za BOB MAKANI - RIP, kwa sasa mtu akisema mnasingizia kununuliwa, namlilia Shujaa Chacha Wangwe
 
Huyu jamaa nilijuwa anaakili timamu

Lakini kweli kabisa kichaa sio lazima kuokota makopo

God dir

Akiba kwa MTU mpuuzi?

Huyu huyu jamaa alipita sehemu mbalimbali nchini akiiponda Ccm kwa akili na nguvu zake zote, kwamba imeoza haifai kwa lolote kwa chochote

Leo nayeye kaoza! What about that?
Kweli
1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu
Chadema ingekuwa na watu wenye akili wangeona hili toka 2015. Mamvi na Sumaye hawakuwa watu sahihi kuwapokea Chadema. CCM walitumia akili kidogo kuweka watu wao ili kuua nguvu ya Chadema na kwa asilimia 90 imeweza. Hao wengine wakina Waitara ni watu wadogo sana kwenye kuua nguvu ya upinzani.
 
Awepo cdm Awepo act cuf etc,nachomanisha Wanasiasa wote asilimia kubwa ni wanafki wachumia tumbo tu....

Ova
Mrangi kwa hapo umeongea kitu vha maana sana. Nakubaliana na wewe. Nibora kusemea utashi wake kuliko kusema ni boya kwa kuwa kaondoka kwenye chama chako.
 
Back
Top Bottom