Waislamu wapigwa marufuku kushiriki pasaka

Waislamu wapigwa marufuku kushiriki pasaka

Status
Not open for further replies.
Basi wewe onyesha mfano bora jumatatu nenda kazini tu ata kama wengine hawatakuja.

Ingekuwa nafanya kazi kwenye private au kazi yangu binafsi ningeenda lakini kwakuwa nchi yangu ni secular state ninabaki nyumbani au kujishughulisha na mambo mengne.
 
dini ya wafuasi wa mbakaji mudy ni dini ya kipumbafu sana,wabaguzi,wakibaguliwa wao ndio walalamishi wakubwa,hawana fadhila. ni dini ya hovyo na inafanya mambo ya hovyo hadi shetani mwenyewe anashangaa.

mudi,wafuasi wake na ala wao ni wa hovyo hata shetani anawashangaa
Kichwa Ndio Mtu,usiwatukane hivyo,wewe ni wa kike utashangaa unakuja kuolewa katika pande hizo na kuwa mfuasi wa dini hiyo tena unakuwa mwanachama mwaminifu wa uamsho.TAKE CARE!
 
Last edited by a moderator:
mkuu, jiheshimu bila shuruti. utasababisha uzi wetu ufungwe na mods bure. mods mpo wapi hamjamfungia huyu mtukanaji?

Wewe vipi??????? Nimefanya kumjibu huyo Kichwa Ndio Mtu au hujaona alivotukana uislam pamoja na Allah pamoja na mtume wetu Mohamed... mimi sijamtukana yesu wala paulo lakini unamwaga mipovu... kafiri wahed
 
Last edited by a moderator:
Kweli ni kuupiga
mpunga kwa kwenda mbele kwani hapo mwanzo kabla hawajaja hawa wazungu na
warabu mungu tulimuomba kwa njia gani? Na baada ya kuja mbona tulikuwa
pamoja maitubabaishe hapa. Mnataka kutugombanisha sisi ni ndugu maana
ndani ya familia kuna ukristo na uislamu

Kweli mkuu wasituletee hizo,MUNGU hawapendagi Wanafiki.
 
Waislamu kote nchini wamepigwa marufuku kushiriki sikukuu za kikristo kwa kuwa ni haramu kwa waislamu. Marufuku hiyo imetolewa leo kupitia Radio Imaan FM inayomilikiwa na kuendeshwa na waislamu. Mambo ambayo wamezuiwa kushiriki ni kula na kuvaa vizuri, kutoka na kujitembeza barabarani au kushiriki mialiko yoyote kutoka kwa wakristo kwani kufanya hivyo watakuwa wanamuudhi Mwenyezi Mungu SAW na ni kwenda kinyume na mafundisho ya kiislamu.

MAONI YANGU:
Siku zote wakristo na waislamu tumekuwa tukishiriki pamoja kusherekea sikukuu za pasaka, krismas, eid el fitr, eid el haj, nk bila ubaguzi wowote. Ni vigumu kuwazuia, hasa watoto, wasivae nguo mpya au kudoea pilau kwa jirani zao wakristu kwani sote tumaishi pamoja kwa upendo bila kubaguana.

Aidha kuna waislamu wengi wengi wamesoma na bado wanaendelea kusoma katika shule za kikristo (seminaries). Je, ina maana hawa nao wanafanya kitendo haramu au uharamu upo kwenye sherehe tu?

Tujadiliane hoja hii bila jazba yoyote ya udini. Mungu wabariki waislamu na wakristo.
Wasisahau kuwapiga marufuku yafuatayo, maana yana uhusiano na makafiri
1. Kusoma shule za makafiri
2. Kupanda mabasi ya makafiri
3. Kutibiwa hospitari za makafiri
4. Kupata huduma yoyote serikalini ambazo zinatolewa na makafiri
 
Mkuu! Wewe umefurahishwa na ujumbe huu toka radio tajwa?

Maana Mi imenigusa sana kauli hii. Ni sina uwezo tu kwani ningeifungia redio hii isisikike katika jamii ya Watanganyika wote!


Kwanza nakutoa makosa, inapokuja neno Mwenyezi Mungu huwa (SWT) na sio (SAW).

SWT ni kifupi cha Subhana Wa Taala.

Ama SAW hiyo ni kwa ajili ya Mtume Muhammad tu, na kirefu chake ni Salallahu Aleyhi Wasalm,

Kwa hapo natumai umeelewa.

Ama kuhusu Muisilamu kusherehekea sikukuu za Kikristo au Wakristo kusherehekea za Waisilamu watu hufanya kwa mazowea tu na kama ile sikukuu sio ya dini yake basi huwa ni kama sherehe tu haifanyi kiimani, yaani huwa haimo moyoni mwake.
 
Kula chakula cha Mkristo haikatazwi na Dini ya Kiislamu bali yamekuja mafunzo moja kwa moja kuhusu jambo hili.
Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala)Anasema:¡°Na chakula cha wale waliopewa kitabu ni halali kwenu na chakula chenu ni halali kwao¡±(5: 5).
Na Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) aliwapa ruhusa ya kufanya hivyo.
Kwa hivyo ki-msingi kula chakula chao kinaruhusiwa kwa Muislamu ila kiwe tu ni cha halali. Ikiwa ni chakula ambacho ni haramu kwetu basi itakuwa haifai kula chakula hicho au kikiwa kimechanganywa chakula ambacho ni haramu na kile kilicho halali, hivyo kukifanya chote kuwa haramu.
Lakini unapozungumzia kuhusu sherehe zao ambapo kutakuwa na chakula kwa kuadhimisha siku kuu hiyoyaoinakuwa haifai kwa Muislamu kushirikiana nao katika jambohilo. Hivyo, ukialikwa na Mkristo kula nao chakula cha Krismasi inafaa ukatae kwani si halali kabisa, lakini ikiwa ni siku ambayo si sherehe kwao unaweza kula bila ya matatizo yoyote.
Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) alipohamia Madiynah, watu wa Madiynah walikuwa na siku kuu zao ambazo walikuwa wanasherehekea, naye (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) akawaambia kuwa Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Amewabadilishia kwa siku ambazo ni bora zaidi, nazo ni: 'Iyd baada ya Ramadhaan na 'Iyd ya baada ya Hijjah.
Hivyo, haifai kwa Muislamu kusherehekea siku kuu nyengine zozote mbali na hizo.

Umeanza vizuri, kwa kueleza maneno ya mwenyezi Mungu na Mtume (SAW)
Kula hawa wakristo mtaani kwetu tunaishi kwa maelewano miaka mingi.
Hata nisipoenda kwao kwenye sikukuu zao utaona mtoto katumwa alete chakula na soda na sio mmoja unakuta hata nyumbani hatupiki chakula kingi maana wakristo kadhaa wanaleta hadi kinabaki tunaweka kwenye friji.
Na sisi siku ya idd tuna wapelekea, ukiacha wale wanaokuja.

Sasa unanishauri niwarudishe na vyakula vyao wakiniletea nyumbani?
 
Weee unashangaa hilo tu? Waislam ni marufuku kuhudhuria msiba wa mkristo juzi nimeskia haya mafundisho africa tv nikashanga sana.
 
Wasisahau kuwapiga marufuku yafuatayo, maana yana uhusiano na makafiri
1. Kusoma shule za makafiri
2. Kupanda mabasi ya makafiri
3. Kutibiwa hospitari za makafiri
4. Kupata huduma yoyote serikalini ambazo zinatolewa na makafiri

Ongeza na hizi;
6. kupanda ndege za makafiri.
7. kwenda kuishi nchi za makafir ulaya na marekani.
8. kuvaa suti.
9. Nchi alikozikwa mtume mwamedi majeshi ya makafir yaondolewe.
10. Majeshi yaMakafir waliopeleka teknolojia ya kuchimba mafuta kwenye ardhi ya mtume mwamedi yafukuzwe na waajiliwe maimamu kuchimba mafuta kwa kutumia ilmu ya majini.
 
Wajinga wachache hawawezi kukwamisha furaha ya timamu wengi.

Nimeanza kujumuika na waislamu tangu jana,na wao ndio watakaochinja na kuandaa maakuli wakishirikiana na wife na ndugu wengine hapa nyumbani...na kwa pamoja tutashangilia kufufuka kwa bwana Yesu.

Hao nawaita waislam vibaragashia,waislamu njaaa,waislamu wenye chuki.

*sisi sote ni ndugu na upendo ndiyo nguzo yetu kuu.
 
Radio nyingine ni za upotoshaji,ubaguzi na uchochezi wa kiimani,wangewaambia basi pia wasiowe au kuolewa na wakristo,pia wasome ktk shule zao tu,mbona wamejaa kwenye mashule ya katoliki? Hilo hawaoni? Pia wangewaambia wawe na maduka na masoko yao, na fedha zinazotambulisha zishikwe na waislam tu,kwa maana licha ya pasaka wanashorikiana vitu vingi tu,na pia huwezi kumzuia mtoto wa jirani yako kuja kusheherekea pasaka na watoto wako,mbona siku zote wapo pamoja? Acheni fikra na akili zilizojaa mgando,tuishi kwa umoja na upendo.
 
Ongeza na hizi;
6. kupanda ndege za makafiri.
7. kwenda kuishi nchi za makafir ulaya na marekani.
8. kuvaa suti.
9. Nchi alikozikwa mtume mwamedi majeshi ya makafir yaondolewe.
10. Majeshi yaMakafir waliopeleka teknolojia ya kuchimba mafuta kwenye ardhi ya mtume mwamedi yafukuzwe na waajiliwe maimamu kuchimba mafuta kwa kutumia ilmu ya majini.

Matola, haya mambo ya majini yanaingiaje hapa?
 
Last edited by a moderator:
Ongeza na hizi;
6. kupanda ndege za makafiri.
7. kwenda kuishi nchi za makafir ulaya na marekani.
8. kuvaa suti.
9. Nchi alikozikwa mtume mwamedi majeshi ya makafir yaondolewe.
10. Majeshi yaMakafir waliopeleka teknolojia ya kuchimba mafuta kwenye ardhi ya mtume mwamedi yafukuzwe na waajiliwe maimamu kuchimba mafuta kwa kutumia ilmu ya majini.

Kutumia internet maana walianzisha makafiri hii teknolojia,kutumia magari,ndege,simu ,umeme hadi vyombo vya radio iman ukifuatilia utakuta vimetengenezwa na makafiri na ata kama hawajatengeneza wao teknolojia imetoka kwao.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom