Waislamu wapigwa marufuku kushiriki pasaka

Waislamu wapigwa marufuku kushiriki pasaka

Status
Not open for further replies.
Kwani Redio Imani siku hizi ndiyo wasemaji wa Waislamu?

hata mimi nawashangaa sana! kumbuka wakati wa sensa waliwatangazia waislamu wasikubali kuhesabiwa na baadhi ya waislamu walifuata maagizo yao wakakaidi kuhesabiwa, kitendo ambacho kilisababisha taharuki kubwa sana. jamani waislamu, tuwapuuze wachochezi hawa. nawakaribisha pilau kesho baada ya misa ya kwanza.
 
Kuna watu wafukunyuku, huu unaitwa uchochezi, kila mtu na imani yake, sasa usiingilie imani ya wenzio. Wao wakifunga ramadhani unawasaidiaga? Eid unashiriki nao?. Kwani wasiposhiriki pasaka unapungukiwa nini? Acha uchochezi.

Mbona mimi nina marafiki wa kislam tunshirikiana kila kitu hata kwenye pombe na kiti moto
 
Katika matendo yao kivyovyote hasa katika ibada.

Mbona tunazunguka hapohapo?

Nimesema Ibada bila imani hiyo sio ibada. Kama hujamuamini Mungu hata uswali usiku kucha hakuna kitu.
Mimi sijaamini wanachokiamini, kwa imani yangu siku hiyo naiona kama siku nyingine yoyote ambayo naweza kwenda kumtembelea ndugu yangu mkristo, ama kwa bahati akaniletea soda au chakula nikiwa hapo kwake na nikala.
 
dini ya wafuasi wa mbakaji mudy ni dini ya kipumbafu sana,wabaguzi,wakibaguliwa wao ndio walalamishi wakubwa,hawana fadhila. ni dini ya hovyo na inafanya mambo ya hovyo hadi shetani mwenyewe anashangaa.

mudi,wafuasi wake na ala wao ni wa hovyo hata shetani anawashangaa
 
Waislamu kote nchini wamepigwa marufuku kushiriki sikukuu za kikristo kwa kuwa ni haramu kwa waislamu. Marufuku hiyo imetolewa leo kupitia Radio Imaan FM inayomilikiwa na kuendeshwa na waislamu. Mambo ambayo wamezuiwa kushiriki ni kula na kuvaa vizuri, kutoka na kujitembeza barabarani au kushiriki mialiko yoyote kutoka kwa wakristo kwani kufanya hivyo watakuwa wanamuudhi Mwenyezi Mungu SAW na ni kwenda kinyume na mafundisho ya kiislamu.

MAONI YANGU:
Siku zote wakristo na waislamu tumekuwa tukishiriki pamoja kusherekea sikukuu za pasaka, krismas, eid el fitr, eid el haj, nk bila ubaguzi wowote. Ni vigumu kuwazuia, hasa watoto, wasivae nguo mpya au kudoea pilau kwa jirani zao wakristu kwani sote tumaishi pamoja kwa upendo bila kubaguana.

Aidha kuna waislamu wengi wengi wamesoma na bado wanaendelea kusoma katika shule za kikristo (seminaries). Je, ina maana hawa nao wanafanya kitendo haramu au uharamu upo kwenye sherehe tu?

Tujadiliane hoja hii bila jazba yoyote ya udini. Mungu wabariki waislamu na wakristo.

Kaka, wala usihofu. Na wala usiwaweke waislam wote kwenye kundi hili la hawa n'gombe.

Hawa watu wachache hawawezi kuchafua nchi. Hilo jambo haliwezekani.

Watasema sasa kwasababu Mkuu Kikwete mpole na wanamdharau. Juzi ukawa walimwita raisi intarahamwe? Pamoja ilikuwa wana maanisha ccm.

Mimi nathani uhuru wa habari umefika kikomo.Kuna haja sasa ya kuja na sheria. Wacha wafaudi lakni baada ya 2015 wataona kama wataishi mitaani. Nathani unakumbuka kilochotokea kwa yule sheikh kule kenya.
Ugaidi Tanzania haiwezekani. Watu tumezoea kuishi pamoja wanakuja wasiopenda amani na kuleta fujo. Hili halikubaliki.





The king.
 
Hii radio ni ya kinafiki, nadhani hata mwaka juzi ilifungiwa kwa miezi 6 kwa sababu ya uchochezi! Hawa hawa ndio walipendekeza Lowassa aalikwe kwenye harambee kule Arusha ya kuchangia uanzishwaji wa radio ya kiislamu! Mzee Mengi kawajengea misikiti mingapi, kwann wasiikatae nayo! Wanafiki wakubwa, wafinyu wa fikra...
 
Ama kweli watu wengi wanaangamia kwa kukosa maarifa yaani mnaacha kufikiria vitu vyenye heri yani kila uchwao shari tu dini hamfikishi mtu mbinguni tambueni hilo imani yako ndio itakayokuponya na jehanam ya moto na dini iliyo safi ni moyo wako hekalu la MUNGU ni mwili wako imeandikwa watasoma lakini hawataelewa na watasikia lakini hawatasadiki hawa ndio watu wenye mioyo migumu.
 
hawa viumbe sijui wapewe nini katika dunia hii..

mbona hata wao kwa wao hawaishi kwa usawa basi tuone mifano hai??

let them go, let them go!

Usawa eti eeh!!!! Kama midume inayo olewa na midume kule makanisani nayo yanataka usawa kama wanawake eti eehhh???
 
Jamani hv IJUMAA KUU NA PASAKA ni sikukuu za nn na kwenye
bible hv zimo,au wakrito wamejipangia ili nao waonekane a.k.a
show of, na yesu alishawahi kusherekea?nijibiwe kwa maandiko ya
hiyo hiyo bible yenye makosa 50,000.
 
Kuna watu wanasema uislamu na dini nyingine ni sawa tu kwahyo twaweza shirikiana hata kwenye mambo ya ibada kama haya ya sikukuu. Basi kwa wale wanaosema kwamba Uislamu upo sawa na dini nyengine, haswa zile zinazosemwa kuwa ni dini za Kitabu, kama vile Uyahudi na Ukristo, hao wamekwenda kombo na wala hawaelewi misingi ya Uislamu. Kwani hata huo Uyahudi na Unaswara unaofuatwa leo, hauna uhusiano sahihi na hivyo Vitabu Alivyovishusha Mola wetu (Subhaanahu wa Ta¡¯ala). Sasa ni wapi tena tunataka kuwabebesha watoto wetu elimu ya Yesu aliyevumbuliwa na Ukristo hali ya kuwa Uislamu unayo mafundisho yake sahihi ya Nabii Iysa bin Maryam (Alayhis Salaam)?
Mola wetu Amesema:
{Bila shaka Diyn (ya haki) mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na waliopewa Kitabu (Mayahudi na Manaswara) hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ilimu.}[Al-Imraan: 19]
Na Akasema pia:
{{Na anayetaka dini isiyokuwa ya Kiislamu basi haitakubaliwa kwake. Naye Akhera atakuwa katika wenye khasara (kubwa kabisa).} [Al-Imraan: 85]
Kwa hivyo, tuelewe Waislamu kwamba, iwapo tumeukubali Uislamu kuwa ni Diyn yetu, basi hayo hapo juu ndio mafunzo sahihi, wala Mola wetu hajatutaka tuchanganye imani zetu zilizo safi dhidi ya imani za kikafiri. Na kwa hakika Uislamu wetu unatufunza kutochanganya ukafiri na Uislamu:
{{Sema: Enyi makafiri. Siabudu munachoabudu. Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu. Wala sitaabudu munachoabudu. Wala nyinyi hamutaabudu ninayemuabudu. Nyinyi muna dini yenu nami nina Diyn yangu.}}[Al-Kaafiruun: 1-6]
Yapo mambo ambayo kweli tunaweza kushirikiana na makafiri, kama vile elimu sahihi za dunia kwa mfano utabibu na ufundi; lakini abadan sio ndani ya misingi ya Kiislamu hadi kufikia binti wa Kiislamu kutoona tofauti baina ya kuvaa ama kutovaa hijaab.
Tumche Mola wetu (Subhaanahu wa Ta¡¯ala), na tumuabudu Yeye kama Alivyotuamuru bila ya kumshirikisha. Tunamuomba Mola wetu Atuongoze katika njia sahihi na Atukhitimishe kwa kauli ya haki iliyothibiti.

Ameen YARAAB IL ALAMIN

CC Bill Cosby
 
Last edited by a moderator:
udini huo upuuzi kabisa mungu hajaumba waislam tofaut na wakristo wewe unaejua mungu kua wa wakristo na waislam peke yako unaupungufu wa fikra
 
Wewe kiumbe na wenzako wenye mawazo mgando hebu eleweni kuwa Pasaka, christmas n.k ni sherehe zinazoambatana na imani za watu. Tumeambiwa tushirikiane lakini si mpaka katika ibada. Uislamu ndio unakataza na sio radio iman wala shekh flani. Ni Amri ya Allah subhanahu wataala. Pungezeni kelele zenu kwakuwa hazitomzuia tembo kunywa maji. Ngoja waislamu waelimishwa na waijue dini yao waache kufuata mambo yenye kuwatia katika madhambi. Sio Qur-aan, Hadith, wala waja wema wote (Maswahaabah, wafuasi wa maswahaba, wafuasi wa wafuasi wa maswahaba), wala Ma¡¯ulaamaa wa Kiislamu waliohalalisha kujumuika na makafiri kwenye sherehe zao za Kikafiri.
Miongoni mwa sherehe ambazo zinafurahikiwa mno na Waislamu ni Mwaka Mpya wa Kikiristo ingawa haimo sikukuu hiyo katika orodha ya sherehe za Kiislamu. Masuala mengi yanabaki kichwani bila ya majibu: ¡°Ni kwa sababu gani haswa Muislamu ashiriki sherehe hizo? Kwani Mola Mtukufu hakuwatunukia Waislamu siku zao za kusherehekea? Je, Mtume hakujua kwamba kitakuja kizazi ambacho hakitatofautisha Uislamu na Ukafiri?
Kutokana na ujinga wetu Waislamu ndio maana tunarushiwa mabomu kwenye ardhi zetu, tunaendelea kutawaliwa, kuteswa, kunyanyaswa na mengineyo. Hao wanaotutesa ndio tunaoshirikiana nao kwenye tafrija zao za uzushi. Hao wanaotutukana na kutukana dini yetu hata humu ndio eti tunashirikiana nao katika sherehe zao, Yote haya yanatokana na Waislamu kuacha kutambua kwamba Uislamu wao ni kamili, hautaki viraka wala kuengezewa matambara. Allaah (Subhaanahu wa Ta¯ala) Anasema:
{Leo Nimekukamilishieni Diyn yenu, na Nimekutimizieni neema Yangu, na Nimekupendeleeni Uislamu uwe ndiyo Diyn}[Suratul-Maaidah: 3]
Pia Qur-aan imeshakata kauli kwamba makafiri wana dini yao na sisi tuna Uislamu wetu. Yashangaza kuwaona Waislamu wakiwa hawaelewi ama wanajitia upofu wa mafundisho haya:
{{Sema: Enyi makafiri! Siabudu mnachokiabudu. Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu. Wala sitaabudu mnachoabudu. Wala nyinyi hamuabudu ninayemuabudu. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Diyn yangu.}}[Suratul-Kaafiruun: 1-6]
Kwa kuongezea, Mtume (Swalla Allaahu alayhi wa aalihi wa sallam) ametubainishia kwamba zama zetu zitakuwa zinachanganya mambo tukashindwa kuchambua baina ya haqq na baatwil. Hizi ndio zama za kukamata vyema Sunnah iliyoachwa na Mtume pamoja na kuachana na mambo yote yenye mashaka matupu:
((Mtafuata Sunnah (nyendo) za watu waliokuwa kabla yenu, kiganja kwa kiganja, mkono kwa mkono, hata wakiingia kwenye shimo la kenge mtawafuata)). Tukasema: Ewe Mjumbe wa Allaah, 'Je, Unamaanisha Mayahudi na Manaswara?' Akasema: ((Kwani nani zaidi ya wao?)).
Kwa upande wa Maswahaabah, tunamkuta Amiyr wa Waumini Sayyidna Umar bin Al-Khatwaab akitwambia:"Jiepusheni na maadui wa Allaah katika sherehe zao"
Ni vyema pia kunukuu maneno ya Mwanachuoni mcha Mungu, Mujaahid Shaykhul Islaam Ibn Taymiyyah:"Sisi Waislamu tusifanye jambo lolote lilokuwa si la kawaida katika siku hizi. Iwe kama siku yoyote nyingine katika maisha yetu bila ya kuwa imekhusishwa na lolotekamamfano wao watu wa Vitabu walivyokuwa hawasherehekei wala kuzifanya siku zetu za 'Iyd kuwa ni khaswa (maalum) kwao."
Ya Allaah tunakuomba kutokana na Nuru ya Wajihi wako, ambayo inaangazia mbingu na inaondoa kiza na kutawala mambo yote ya dunia na Akhera ili hasira Yako isitufikie au ghadhabu Yako isituangukie; utuongoze katika njia iliyonyooka na utusamehe madhambi yetu. Kwa hakika tunakiri kwamba hakuna mamlaka wala nguvu na uwezo ila Wako peke Yako.

Basi wewe onyesha mfano bora jumatatu nenda kazini tu ata kama wengine hawatakuja.
 
Waislamu kote nchini wamepigwa marufuku kushiriki sikukuu za kikristo kwa kuwa ni haramu kwa waislamu. Marufuku hiyo imetolewa leo kupitia Radio Imaan FM inayomilikiwa na kuendeshwa na waislamu. Mambo ambayo wamezuiwa kushiriki ni kula na kuvaa vizuri, kutoka na kujitembeza barabarani au kushiriki mialiko yoyote kutoka kwa wakristo kwani kufanya hivyo watakuwa wanamuudhi Mwenyezi Mungu SAW na ni kwenda kinyume na mafundisho ya kiislamu.

MAONI YANGU:
Siku zote wakristo na waislamu tumekuwa tukishiriki pamoja kusherekea sikukuu za pasaka, krismas, eid el fitr, eid el haj, nk bila ubaguzi wowote. Ni vigumu kuwazuia, hasa watoto, wasivae nguo mpya au kudoea pilau kwa jirani zao wakristu kwani sote tumaishi pamoja kwa upendo bila kubaguana.

Aidha kuna waislamu wengi wengi wamesoma na bado wanaendelea kusoma katika shule za kikristo (seminaries). Je, ina maana hawa nao wanafanya kitendo haramu au uharamu upo kwenye sherehe tu?

Tujadiliane hoja hii bila jazba yoyote ya udini. Mungu wabariki waislamu na wakristo.
Halafu ndo niwapelekee kuku wangu wanichinjie.. aaagh wapi, namchinja mwenyewe... Yaani watu wanahubiri chuki tu... Wao wanavyotaka kutushirikisha ibada yao, nasi tujiwekee marufuku ..??
 
wakati mwingine ushiriki huchagizwa na mambo mengine,mfano mimi mama yangu na ndugu zangu wengine ni waislamu,yaani niandae mpunga mama yangu akimbie kula nami???never in million years!
 
hahaha hii kitu inanifurahisha sana.yaani maisha tunayoishi juku uswahilini cjui tu.mbona hiyo kesho huyo mungu wao atanuna mpaka basi....tunavyojijua sisi mitoto ya uswaz kwenye wali mchafu....hahaha

Like kwako mkuu
 
Mbona tunazunguka hapohapo?

Nimesema Ibada bila imani hiyo sio ibada. Kama hujamuamini Mungu hata uswali usiku kucha hakuna kitu.
Mimi sijaamini wanachokiamini, kwa imani yangu siku hiyo naiona kama siku nyingine yoyote ambayo naweza kwenda kumtembelea ndugu yangu mkristo, ama kwa bahati akaniletea soda au chakula nikiwa hapo kwake na nikala.

Kula chakula cha Mkristo haikatazwi na Dini ya Kiislamu bali yamekuja mafunzo moja kwa moja kuhusu jambo hili.
Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala)Anasema:¡°Na chakula cha wale waliopewa kitabu ni halali kwenu na chakula chenu ni halali kwao¡±(5: 5).
Na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) aliwapa ruhusa ya kufanya hivyo.
Kwa hivyo ki-msingi kula chakula chao kinaruhusiwa kwa Muislamu ila kiwe tu ni cha halali. Ikiwa ni chakula ambacho ni haramu kwetu basi itakuwa haifai kula chakula hicho au kikiwa kimechanganywa chakula ambacho ni haramu na kile kilicho halali, hivyo kukifanya chote kuwa haramu.
Lakini unapozungumzia kuhusu sherehe zao ambapo kutakuwa na chakula kwa kuadhimisha siku kuu hiyoyaoinakuwa haifai kwa Muislamu kushirikiana nao katika jambohilo. Hivyo, ukialikwa na Mkristo kula nao chakula cha Krismasi inafaa ukatae kwani si halali kabisa, lakini ikiwa ni siku ambayo si sherehe kwao unaweza kula bila ya matatizo yoyote.
Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alipohamia Madiynah, watu wa Madiynah walikuwa na siku kuu zao ambazo walikuwa wanasherehekea, naye (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akawaambia kuwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Amewabadilishia kwa siku ambazo ni bora zaidi, nazo ni: 'Iyd baada ya Ramadhaan na 'Iyd ya baada ya Hijjah.
Hivyo, haifai kwa Muislamu kusherehekea siku kuu nyengine zozote mbali na hizo.
 
mimi naamini siyo rahis hata kidogo, ubaguzi huo haufai waislamu na wakristo siku zote wako vizuri wanashirikiana vizuri hilo la kutoshiriki sikukuu zao sio jambo zuri kivile.
 
dini ya wafuasi wa mbakaji mudy ni dini ya kipumbafu sana,wabaguzi,wakibaguliwa wao ndio walalamishi wakubwa,hawana fadhila. ni dini ya hovyo na inafanya mambo ya hovyo hadi shetani mwenyewe anashangaa.

mudi,wafuasi wake na ala wao ni wa hovyo hata shetani anawashangaa

mkuu, tujadiliane kwa upole bila jazba, kubeza dini ya mtu wala kutukana. umeelewa? usije ukatuponza uzi huu ukafutwa na mods. haya, tuendelee kujadiliana kistaarabu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom